bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. Mtemi Eno

    2026 hapa bongo patakuwa na wachezaji wanalipwa milioni 50 kila mwezi

    Makampuni mengi kwa sasa idara ya masoko hawabezi fact kwamba hizi timu zina wafuasi wengi kuzidi vyama vya siasa na huunganisha watu pamoja hata kwenye tofauti za kidini ama siasa. Makampuni tunayaona kwa sasa yanataka ukaribu kwa namna yoyote na hizi timu, si ya hapa kwetu tu bali hata nje...
  2. BARD AI

    Gabon: Rais Ali Bongo kuwania Muhula wa 3 licha ya Familia yake kutawala kwa miaka 55

    Kiongozi huyo aliyeingia Madarakani mwaka 2009 akichukua nafasi ya Baba yake, Omar Bongo aliyetawala kwa zaidi ya miaka 40, atawania nafasi hiyo tena katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 2023. Bongo alishutumiwa na Kiongozi wa Upinzani Nchini Gabon, Jean Ping akwa Wizi wa Kura katika Uchaguzi wa...
  3. L

    Kuliko kununua gari used Bongo bora usubiri uagize tu used Japan

    Kwa muda nimejaribu kutafuta hivi vigari vidogo kama IST, Vits , Allex nk Vingi madalali wanauza Mil 10 mpaka 13 almost bei ya kuagiza mil 14 - 16 Japani. Hapo ukishanunua Bongo jiandae tena na mil 2 za kurekebisha gari angalau uweze kutembelea. Kwa ushauri tu usikimbilie kununua gari used...
  4. D

    Kuwa tajiri hapa bongo si mchezo Kuna mambo mengi ya kupitia.

    Ukitaka kuwa tajiri let say ukiwa mfanyakazi lazima uibe sana kama wafanyavyo TRA hasa wa firodha na wafanyakazi wa bandari. Ukiwa dada lazima uliwe sana au uwategeshee Mimba matajiri ili watunze mtoto na wewe. Ukiwa mbunge au mwanasiasa lazima uue albino sana kama anavyofanya musukuma na...
  5. R-K-O

    Kuna bloggers wasafi wanaopiga $2,000+ hapa bongo ?

    Nipo interested na mambo haya ila nilipotaka kufatilia nilikuwa nazungushwa sana, nikaja kugundua kwamba hii kazi ya blogging wanaotusua ni wale wanaotumia njia nyeusi na ndio mana hawapo open. Bloggers wa mikato hawa wala haishangazi kuchapa hata dola 2,000+ kila mwezi japo huwa ni wasiri mno...
  6. Librarian 105

    Bongo kuna wachambuzi au wachafuzi?

    Mchambuzi ni mtu makini na mtaalamu wa fani husika kwa weledi wa kiwango cha juu. Bongo hatunao watu wa aina hii mfano wa Dkt. Leakey Abdallah wa kizazi cha zamani na kwa kizazi cha sasa mfano wa Ali Mayay, Kiemba Amri na Edo Kumwembe. Wengi naona sio wadau, hii tetesi imekaa vipi?!
  7. Akilihuru

    Toka Bongo Fleva ianzishwe hakuna mwanamziki wa kike mwenye sauti ya kuvutia, kipaji cha kutunga na kuimba kwa hisia kama Lady Jaydee

    Binafsi nimekuwa mfuatiliaji wa nyimbo za bongo fleva haswa kwa upande wa R&B, na nimejiridhisha kwamba toka uanzishwaji wake ulipoanzia miaka zaidi ya 25 iliyopita, hadi leo hii hakuna msanii wa kike mwenye kipaji cha uimbaji, utungaji na ufikishaji ujumbe maridhawa wa nyimbo zake kama Lady...
  8. Nyendo

    TANZIA ERICK ADAMU (Nezo B-Msanii wa Bongo Fleva) Auawa kisa kudaiwa pesa ya umeme (LUKU)

    Mwanamke anayefahamika kwa jina la Blandinda Fredi Mkazi wa Kijiji cha Ilkrevi Kata ya Olturoto Wilayani Arumeru Mkoani Arusha anatuhumiwa kumuua Erick Adam ambaye ni Msanii wa Bongofleva na Mfanyakazi wa kiwanda cha mikate chanzo kikidaiwa kuwa ni kudaiana pesa ya LUKU (umeme). Mashuhuda wa...
  9. kyagata

    Hivi kibongo bongo ni sahihi mwanaume au mwanamke asiye na degree kumiliki mtu mwenye degree?

    Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good? Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani? Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure, ampate...
  10. M

    Kwanini nchini Wachezaji wa Timu Bingwa hawajumuiki na wenza wao wakati wa kukabidhiwa kombe?

