Asante Mwenyezi Mungu, Asante Wazazi wangu, Asante Walimu, Wakufunzi na Wahadhiri wangu, Asante wale Wote mlionilea na Kunijenga Kimaadili na Kinidhamu, Asante wote ambao mlikuwa na mnaendelea kuwa Wema Kwangu kwa hali na mali, Asante Ndugu, Jamaa na Marafiki pamoja na wale Maadui zangu tukuka...