bodi ya mikopo

  1. S

    Tozo hizi za awamu ya sita hazina tofauti na tozo za Bodi ya Mikopo zilizoongezwa karibu mara mbili enzi za Magufuli

    Jamani tuache unafiki wa kusema eti tutamkubuka Magufuli kutokona na tozo hizi za awamu ya sita kwani huu ni muendelezo tu wa sera za CCM kukamua wananchi bila huruma. Wote ni mashahid wa makato katili ya Bodi ya Mikopo wakati wa utawala wa Magufuli ambapo makato yaliongezwa kutoka asilimia 8...
  2. Mad Max

    Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ishanichanganya hapa!

    Salam wakuu. Mimi ni mnufaika wa bodi ya mikopo kutoka mwaka 2010 hadi 2013 June. Nilipewa jumla ya Mil 11 pamoja na penalty na mazaga zaga ikafika Mil 14. Kufika 2015 nikaanza kulipa deni mdogo mdogo. Salary Slip ya mwezi wa nne (watano na sita sijaweza zipata kwenye system) inasema nadaiwa...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Wanaoshindwa kupata control number bodi ya mikopo njooni niwasaidieni hapa

    Wanaoshindwa kupata control number bodi ya mikopo njooni niwasaidieni hapa. Lakini na ninyi nisaidieni jinsi ya kutuma hiyo elfu 30 kwenda loan board kwa MPESA
  4. Meneja Wa Makampuni

    Naomba kujuzwa jinsi ya kulipia elfu 30 kama ada ya kuombea mkopo bodi ya mikopo

    Wakuu, Naomba kujuzwa jinsi ya kulipia elfu 30 kama ada ya kuombea mkopo bodi ya mikopo. Kwa njia ya MPESA.
  5. Mchokozi wa mambo

    Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu yatoa mwongo wa utoaji mikopo mwaka 2021/22

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu (HESLB) imetoa mwongozo wa utoaji mikopo mwaka 2021/22 ambao inatakiwa kila mwombaji anatakiwa utumie tarehe 02-04/07/2021 kuusoma na kuelewa na kisha mfumo wa maombi utafunguliwa tarehe 05/07/2021. karibu hapa nimekuwekea pakua usome lakini pia ukiwa...
  6. EINSTEIN112

    Rais Samia, bodi ya mikopo(HESLB) inakuharibia kazi

    Na Thadei Ole Mushi. Bodi ya Mikopo acheni kucheza na watanzania....huyu ni mnufaika wa Bodi ya Mikopo kwenye salary slip ya mnufaika huyu inaonekana mshahara wake baada ya kukatwa 141,000 Balance ya Deni lake lilikuwa 2,727,860. Hivyo kama angelikatwa Mwezi wa Sita Tena 141,000 balance...
  7. H

    Nauliza kuhusu tozo ya 6% na 10% iliyokua inatozwa na bodi ya mikopo

    Naombeni msaada kwenye mchanganuo wa tozo ya 6% na 10% iliyokua inatozwa na bodi ya mikopo ambayo Mheshimiwa rais alizisamehe siku ya Mei Mosi. Nataka kujua utofaut wake upoje na zilkua zinatozwaje?
  8. Miss Zomboko

    Hotuba Wizara ya Elimu: Tozo ya 6% kwenye mikopo ya Elimu kuondolewa Julai 1. Pia Serikali itaondoa tozo ya 10% kwa wanaochelewa kulipa mikopo yao

    Serikali itaondoa tozo ya asilimia sita ya kulinda thamani ya fedha katika urejeshaji wa mkopo kuanzia 1 Julai 2021, iliyokuwa inatozwa kwa wanufaika wa Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu, ikiwa ni agizo la Rais Samia Suluhu Hassan Waziri wa Elimu Prof Joyce Ndalichakob ameeleza bungeni kuwa...
  9. Abdul Nondo

    Serikali imefuta pia adhabu ya 10% inayotozwa na Bodi ya Mikopo kwa wanaochelewa kulipa deni

    Waziri wa Elimu Prof.Joyce Ndalichako leo Bungeni tarehe 4 Mei 2021. Ameiagiza Bodi ya mikopo elimu ya juu kuondoa adhabu ya asilimia 10 ya mkopo inayotozwa na kwa wanafaika wa mikopo elimu ya juu wanaochelewa kulipa mikopo hiyo baada ya miaka miwili kupita tangu kuhitimu kwao chuo. Kwaniaba ya...
  10. las Casas

    HESLB mnataka tufe kwa pressure?

