bodi ya mikopo

  1. YEHODAYA

    Bodi ya mikopo HESLB eneo la 'select applicant category' halifanyi kazi kwenye online form yenu

    Bodi ya mikopo HESLB eneo la select applicant category halifanyi kazi kwenye online form yenu Vijana wanashindwa ku select category Watu wa IT rekenisheni
  2. Be_fm47

    Naomba kujuzwa mshahara wa Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo

    Habari Team, Mwenye kujua ni kiasi gani afisa mikopo wa loan board analipwa kuanzia basic salary
  3. Ta Muganyizi

    Serikali iingilie kati Suala la Bodi ya Mikopo. Ni Kama wamefanya makusudi maombi yashindikane

    Habari wadau. Naongea na watu wa bodi ya mikopo HESLB. Vijana wetu wanaenda kuomba mikopo kwenye website yao na hakuna msaada. Kwa mfano wamehitaji namba ya NIDA kwa hawa vijana. Baadae wanasema ni lazima Ufanye attachment ya kitambulisho cha NIDA. Watanzania kibao wana namba. Ok basi itokee...
  4. C

    SoC02 Taaluma yangu Mashakani

    TAALUMA YANGU MASHAKANI. Elimu Tanzania imekuwa sekta ambayo inatazamwa kama chanzo au nyenzo kuu ya kuzalisha wasomi au watatuzi wengi wa matatizo yanayoikumba jamii katika nyanja zote za maisha lakini imekuwa tofauti hadi sas wasomi kuzalaulika kwa jamii na kuonekana kama wajinga maana wasomi...
  5. F

    SoC02 Ili kupunguza ukosefu wa ajira, bodi ya mikopo itoe mikopo ya kujiajiri kwa wanachuo wahitimu wanaotaka kujiajiri

    Hello wadau wa JF, Nimekuja kuwashirikisha wazo ambalo likifanyiwa kazi linaweza likaleta mabadiliko makubwa kwa watanzania. Andiko langu limelenga katika sekta ya elimu kwa sababu ya imani yangu juu nchi yetu yenye Mali nyingi na wasomi wengi lakini tunaishi kimaskini. Licha ya kwamba elimu...
  6. 5

    Bodi ya Mikopo (HESLB), mfumo unasumbua kujaza fomu online

    Bodi ya mikopo kwanini unapojaza taarifa kama tarehe ya kuzaliwa ya muombaji, wilaya mkoa bado kuna question mark mfumo haukubali? Nani amefanikiwa kujaza hizi form kwanini mara hii imekuwa complicated kiasi hichi nina lisit ya wanafunzi tele hapa imegoma eneo hilo. Simu za bodi hazipatikani.
  7. S

    Waziri Mwigulu, pitia huu uzi wa mwaka 2016 unaweza kukusaidia kupata vyanzo vya mapato kwa ajili ya Bodi ya Mikopo

    Oktoba 31 mwaka 2016, nilipendekeza vyanzo vya mapato kwa ajili ya Bodi ya Mikopo kupitia Jukwaa la Siasa(mada ilihamishiwa Jukwaa la Elimu)ingawa teyari mojawapo ya chanzo mwaka huu mpya wa fedha serikali imekifanyia kazi kwa kukitumia kama chanzo cha kodi(tozo kwenye ving'amuzi). Wanachokosea...
  8. Superbug

    Wanufaika wa Bodi ya Mikopo mbona hamumshukuru Rais Suluhu?

    Mnataka mseme mwezi huu hamjaona kwamba madeni yenu yamepungua kwa nusu? Mtu ulikuwa unadaiwa milioni 15 zimebaki nane waliodaiwa 4m zimebaki 2m mbona hamumshukuru hata kwa hilo?
  9. nyangelekene

    Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) mbona tunaongezeana deni kila mwezi, shida nini?

    Sijaelewa shida nini ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu mwezi uliopita(wa kwanza) deni lilikua milioni 3 mwezi wa pili milioni 3, watu wengi wanalalamika madeni kuongezeka wengine wanamaliza lakini mwezi unaofuata wanakuta ongezeko tena. Shida ni nini? Hakuna taarifa yoyote wala ufafanuzi au...
  10. UtdProfile_

    Kati ya Mwalimu na Muhadhiri nani anastahili mshahara mkubwa?

    Jamani Mimi bado mawazo na fikra zangu zimebakia kwenye suala la mishahara, Kwa mfano nikianza na waalimu hivi Nani anastahiliii KULIPWA MSHAHARA MKUBWA Kati ya mwalimu wa SHULE ya msingi na lecturer wa chuo?
  11. N

    Kakangu ameamua mwanae abadili kozi sababu ya Bodi ya Mikopo kuendeshwa kwa siasa!

