bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. Kwanini Hip hop Bongo inakufa?

    Zamani hip hop ndiyo ilidominate charts maredioni mpaka mitaani...enzi za kina prof j, Afande sele, Ngwea nk. Leo hii amapiano, Bongofleva (copy za kinaijeria) na singeli ndio zinadominate kupigwa maredioni mpaka mitaani. Sikuhizi hakuna wasanii wa hip-hop wanaoshikilia soko kwa kuuza nyimbo...
  2. Nimechoka kuishi Bongo

    Habarini za humu wadau, Mimi ni kijana wa 26 yrs, mkazi wa Dar es Salaam, nakaa Sinza. Nina kazi nzuri tu ambapo napata mshahara wa 2m+ basic salary. Sina mtoto wala sijaoa, nategemewa na familia yangu huko mkoani, pia ni kijana wa kwanza kwetu, wapo wadogo zangu kama wawili hivi. Sawa...
  3. Wasafi Festival ni maonyesho ya muziki au Bongo movie?

    Wakuu ninashangazwa na kinachoendelea kwenye kinachoitwa Wasafi festival. Ikumbukwe hili ni onyesho la muziki linaloendelea mikoa mbalimbali. Kuna jambo limejitokeza ambalo mimi limenishangaza ingawa wengi wanasema ni ubunifu. Kama Wasafi Festival ni tamasha la muziki inakuwaje wasanii...
  4. Nini kifanyike kwenye bongo fleva ya Sasa?

    Wakuu mambo vipi ? Kutokana na maoni ya mashabiki wengi wa huu muziki wetu pendwa wa bongo fleva kwamba muziki wa Sasa hauna ladha kama muziki wa zamani , Je nini kifanyike? Tufanye kama zamani au vipi? Na generation ya sasa hivi wanasemaje kuhusu muziki wetu wa Sasa tuendelee nao au kama...
  5. Al Ahyl kucheza na Simba na Yanga, atakayempiga home and away ndio Kidume wa Soka la Bongo

    Huyu ni Bingwa wa Soka la Afrika, hivyo kama ingekuwa masuala ya kisiasa tungesema huyu ndio Raia namba moja wa Afrika. Sasa hapa Bongo Al Ahyl atakuja mara mbili, ya kwanza kucheza na Simba, na ya pili kucheza dhidi ya Yanga. Al Ahyl kufungwa hapa Bongo siyo jambo geni, alishafungwa na Simba...
  6. Quality headphones zinaaibisha watayarishaji wa muziki (producers) bongo

    Leo nimetumia headphones QC45 za bose kusikiliza wimbo fulani wa bongo, yaani, kwa jinsi zilivyo clear kwenye kila chombo cha muziki kilichotumika, nimesikia jinsi baadhi ya vipande vya wimbo huo vilivyo na mixing ambayo haina hata quantization halafu ni wimbo mkali sana! Bora tuendelee kutumia...
  7. T

    Hivi Bongo tunasoma ili iweje?

    Wakuu habari, Hivii Tanzania tuna soma ili iweje.Mataifa yote duniani elimu inatumika kumkomboa mwananchi kutoka mazingira duni na kuyaboresha , kuyatawala mazingira na si mazingira kumtawala mwanadamu. Hapa nyumbani tuna baadhi ya vyuo venye kozi mbali mbali ambazo kwa macho ya nyama...
  8. Je, Yanga akivuka robo atakuwa ndie giant wa mpira wa bongo?

    Mnamo siku ya Ijumaa droo ya makundi ya CAFCL na CAFCC itapangwa. Ningependa kujua, iwapo Yanga akivuka robo fainali peke yake ndo tayari atakuwa giant wa pira la bongo? Naomba tuseme mapema. Yanga anaenda kuvunja rekodi nyingi kuanzia Leo, na anaenda kuchoma vichaka vingi mno ambavyo...
  9. Makundi bora ya muziki kuwahi kutokea kwenye Bongo Flava

    Hii ni orodha tukufu ya makundi yaliyoweka alama kwenye muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania. Nyimbo zao zikipigwa hadi leo zinasisimua. 1. Hard Blasters Crew (HBC) Kundi liliundwa na Profesa Jay, Fanani na Big Willy. Albamu yao ya Funga Kazi itakumbukwa daima. Wimbo wao wa chemsha bongo...
  10. Mziki wa Bongo Fleva unaobamba sio wetu ni wa Afrika Kusini

    Kuna kipindi yaliwahi kutokea maneno kwamba Tanzania tunaitafuta sound yetu, kwamba ngoma ikipigwa tu unajua hii ni Bongo, Tanzania. Nimepata muda usiku huu kwenda YouTube kuziona trends, guys I'm sorry to say that what is trending down there isn't ours, it's South Africans' Amapiano. Na...
  11. R

