binti

Binti Jua (born March 17, 1988) is a female western lowland gorilla in the Brookfield Zoo, in Brookfield, Illinois, outside of Chicago, US. She was involved in an incident in 1996, in which she tended to a three-year-old boy who had fallen into her enclosure.
Binti Jua (whose name means "Daughter of Sunshine" in Swahili) is the niece of Koko, a gorilla whose linguistic accomplishments have been the subject of several scientific studies. Her mother, Lulu, was originally from the Bronx Zoo and died on January 24, 2011, after residing at the Columbus Zoo and Aquarium. Her father is Sunshine, from the San Francisco Zoo.

View More On Wikipedia.org
  1. Hatma ya binti Monica ni ipi?

    Habarini ndugu zangu, jina langu naitwa Monica ni msichana mwenye umri wa miaka 25 sijaolewa bado. Ni miezi mitatu tangu nimpate mtu ambaye niliona ni sahihi kwangu ni mtu ambaye alikuwa huru namm sana pia ni mtu ambaye naweza ishi nae kama rafiki na mume pia na nikiwa nae ananifanya niwe mtu...
  2. Mambo ambayo unapaswa umpe binti yako katika karne hii yakayomsaidia katika maisha

    SAFIRI SALAMA NA BINTI YAKO, USIMUACHE; HUKO MBELE HAKUFAI. Kwa Mkono wa Robert Heriel Andiko hili lamfaa mtu yeyote yule, hasa wazazi wenye watoto wakike. Bila shaka litakuwa msaada kwa sehemu kubwa ikiwa litazingatiwa. Nilipokuwa mwaka wa pili pale UDSM nikiwa naishi Sinza Kwaremi, nilipata...
  3. Meghan na Harry wamebahatika kupata mtoto wa pili ni binti amepewa jina Elizabeth Diana

    Meghan amejifungua salama mtoto wa kike aliyepewa jina Lilibet Diana Winsor.
  4. Kamuachisha shule binti yangu, kamuoa. Anasema hakuna wa kumfanya lolote Serikali hii

    Habari za leo wapendwa. Sijui ni dharau kwa serikali ama siasa moe sielewi. Kuna baba mtu mzima ana watoto wakubwa. Binti yangu alikuwa anasoma Sengerema kidato cha sita. Huyo baba kamuachisha binti yangu shule na kumuweka ndani kinyumba. Huyo baba anasema Serikali hii hakuna wa kumfanya...
  5. Sikubaliani na hiki alichofanyiwa huyu binti, Jeshi la Polisi lichukue hatua kwa waliohusika

    Kumekua na Video inayozunguka katika Magroup ya Whatsapp na mitandao mbali mbali. Video ikimuonesha binti anayetuhumiwa kwa wizi katika makanisa. Viongozi/waumini wanaonekana katika video hii wakimpiga mtuhumiwa. Jambo hili halikubaliki na niuvunjaji mkubwa wa sheria na haki za binadamu...
  6. Natafuta binti na kijana wa kiume tusaidiane kazi za Mgahawa

    UPDATE:- Asanteni Nyoote mlio onesha Nia na kuni connect na ndugu zenu. Bado nafanya maongezi, naimani waliojitokeza tukawasiliana wanatosha, kwa Sasa. Shukran Sana.
  7. Uraibu wa Kamari: Soma kisa hiki alafu jiweke nafasi mzazi wa huyo binti. Ungefanya nini?

    Kama mwanao kaganya hivyo ungechukua hatua gani? Ungeuza nyumba ili umlipie madeni yake? Au ungeacha ajiue tu kama alishapanga? Uhai haununuliki lakini binafsi ni mtihani usio na majibu Nimekiona BBC Swahili Full story 👇👇 --- Uraibu wa Kamari: Namna gani unaweza kupambana na uraibu wa kamari...
  8. Binti anatafuta kazi ya kuuza duka au usafi maofisini

    Habari zenu wakuu, nawasalimu sana kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Nalifkisha hili kwenu ili kupata msaada wakuu, kuna binti anatafta kazi ya kuuza duka la nguo (zakike/kiume), supermarket, Usafi maofisini na pia yupo tayari kufanya kazi ktk kampuni yeyote ya mabasi aidha kusafiri na Bus au...
  9. Wazazi wa aliyekua Ex wangu, wamenipa sehemu ya mahari ya binti yao kama kifuta jasho