    Kakangu ana mwanae ambaye anaingia mwaka wa tatu kozi ya Udaktari (MD) kwa chuo ambacho nisingependa kukitaja. Mwanetu huyo pamoja na kuomba mkopo mara ya tatu mfululizo amekuwa akinyimwa. Siku zote amekuwa akilalamikia sana vipngozi wa Bodi ya Mikopo na hapa viongozi wetu hawa. Amekosa upendo...
  12. Methyl phenol

    Bodi ya mikopo wametumia Bil.169 out of Bil.570. Kwani hizi zingine znaenda wapi?

    Bodi ya mikopo mpaka round ya nne na ya mwisho wametumia Bil.169 out of Bil.570 Kwan hiz zingne znaenda wapi? hata kama kusema ni kwa continuing students ndo zote izo?? af first ia ndo ivo tunaambulia hela ya kula?? Mmmh hii imekaaje au me ndo selewi..
  13. waziri2020

    Chuo cha SAUT kampasi ya Arusha chang’ara tuzo ya utumiaji mzuri wa fedha za bodi ya mikopo nchini

    Mwandishi wetu, Arusha Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu nchini (HESLB) imekitunuku chuo cha Mtakatifu Augustino (SAUT) kampasi ya Arusha tuzo ya utunzaji mzuri wa kumbukumbu wa fedha za wanafunzi. Mbali na hilo pia bodi hiyo imekitaja chuo hicho kuwa ni miongoni mwa vyuo bora nchini...
  14. J

    Shaka atua Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndg. Shaka Hamdu Shaka Jumanne 26 Oktoba, 2021 ametembelea Ofisi za Bodi ya Mikopo ya wanafunzi elimu ya Juu zilizopo maeneo ya Tazara Wilaya Temeke Jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na viongozi na watendaji wa bodi hiyo. #ChamaImara #KaziIendee
  15. Abdul Nondo

    Bodi ya Mikopo wasijibu kwa ujumla ujumla Kiwango kidogo cha mikopo kwa wanafunzi

    HESLB wamejitetea kwamba kiwango cha chini cha mkopo walichotoa kwa mwanafunzi ni Tsh2,099,500. Hi ni taarifa ya jumla jumla na haina msingi.Hiyo ni fedha ya kujikimu na hutolewa sawa kwa wote. Bodi waseme kiwango cha chini cha Ada walichotoa ni Shiling ngapi? Mwaka huu zaidi ya wanafunzi elfu...
  16. W

    Mwanachuo anayeingia mwaka wa pili akaomba mkopo HESLB kwa mwaka huo, wanapotoa batch yeye ataingizwa kwenye batch gani?

    Naomba msaada wandugu, Eti kwa mwanachuo anaeingia mwaka wa pili, akaomba mkopo HELSB kwa mwaka huo. Wanapotoa batch yeye ataingizwa kwenye batch Gani, maana batch ya kwanza wamesema ni kwa mwaka wa kwanza na idadi at. Msaada please
  17. Elisha Sarikiel

    Bodi ya mikopo (HESLB) yawapangia wanafunzi 37,731 mkopo awamu ya kwanza kwa mwaka 2021/2022

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Jumapili, Oktoba 17, 2021) orodha ya Awamu ya Kwanza yenye wanafunzi 37,731 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 99.9 bilioni kwa mwaka wa masomo 2021/2022 unaotarajiwa kuanzia wiki ijayo. Mkurugenzi...
  18. N

    Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) wanatokaje awamu hii?

    Awamu ya tano ilikuwa na maupendeleo kibao. Mikopo ikawa inatolewa kwa watoto wanaosemwa ni wa walalahoi. Watoto wa tabaka la wafanyakazi - hata wale ambao mishahara yao ni kiduchu na haijapandishwa kwa miaka sita mpaka sasa, watoto wao wakanyimwa kukopa. Vigezo vya kutoa mikopo vikaangalia...
  19. N

    Ushauri kwa bodi ya mikopo ya Wanafunzi wa elimu ya juu

    1. Ninashauri bodi ya mikopo ya elimu ya juu isikie ushauri uliotolewa na Mheshimiwa waziri wa wizara ya mawasiliano juu ya matumizi ya TEHAMA. Achaneni na mambo ya kuwaomba waombaji wa mikopo watume maombi ya mikopo kwa njia ya Posta ikhali bado waombaji wameshawatumia kwa njia ya...
  20. N

    Bodi ya Mikopo imefuata siasa katika kutoa mikopo na kusababisha matabaka

    Kuna kiini macho kikubwa sana ambacho waTanzania hatujakigundua katika utoaji wa mikopo kutoka Bodi ya Mikopo. Anayepewa mkopo huo ni Mwanafunzi lakini tathmini ya uhitaji wa kumpatia mkopo Mwanafunzi huyo anafanyiwa mzazi wake. Hii ni sawa na kusema kuwa Mzazi ndiye alipaswa kuomba huo mkopo...
Back
Top Bottom