    Sijawahi kuona hii, shida ni nini? Kule mamtoni ni kawaida sana wachezaji kujumuika na wapenzi wao wakati wa kukabidhiwa kombe.
  11. KENZY

    2015-2023 ten best bongo flavor on my playlist

    Hii ndo list Kali inayotamba kwasasa kwenye playlist yangu ya bongo flavor(kizazi cha Sasa tu), list ipo ndani ya hiyo miaka haitatoka nje!. tulieni tuwafundishe mziki kwa wale msiojua mziki mzuri ni upi!..😅
  12. Ricky Blair

    Airbnb za Bongo

    Mnaorentisha watu Airbnb Bongo 90% bora mfunge tu mfungue hostel. Hamjui kabisa how the online world works. Nimesafiri nchi chache zingine Africa but none nimekutana na ukuda wa Bongo. Jaman hii huduma ya kuwa online 24/7 Km huwezi ajiri mtu wa kuwa online at least before your place haijawa...
  13. M

    Wachambuzi bongo hakuna tena, wanatumia artificial intelligence kuandaa makala za mchongo

    GOLI KIPA ILI AWEZE KUWA BORA ANAHITAJI KUWA NA VITU VIFUATAVYO⚽ . 1. Uokoaji: Hii inahusu jinsi golikipa anavyoweza kuokoa michomo inayoelekezwa kwenye lango lake. Uokoaji mzuri unahitaji muda wa mwitikio, uamuzi sahihi, na ufundi katika kukabiliana na mipira inayoingia. 2. Mawasiliano...
  14. Mwachiluwi

    Nikisema mastaa wenu hawana hela hasa bongo sasa Zari wakwenda kuspend element kwa jina alilonalo?

    Hellow africa Sikutegemea Zari kwenda element kuspend sio hazi yake yeye alitakiwa kwenda maeneo kama wavuvi kempu, karambezi, sea crif, cape town huko ndiko anaweza tumia pesa pale anagawa tu
  15. M

    Wana habari wengi wa media za Bongo ni mashabiki wa Simba wamejaa fitina

    Mafanikio ya Yanga Mwaka huu hasa katika mashindano ya kimataifa yamedhihirisha jinsi wana habari wengi walivyo mashabiki wa Simba hadi wanashindwa kuficha hisia zao, chuki na wivu kwa mafanikio ya Yanga. Wamekuwa wakijificha kwa kile wanachokiita uchambuzi lakini ukifuatilia chambuzi zao...
  16. Artifact Collector

    Bongo movie hazifundishi ujasiri bali msisitizo upo kwenye mahusiano

    Kama ulishawah angalia bongo movie hata kwa uchache wake utagundua bongo movie hazifundishi ujasiri kabisa visa vyao karibia vyote ni vya mapenzi hii imepelekea kuwa na kizazi ambacho sio majasiri Tanzania hatuna majasiri kabisa hii ni kwa sababu mtoto anakua katika mazingira ambayo...
  17. Balqior

    Msaada tutani: jinsi ya kupokea hela kutoka nepal kuja bongo

    Nina ndugu yangu yuko nepal, sasa western Union ya nepal hairushi hela toka huko kuja Tanzania, je bank to bank itafaa, au kuna international agency ingine ipo..wenye uzoefu wanisaidie
  18. aka2030

    Hizi ndio Album 20 za bongo fleva toka muziki uanze

    Not naongelea bongo fleva upande wa kuimba Hizi ndio album bora 25 za miaka 23 1.Tid-sauti ya dhahabu-2001 2.Alikiba-cinderella-2007 3. Lady jay dee - Binti 2003 4. Bushoke -Barua 2004 5.Mb dogg- Si uliniambia 2006 6.Marlaw -Bembeleza 2007 7.Diamond- Kamwambie 2010 8. prince Dully sykes...
  19. Gentlemen_

    Usanii na Akili nyingi aliyotumia Prof Jay katika Wimbo wa Bongo Dar es Salaam

    Huu wimbo uliachiliwa Mwaka 2001, katika albam yake ya Machozi, Jasho na Damu. Nitachambua na kuunganisha na Matukio ya sasa ambayo enzi hizo yalikuwepo ila baadhi ya watu wanayafanya kama ni mambo mapya... na uzuri huyu PROFESA Alichimba ndani sana.. 1- Ushoga 2- Umalaya na Kuuza Miili 3-...
  20. Invisible

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Nimeonelea nianzishe hii section ili watu tuwe tunapeana maneno ya hekima. Huu ni mwanzo na ruksa kuendeleza thread (mada) hii ili mradi uwe umejisajili. You may use any of the two official languages, Swahili or English. Karibu +++++++++++++++++++++++++++++++++++++ If we don't change, we don't...
Back
Top Bottom