    Back in d' dayz! Nilikua na mtoto mzuri, kitu black beauty mwenye asili ya mbeya, kiufupi ni kwamba nilimsaidia sana, nilikua naplay part kama mzazi wake, ada ya chuo, mahitaji yote, na alipomalza chuo nilimpa mtaji wa shilingi milioni 5 akaanza biashara na yote hayo wazazi wake walikua wanajua...
  10. Binti wa kaz za ndani au dukani

    Age 2004,kabila mhehe,kiwango anachotaka cha salary kuanzia 100000.Karibuni inbox
  11. Binti wa TB Joshua kuolewa Arusha

    Binti pekee wa mhubiri wa kimataifa wa Naijeria, Temitope Joshua almaarufu TB Joshua, anafunga ndoa jumamosi hii tarehe 8/5/2021 jinini Arusha. Binti huyo ajulikanae kwa jina la Serah anaolewa na kijana wa kichaga anaeitwa Brian Moshi. Ndoa itafungiwa kanisa la RC- Unga Limited na kufuatiwa na...
  12. Walipewa kesi baada ya kumtazama binti wa kizungu

    Ilikuwa ni Oktoba 28, 1958 mjini North Carolina US ambapo watoto wa kiume wawili wenye asili ya Afrika David Simpson (na Hanover Thompson (9) raia wa Monroe walipewa kesi kwa kumtazama tuu binti wa kizungu wa umri wa miaka 7 Sissy Marcus. Mama wa binti huyo Bernice Marcus aliwashtaki watoto...
  13. Mwanaume hawezi kuoa binti anayejua kila kitu

    Nani aoe shida Jamini? Unaoa binti anajua kila kitu siasa yeye, mpira yeye, ujasiliamali yeye, kubeti yeye, Movie yeye, biashara yeye, hadi Harakati yeye. Hii haitakuwa ndoa sasa. Hawa tunawaacha humu waendelee kupush ajenda! [emoji56][emoji56][emoji56][emoji119][emoji119][emoji119]
  14. P-Funk Majani umeteleza kumshambulia binti yako kwenye radio, wewe ni sehemu ya tatizo

    Majani anasema mtoto wake alimkataa, ila hasemi ilikuwaje wakafika hali hiyo. Majani anasema kwenye radio kuwa mtoto wake kazaliwa na mama asiyestahili. Majani anaitangazia dunia kwamba binti yake amelaanika. Kwa mtu mwenye hekma na utulivu wa akili utagundua Baba pia ana tatizo kubwa kuliko...
  15. Sina amani naye japo nampenda huyu binti

    Bwana wetu Yesu asifiwe wapendwa, Asalaam naalykum kwa waisilam wote natumaini mu wazima wote. Moja kwa moja nizame ndani ya maada wapendwa. Mimi ni kijana ambaye natarajia kuingia kunako ndoa ikimpendeza Mungu wangu, Umri wangu miaka 25 Kuna binti ambae tulikutana kwa mazingira fulani...
  16. Ni changamoto gani unaweza kukutana nayo kwa mara ya kwanza unavyotambulishwa ukweni?

    Kwa wale ambao wameshapitia hii hatua tayari na wana uzoefu hebu tupeane experience ni changamoto gani unaweza kukutana nayo siku utakapokwenda ukweni kutambulishwa. Na jinsi gani unaweza kuiepuka hii changamoto ili usije ukaonekana kituko? Pia soma...
  17. B

    Kwanini siku hizi mahusiano ya kimapenzi kati ya baba mzazi na binti yameshamiri sana?

    Siku hizi limekuwa jambo la kawaida sana kwa baba kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti yake wa kumzaa mwenyewe Tatizo ni nini wakuu? Ni tamaa za kingono au kuna sababu za kishirikina nyuma yake?
  18. U

    Serengeti: Adaiwa kumuua mumewe siku 14 baada ya kufunga ndoa, kisa si chaguo lake

    Happy Nyasumo (18) mkazi wa Wilaya ya Serengeti amemuua mumewe, Bebe Mbogo (26) kwa madai kuwa hampendi na hakuwa chaguo lake zikiwa zimepita siku 14 tangu walipofunga ndoa. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Alhamisi Aprili 14, 2021 mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Nurdin Babu amesema tukio...
  19. Kanikabidhi binti yake nimpende

    Nimefanikiwa kutengeneza urafiki na mama muuza genge hadi katokea kunipenda na kuniamini sana. Alipenda kujua maisha yangu ya kiroho na maisha ya kawaida na kuridhika nayo. Baada ya kumaliza chuo 2019 niliamua kujiongeza na mambo mengine nje ya nilichosomea. Mapema nilipanga geto. Nimekuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…