bongo movie

  1. JamiiForums Tanzania NOTION: Bongo Muvi inafeli wapi?? Warekebishe nini?

    Assalam aleykum, Nimeona thread moja ambayo imetoa utani nikashawishika kuandika hii in a serious manner kidogo. Kabla ya kuendelea nianze kwa kutoa ONYO: Haya ni mawazo yangu binafsi kwa kadri ninavyoamini na kuelewa kwanini sekta ya filamu za kitanzania inayumba na wachukue hatua zipi.. Kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Darasa la VIDEO PRODUCTION kwa Lugha ya Kiswahili

    Nikiwa kama Mtanzania mwenzenu nimejitolea kutoa mafunzo ya Video production bure YouTube kwa Lugha ya Kiswahili (ingia YouTube tafuta Director Chuma) Kwa kile nilichonacho nimeona ni bora kushiriki nanyi ili tupige hatua katika sekta za filamu na burudani zote kupitia video nchini kwetu Kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…