Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 15,410
- 35,923
Simu in Samsung A12 Nili nunua unboxed haijawahi sumbua kabisa ,ila hili tatizo lime anza baada ya kubadii kioo Nili peleka kwa fundi aka badili waya wa mtandao lakini tatizo Bado lipo aka suggest ni flash
nimekuja kwenu wajuzi njia mbadala kabla ya iyo kuflash
Note
Simu haisomi kabisa ina onyesha hamna sim card na izo zingine haziwaki kabisa
Chief-Mkwawa
Mad Max
Tusamehane kwa quality ya picha nime pigia tablet