Assalam aleykum,
Nimeona thread moja ambayo imetoa utani nikashawishika kuandika hii in a serious manner kidogo.
Kabla ya kuendelea nianze kwa kutoa ONYO: Haya ni mawazo yangu binafsi kwa kadri ninavyoamini na kuelewa kwanini sekta ya filamu za kitanzania inayumba na wachukue hatua zipi.. Kwa...