bohari ya dawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Watumishi sita MSD kortini wakidaiwa kuiba, kusababisha hasara Tsh. Bilioni 14

    Watumishi sita wa Bohari ya Dawa (MSD) akiwemo Mhasibu Mwandamizi na Wafamasia wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka 37 yakiwemo ya wizi wa dawa na vifaatiba vyenye thamani ya Tsh. Bilioni 5.537, mali ya MSD. Pia, washtakiwa hao kwa makusudi wanadaiwa...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango: Tuwe na mfumo madhubuti wa kudhibiti dawa kuepuka wizi

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, amesema utunzaji hafifu wa kumbukumbu za dawa na vifaa tiba katika hospitali na vituo vya afya unachangia kusuasua kwa usambazaji wa dawa kutoka Bohari Kuu ya Dawa (MSD), na pia kufungua mianya ya wizi na matumizi mabaya...
  3. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa MSD: Tanzania ina ARVs za kutosha, tumeshafanya maandalizi

    https://www.youtube.com/watch?v=Wok58GcHwLs Bohari ya Dawa (MSD), imesema kuwa Serikali imejipanga kukabiliana na changamoto zozote zitakazojitokeza kutokana na uamuzi wa Rais wa sasa wa Marekani, Donald Trump kusitisha misaada ya kwa nchi za Afrika. Mapema mwaka huu, mara baada ya kuapishwa...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Jenista Mhagama: Ujenzi wa bohari ya dawa Dododma umefikia asilimia 95%

    Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, amesema ujenzi wa ghala la kuhifadhi bidhaa za afya la Bohari ya Dawa Kanda ya Dodoma lenye ukubwa wa mita za mraba 7,200, litakalogharimu zaidi ya Tsh. bilioni 23.7 umefikia 95%. Mhagama amesema hayo leo February 6, 2025 wakati akikagua ujenzi wa ghala hilo...
Back
Top Bottom