    Media za Bongo kimya, American Got Talent, Ramadhan Brothers

    Habari za asubuhi wapendwa. The Ramadhan Brothers kutoka Tanzania wametinga fainali,nashangaa media za bongo zinko kimya..Hakuna asiyefahamu American Got Talent ni moja ya mashindano makubwa Duniani. Hakuna support yeyote imeonyeshwa na media za bongo kuweza kuwahamasisha watanzania kuwapigia...
  12. Bongo5: The 100 Greatest Bongo Flava Songs of All Time

    1. Zali la mentali – Profesa Jay ft Juma Nature 2. Starehe – Ferouz ft Profesa Jay 3. Latifa – MB Dogg 4. Bongo Dar es Salaam – Profesa Jay ft. Lady Jaydee 5. Darubini kali – Afande Sele ft Ditto 6. Cinderella – Alikiba 7. Mzee wa Busara – Juma Nature 8. Hakunaga – Sumalee 9. Mr Blue – Mapozi...
  13. Samsung A32 5g korean version kukataa network za bongo

    Habari, Nina sumsung A32 5g inaandikwa kt network Ukiweka SIM card ya tigo inaandika Limited service Haikubali kusoma line za bongo Kwa mafundi software na hardware nipeni solution
  14. Elimu ya bongo ina umuhimu mwisho shule ya msingi sekondari na vyuoni ni kupoteza muda tu

    Kwa namna elimu yetu hapa bongo ilivyo na inavyoleta matokeo yasiyo tarajiwa kwa kundi kubwa la wasomi na vijana. Nadiriki kusema kwa asilimia kubwa elimu ya Tanzania ina umuhimu mkubwa kwa shule ya msingi pekee( awali mpaka darasa la 7) ila sekondari na chuo ni kupoteza muda tu. Elimu ya...
  15. Hongera Chama kioo cha Soka la Bongo. Utakuwa ukilinganishwa na kila Mchezaji ajaye. Chama babalao

    MABAO mawili aliyofunga dhidi ya Power Dynamos huko Zambia, yamemfanya Clatous Chama azidi kuinyemelea rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa Ligi ya Mabingwa Afrika inayoshikiliwa na nyota za zamani wa TP Mazembe na DR Congo, Tresor Mputu. Kwa kufunga katika mchezo huo uliochezwa...
  16. Gabon Mtoto wa Ali Bongo ashtakiwa kwa Uhaini na Rushwa

    tua hiyo inakuja wiki 3 tangu aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Ali Bongo kupinduliwa Kijeshi muda mfupi baada ya Tume ya Uchaguzi kumtangaza kushinda Urais kwa muhula mwingine Noureddin Bongo Valentin ambaye ni Mtoto mkubwa wa Ali Bongo na washirika wao wakiwemo Msemaji wa Rais na waliokuwa...
  17. T

    Maisha ya bongo!

    Wazee waliposema usiku mrefu waliwaza vingi bwana, leo katika harakati nimejikuta nakosa msosi na kulala pakavu tumboni, sahizi nipo natapa tapa hapakuchi!! Nimeingia kitandani toka saa nne hadi sahizi saa tisa sipati usingizi nasinzia nikishtuka nakuta nimesinzia dakika kumi au kumi tano tu...
  18. Kwenye game linda sana brand yako, IT wa bongo mnakubali vp kupiga window kwa elf 5?

    Elfu 5, Yes! wala sijakosea ni 5,000. Nimeenda sehemu namkuta graduate wa computer science anapiga window kwa elf 5, like seriously guys? Mtu kasoma chuo kwa mamilioni halafu atoe huduma kwa elfu 5? Ni wazi hatambui hata uzito wa CV yake ya kusomea taaluma yake kwa miaka mitatu chuoni.
  19. Hawa hapa 30 bora,(Top Bongo Music Beast) watoto wa mjini, bila hawa Bongoflava isingekuwepo

    Hii hapa ni list ya wasanii wa bongo hiphop, kizazi cha zamani kilichoshine wakati wote.. waasisi wa Bongoflava. Kipindi hicho Tanzania kukiwa na radio tatu tu na TV moja ya burdani, yes *EATV Credits to MJRecords, Bongo Records.... Mambo yalikuwa sawa sana mpaka pale muovu alipoingia...
  20. Bongo ukifa na stress,umejitakia

    Sherehe ya kurudi kwa mkewe. Mtaa wa Nd ege....Hananasif Bongo ukifa na stress.............
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…