bluetooth

  1. Portable Bluetooth Printer kwa kutolea risiti za mauzo dukani

    Portable Bluetooth Printer kwa kutolea risiti za mauzo dukani -Haitumii wino wala haijazwi wino -Ni ya kuchaji, unaweza kuichaji muda wowote wakati wowote. -Bei ya ofa Tshs 90,000 tu, imebaki moja Kwa msaada zaidi piga 0659-358-599
  2. Madhara ya kuunganisha bluetooth ya simu!

    Leo ๐˜ฏ๐˜ช๐˜ฎ๐˜ฆ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ฅ๐˜ข ๐˜ค๐˜ฉ๐˜ฐ๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ณ๐˜ข๐˜ง๐˜ช๐˜ฌ๐˜ช ๐˜บ๐˜ข๐˜ฏ๐˜จ๐˜ถ ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช๐˜ต๐˜ถ๐˜ฎ๐˜ช๐˜ข ๐˜ท๐˜ช๐˜ฅ๐˜ฆ๐˜ฐ ๐˜บ๐˜ข ๐˜น๐˜น๐˜น ๐˜•๐˜ช๐˜ฌ๐˜ข ๏ฟฝ ๐˜ฑ๐˜ญ๐˜ข๐˜บ ๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜๐˜ข๐˜ช๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ด๐˜ข๐˜ถ๐˜ตi ๐˜ช๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฏi๐˜ฃ๐˜ช๐˜ฅ๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ช๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜จ๐˜ฆ๐˜ป๐˜ฆ ๐˜ด๐˜ข๐˜ถ๐˜ตi ๐˜๐˜ข๐˜ฅ๐˜ช 100 ๐˜ญa๐˜ฌi๐˜ฏi ๐˜ฃ๐˜ข๐˜ฅ๐˜ฐ ๐˜๐˜ข๐˜ช๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ด๐˜ข๐˜ถ๐˜ต๐˜ช.., ๐˜ฏ๐˜ฅi๐˜ฐ ๐˜ฏ๐˜ช๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ฎ๐˜ฃ๐˜ถ๐˜ฌ๐˜ข ๐˜ฌ๐˜ช๐˜ฑ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ฅ๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ข๐˜ต๐˜ฐ๐˜ฌ๐˜ข ๐˜ด๐˜ฆ๐˜ฃ๐˜ถ๐˜ญ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ช๐˜ฎ๐˜ฆ๐˜ถ๐˜ฏ๐˜จ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช๐˜ด๐˜ฉ๐˜ข ๐˜ฃ๐˜ญ๐˜ฐ๐˜ฐ๐˜ต๐˜ฐ๐˜ต๐˜ฉ ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ด๐˜ช๐˜ฎ๐˜ถ ๐˜บ๐˜ข๐˜ฏ๐˜จ๐˜ถ.. ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ญ๐˜ข๐˜ง๐˜ถ ๐˜ด๐˜ฆ๐˜ฃ๐˜ถ๐˜ญ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ญ๐˜ช๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ธa ๐˜’๐˜ถ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ธ๐˜ข๐˜จ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฉ๐˜ช๐˜ท๐˜ฐ ๐˜ด๐˜ช๐˜ซ๐˜ข๐˜ณ๐˜ถ๐˜ฅi ๐˜ฏ๐˜บ๐˜ถ๐˜ฎ๐˜ฃ๐˜ข๐˜ฏi...
  3. INAUZWA Harman Kardon Onyx Studio 6 Wireless Bluetooth Speaker 190,000

    Harman Kardon Onyx Studio 6 Wireless Bluetooth Speaker - IPX7 Waterproof Extra Bass Sound System sauti na mdundo mtamu Call 0628 880 380 190,000tsh tu.
  4. I

    Subwoofer kusumbua kwenye bluetooth

    Subwoofer yangu naona inashida. Nikiwasha upande wa bluetooth inalia alafu inaacha kutoa sauti wakati bluetooth bado inaonekana imeunganishwa. Sijajua ni kwa sababu gani, mwenye ujuzi anisaidie tafadhali
  5. INAUZWA Speaker inauzwa kwa bei nafuu