    Mimi ni mnufaika wa Bodi ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB). Nilianza kulipa deni langu la shilingi milioni 6.5 mwaka wangu wa pili tu baada ya kuajiliwa. Nililipa deni langu katika kipindi cha miaka nane. Nimeshtushwa na barua niliyoandikiwa ofisini kwamba nina deni HESLB. Nimemaliza deni...
  11. T

    Bodi ya Mikopo HESLB waanza kuwakata watumishi wa TGTS B kabla hawajabadilishiwa muundo wa utumishi

    Ikumbukwe kwamba mtumishi ngazi ya cheti anaanza na TGTS B, akijiendeleza akapata shahada anatakiwa kubadilishiwa muundo na kufikia TGTS D ambayo ni mshahara ngazi ya degree. Kwa wale waliojiendeleza wakati wa awamu ya tano (certificate na diploma) na wameshamaliza shahada zao na wakati wa...
  12. M

    Mrisho Gambo alia na malipo makubwa bodi ya mikopo na serikali kutopandisha mishahara ya wafanyakazi

    Leo Mrisho Gambo ametema cheche bungeni kwa kuitaka serikali iongeze nyongeza za mishahara ya watumishi na kutaka makato ya wanafunzi bodi ya mikopo yapunguzwe kutoka 15% Amesema, sheria huwa hairudi nyuma sasa inakuwaje sheria iliyoweka 15% ianze kufanya kazi kwa watu waliokopa kabla ya sheria...
  13. Chinga One

    Nilitegemea Rais angeongea kitu kuhusu bodi ya Mikopo HESLB

    Kwa bahati mbaya sana Mama Samia hajagusia kitu kuhusu hawa mumiani, hope next time atanena lolote, sababu amekiri kuwa ni mdau wa mitandao na malalamiko yetu kwa bodi yamejaa sana huku 'sosho midia'
  14. Infantry Soldier

    Kwani Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) haiwezi kuwa na accounts za malengo kwa wanafunzi wa darasa la kwanza?

    Habari zenu waungwana wa humu jamiiforums Kwanini Bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HESLB) isianzishe campaign ya kuhamasisha wazazi kuanza kuwalipia watoto wao pesa kidogokidogo katika accounts maalum ya bodi wangali wakiwa bado wanasoma elimu ya msingi (Darasa la Kwanza)? Jenga picha mtoto...
  15. Elius W Ndabila

    Tuzungumze na bodi ya mikopo kuwanusuru Watanzania

    HELLOW BODI YA MIKOPO, HAMUWEZI KWENDA NA HII? Na Elius Ndabila 0768239284 Hivi karibuni kumekuwa na mjadala mzito juu ya hoja ya mnufaika wa Fedha ya bodi ya mkopo kutakiwa kuanza kuirejesha mara baada ya miezi 24 tangu kuhitimu. Hoja hii imezua mjadala mzito kutoka kwa wadau mbalimbali...
  16. Trubarg

    Bodi ya Mikopo (HESLB) na makato yao ni maumivu makubwa sana

    Let's assume mtu aliyesoma sayansi na kupata mkopo 100% ambao jumla ni kama milioni kumi (10,000,000) akakaa mtaani miaka saba, akapata ajira ya ualimu mshahara wa mtu laki tano. 🇹🇿Huyo atakua na penati ya 10% kwa miaka mitano = 10,000,000*10%*5=5,000,000 🇹🇿 Mwisho wa mwaka atapigwa value...
  17. scatter

    Bodi ya Mikopo (HESLB) tunaomba kujua kuna ubaya gani retation fee kwa wadaiwa ikasemehewa?

    Serikali yetu ni ya wanyonge na wanufaika wa hii mikopo ni watanzania masikini je hamuoni kuna ulazima wa kuisamehe au kurekebisha sheria ili kipengele cha retation fee kipunguzwe au kuondolewa kabisa kwa sababu kuna watu wengi wana nia ya kurejesha mikopo yao lakini wakisikia suala la deni...
  18. U

    Kuhusu deni la bodi ya mikopo (HESLB)

    Walibadilisha sheria ya makato kutoka 8% mpaka 15%. Mabadiliko haya yakawahusu hadi wale ambao walikuwa wanakatwa 8% katika mshahara. Wadau walipiga kelele lakini bodi hawakujali. Sasa wameanza tena uhabaishaji wao kwa kuongeza makato (retention fee) kitu ambacho hakipo katika mikataba ambayo...
  19. S

    Wito: Wanasiasa wa upinzani, wanaharakati na wadau wengine, anzeni kampeni ya kupinga sheria hii ya Bodi ya Mikopo ndani na nje ya nchi

    Tukubali sheria ya Bodi ya Mikopo inayoruhusu makato ya asilimia 15 ya mshahara ghafi wa mtu aliepewa huu mkopo(Siwezi kumuita mnufaika wa huu mkopo maana ni kutiana umasikini) pamoja na tozo ya asilimia 6 kama retention fee, ni sheria katili, mbaya na haistahili kuwepo katika nchi ya watu...
  20. Voice of Tanzania

    Mnaongoja matokeo ya Rufaa ya Bodi ya Mikopo

    Ndugu zangu mnangoja matokeo ya rufaa vipi uko akaunti zenu zinaujumbe UPI adi mda huu mana Siku imeisha hii sijaona mrejesho wowote kwa upande wa akaunti yangu.
Back
Top Bottom