wakuu salaam nyingi sana kwenu. Mimi naenda kwenye mada, mwaka jana niliacha chuo baada ya kukosa mkopo ikabidi nirudi home kujipanga upya na nikaaply mkopo mwaka huu huku nikiambatanisha death certificate ya marehemu mzee wangu. Mungu si athumani nilipata chuo kikuu cha private kwa course ya...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefafanua kuhusu taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusiana na utaratibu wa kupata majibu ya maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu katika mwaka wa masomo 2020/2021.
Taarifa iliyotolewa leo Jumatatu (Oktoba 19, 2020) na Mkurugenzi...
Nimepitia masharti niliyosaini katika mkataba wa kuomba mpoto wa kufadhiri masomo yangu ya elimu ya juu,kati yangu na Bodi ya mikopo (HESLB) nimegundua sikuelewa na hata kama ningeelewa ningesaini tu, kwa sababu ya uhitaji niliokuwa nao.
Lakini kuna masharti magumu sana hasa ukizingatia hatujui...
Inasikitisha sana bodi iliyopewa dhamana kuwezesha kupata elimu inavyobadilika na kuwa sehemu ya kuwanyonya watoto wa msikini.
Ukiangalia statement ya marejesho unatakiwa kulipa administration fee, penalty na value retention fee.
Inashangaza sana hayo makato ukifikiria mtu kamaliza chuo...
Miongoni mwa mambo ya kustaajabisha ya awamu ya tano ni sheria mpya zilizotungwa pamoja na marekebisho ya sheria za zamani waliyoyafanya.
Kuna muda ukikaa utafakari unashindwa hata kuelewa hawa watu wanafanya haya kwa lengo la kumkomoa nani? Kuna baadhi ya sheria ni za ajabu kwelikweli hadi wao...
Binafsi tumezoea kuona miaka yote bodi ya mikopo inafungua dirisha kwa Mara ya kwanza na wanafunzi wanatuma maombi then baada ya kufika deadline dirisha linafungwa.
Baada ya dirisha kufungwa, heslb wanaanza kuchekecha majina ya waombaji wa mikopo ndani ya siku kadhaa na mwsho wa siku kutoa...
Kamanda Lissu; nakushauri,pamoja na mambo mengine, usisahau kuongelea mambo hayo matatu yanayogusa na kuumiza wananchi wengi wa nchi kama ulivyozungumzia suala la TRA na wafanyabiashara pamoja na swala la wafanyakazi kutoongezewa mishahara siku ya jana mkoani Morogoro.
Awamu hii ya tano...
Habari,
Naishauri serikali kupitia bodi ya mikopo HESLB ianze kutoa mikopo kwa wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu.
mkopo uwe wa fedha taslimu milioni tano 5,000000/=. Mkopo huo utolewe katika vigezo na mazingira yafuatayo:
Kabla ya kuhitimu kila mhitimu atatakiwa kubuni wazo la mradi ambao...
Habari wanajamvi,
Je, mnufaika wa mkopo katika mwaka uliopita na akadisco chuo, anawezaje kupata mkopo tena iwapo yupo kwenye chuo kingine kwa sasa?
Kwa anayefahamu asaidie kushare tafadhali.
Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu- Arusha wakiandamana usiku huu kuishinikiza Bodi ya Mikopo Nchini
HESLB kurejesha kiwango kilichosalia cha 510,000/= kwa mwaka huu wa masomo 2019/2020.
Kama ilivyo kwenye sheria za bofi ya mikopo, kila mnufaika atapewa kiasi kinachoendana na siku alizokaa chuoni.
Hapo awali kabla ya Corona, boom moja ilikuwa 505,000 hadi 520,000 lakini kwa mfumo huu itakuwa pungufu.
Je, kama boom limepunguzwa, vipi kuhusu ada na direct cost? Vilipunguzwa...
Wapinzani na wadau wengine kwa ujumla,wakati tunaelekea katika kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa Raisi wabunge na madiwani,ni vyema mkawakumbusha watanzania madhara ya kuwa na wabunge wengi wa CCM Bungeni hasa ikitokea CCM inaridu tena madarakani
Watanzania(baadhi yetu) tunakuwa wapesi...
Bodi ilianzishwa mwaka 2005 kwa lengo zuri kabisa la CCM ya KIKWETE kusaidia wanyonge. Wakurugenzi wengi walipita, Nyatega ambaye baadaye alitumbuliwa alikuwa mtu mzuri na pia alipata kashfa ya kuweka fedha hizo kwenye FIXED account kabla ya kuwapatia wanafunzi, maandamano hayakuisha na Kikwete...
wadau kwa masikitiko makubwa nasema value retension ya 6% ya kila salio baada ya makato ni shida kubwa sana
kwanza wanufaika walilazimishwa kulipa asilimia kumi na tano wakakubali bado haitoshi wamewekewa 6% kila baada ya mwaka wa fedha kweli haki iko wapi.
watu wa sheria wanajua makubaliano...
Mikopo kwa ajili ya wanaosoma shahada za kwanza (degrees) , Maana kuna wahanga wengi (mimi nikiwamo) , tumeacha masomo kwa sababu tumekosa fedha ya kujilipia ada , !!
Msaada please kwa anaejua please ili tuandae (important documents) .
Maana ule msemo unaosema " MTEGEMEA NDUGUYE UFA...
Katika hali ya kustaajabisha Leo June 1, 2020 mamia ya wanachuo kutoka vyuo mbalimbali mkoani Dodoma wameonekana wakisotea fedha zao za mkopo "Boom''
Hii imeleta sintofahamu maana Waziri wa Elimu ya Juu Mhe. Ndalichako alinukuliwa siku chache kabla ya vyuo kufunguliwa akisema kwamba mpaka sasa...
Wakuu Kama Kuna member yeyote anafahamu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi Elimu ya Juu wasifu wake anisaidie nipate kumfahamu vizuri maana jamaa naona kama ni kichwa kwelikweli na akiongea anaongea kwa msisitizo kabisa.
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema imeshapeleka Tsh Billioni 122.8 katika vyuo na taasisi za elimu 81 kwa ajili ya mikopo ya wanafunzi.
Imesema wanafunzi wanaostahili kupata mikopo kwa mwaka wa masomo 2019/2020 ni 132,119, fedha wanazopewa ni kwa ajili ya malazi, posho...
Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imetoa saa 72 kwa Bodi ya Mikopo (HESLB) kutekeleza maagizo 4 likiwamo kuwaingizia fedha wanafunzi ambao hawajapewa tangu chuo hicho kifunguliwe, yasema isipotekeleza watakusanyika nje za ofisi ya HESLB.
Taarifa iliyotolewa na Waziri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.