Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema imeshapeleka Tsh Billioni 122.8 katika vyuo na taasisi za elimu 81 kwa ajili ya mikopo ya wanafunzi.
Imesema wanafunzi wanaostahili kupata mikopo kwa mwaka wa masomo 2019/2020 ni 132,119, fedha wanazopewa ni kwa ajili ya malazi, posho...