    Wana jamiii naitupa hii kwa bei ya kitongaaaaaa VIDVIE SP 908 SPEAKER ๐Ÿท๏ธ 250.000/= BLUETOOTH โœ… PORTABLEโœ… MICโœ… Kwa mawasiliano zaidi Tupigie normal calls / wasap - 0659588492 Tupo kariakoo aggrey na ndanda Pia unaweza kuuliza speaker nyingine Tunazo nyingi aina tofauti tofautu sana Karibuni wakuu
  6. Fahamu historia ya neno "Bluetooth"

    HISTORI YA NENO BLUETOOTH. Teknolojia tunayoijua kama Bluetooth imepata jina lake kutoka kwa Harald Bluetooth, mfalme wa Viking aliyeaga dunia zaidi ya milenia moja iliyopita. Kama vile alivyounganisha vikundi vya Denmark na Norway, teknolojia ya Bluetooth inaunganisha vifaa mbalimbali vya...
  7. Msaada Kuunganisha V8 Bluetooth game pad kwenye PC

    Habari wakuu, Naombeni msaada jinsi yakuunganisha V8 BLUETOOTH GAME PAD KWENYE PC , nmejaribu manual inavyoelekeza Kama nolivyoambatanisha kwenye picha lakini nmeambulia patupu Upande wa PC
  8. Msaada Kuunganisha V8 Bluetooth game pad kweye PC

    Habari wakuu, Naombeni msaada jinsi yakuunganisha V8 BLUETOOTH GAME PAD KWENYE PC , nmejaribu manual inavyoelekeza Kama nolivyoambatanisha kwenye picha lakini nmeambulia patupu Upande wa PC
  9. Mwanamke andika neno BLUETOOTH, mwanaume reply CONNECTED, mwanamke kama umemwelewa jamaa reply SUCCESSFFULLY

    Tutapata date za kumalizia mwaka, haya twende kazi... Sema JF Bluetooth ziko chache sana
  10. Baada ya hizi ajira za TAMISEMI, Wanaume wenzangu mmejiandaaje na mapenzi ya Bluetooth?

    INTRODUCTION Ashukuriwe Mhe. Raisi Mama Samia kwa kutuletea hizi ajira zaidi ya 11,000 hakika ameupiga mwingi. โ€ŠPROBLEM Ila Sasa nataka kuongea na kuuliza mabaharia MMEJIANDAAJE NA NDOA/MAPENZI YA BLUETOOTH kati yenu na hao wapenzi wenu? SCENARIO Unataka kunielewa? Twende pamoja.... 1. Upo...
  11. K

    Wireless (Bluetooth) Earbuds Earphone

    Wireless Earbuds -Touch sensor -Waterproof Price: 20,000/= Contact: 0713722679 au 0753411316 Delivery: Free around Dar es salaam City Centre
  12. J

    Jinsi ya kulinda kifaa chako cha elektroniki

    ZINGATIA: Zima 'Wi-Fi' na 'Bluetooth' wakati unapokuwa hutumii. Kufanya hivyo itakusaidia kutounganishwa na mitandao isiyo salama pamoja na kutunza chaji kwenye kifaa chako cha elektroniki
  13. INAUZWA Bluetooth Mp3 player zinauzwa hapa, badili radio yako kuwa ya kusasa zaidi

    Kama una radio au subwoofer ya zamani,usiichukie radio yako bali weka hiki kifaa ili uweze kutumia Bluetooth, flash na memory card kama radio za kisasa. Sony, Aiwa, Panasonic n.k hizi radio zinapiga sana lakini kama ulinunua kitambo utakuwa unamiss flash na Bluetooth. Subwoofer za zamani zote...
  14. Bluetooth wireless ponytail!

  15. C

    Bluetooth option katika PC

    Wakuu PC ninayotumia ni HP 850 Elite Book Sasa wakuu hii PC haina option ya Bluetooth, Je?, Nawezaje kuweka hiyo Bluetooth option kwenye Hii PC Msaada wenu wataalamu wa haya mambo
  16. INAUZWA Badilisha Old subwoofer au speaker isiyokua na Bluetooth na kuifanya kua Bluetooth party speaker kwa kutumia kifaa hiki hapa.

    Habari!! Speaker au subwoofer ya gari au nyumbani unaweza kuifanya ya kisasa yenye Bluetooth kwa kutumia kifaa hiki hapa Kinapatikana kwa bei nafuu ya Tsh. 15000. Tu kwa mawasiliano zaidi nicheki kwa 0767142928 text,call,WhatsApp tufanye biashara. Napatikana Mbeya. Mikoani tunatuma ukihitaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