Habari za muda huu...
Leo nimewaza jinsi madalali wanavoharibu soko la vitu TZ ila ni sisi wenyewe ndio tunawaendekeza sana, nikiangalia vyuo vyetu UDSM, DIT, MUST etc etc wanazalisha ma IT kibao kila mwaka ila wote wanaishia kutengeneza website ambazo ndani ya mwaka zinakufa.
Leo naomba...
Mapema wiki hii, imetrend habari imuhusuyo aliyekuwa Rapa Maarufu nchini Kenya, Colonel Mustafa baada ya kuonekana akifanya kazi za Ujenzi.
Katika mahojiano rapa huyo alikiri kuwa amelazimika kuingia mzigoni ili apate fedha za kumtibia Mama yake aliye mgonjwa wa Saratani. Wakenya wenye roho...
Habari zenu wakuu, nimepitia pitia mitandao ya huko kwa wenzetu nimeona kwamba huwa kuna unga ama vimiminika vinarejesha rangi za nguo zilizopauka rangi.
Kwa hapa kwetu nimeona nguo hasa hizi za dukani zina janga la kuondosha rangi hara sana waweza kununu aipo fresh ila ukifua nara mbili ama...
Habari,
Weekend iliyopita nilikuwa naangalia tuzo za TMA yaani Tanzania Musics Awards na kuona vipengele tajwa hapo juu. Sasa bado sijaelewa tofauti zake. Mwenye kuelewa naomba anijuze.
Hawa watu mbali na mziki pia ni marafiki wa kitambo sana, sema wabongo tumekalili kua ili watu wawe mabest lazma wafanye ngoma nyingi za pamoja Kama ilivo kwa mwana fa na ay
STORY INAANZIA HAPA......
Kimzik Mr blue ni mkongwe Zaid kuliko alikiba na blue ndie msanii alianza mziki ktk umri mdogo...
Kulingana na hoja za Bongo Zozo raia wa Tanzania waliopo ughaibuni wananyimwa fursa ya kuendeleza nchi yao. Aidha Tanzania inakosa fursa ya kupata huduma kutoka kwao
Tuna Jambo la kujadili ili tupate muafaka!
Soka la bongo halitaendelea kamwe kwasababu ya ubovu wake kuanzia kwny timu zake unafiku uzandiki ushamba
Hivi hizi simba na yanga n timu za Kenya na Tanzania au? maana ushabiki unazidi Sasa si ajabu jumapili umuone mwana simba anawashabikia rivers hadharan kwa mkapa wampige yanga hii hata watu...
Habari zenu wakuu, hapa bongo soko la nguo kuna baadhi yetu lishatutoa knock out, unaweza kwepa midosho ya elf 15 ukaenda kwenye duka la cadet za elf 40 ukazani hapa ndio penyewe kumbe mambo yale yale tu, ukifua mara mbili tatu ishakuwa bwanga, pindo hohe hahe, rangi imechuja.
Sasa basi mimi...
Wakuu habari zenu nahitaji kufahamishwa mahali kilipo au vilipo kiwanda vya nguo kwa Dar au Pwani ambacho kinazalisha tshirt.
Achana na vile vya external pale.!
Treyzah ni msanii wa muziki wa kisasa ambaye ameweza kuweka alama yake katika anga la muziki wa Afrika Mashariki. Kupitia sauti yake iliyoshiba, mashairi yake yenye maana na usanii wake wa kipekee, ameweza kujipatia mashabiki wengi na umaarufu mkubwa.
Muziki wa Treyzah unatia moyo na kujenga...
Kimeendelea kunuka Kenya. Hakuna anayekioanisha na ukabila isipokuwa kutokea Tanzania.
Leo Raila alikuwa kapigwa kalamu kufanya vitu vyake Murang'a Ukikuyuni huko.
Unamsimamisha vipi Tutu, Mandela, Nyerere au Seif kutokuitumia haki yake ya kikatiba?
Raila and Azimio leaders defy police...
Kuna midigree inatisha ukisikia mpaka unajiuliza huyu mtu kweli namvyomjua ni kilaza hivi amewezaje kuviweka kichwani. Kumbe ukianza kuongea naye hamna kitu ila Cheti chake kinatisha.
Mfano banking na financial services, sijui highway engineering sijui educational policies and planing etc...
Habari wakuu!
Nadhani kwa kipindi hiki wengi mnaelewa katika tathnia ya usafirishaji abiria (mabasi) kumekuwa na ushindani mkunwa sana.
Yaani katika ushindani huo imefikia kipindi watu wanaingiza mabasi nchini kwa wingi kuliko kawaida, lengo ni kuweza kuhimili ushindani huo kwa kuboresha huduma...
Siku hizi mambo rahisi sana. Si mpaka uanze kutengeneza app from scratch. App karibu zote wahindi wametengeneza na wanaziuza. We chakufanya nunua tu na IT akuwekee sawa. Kutengeneza wanachukua muda mrefu sana, wasumbufu na kazi itatoka haina viwango kabisa. Hizi za kununua zipo vizuri sana. Na...
Ni miaka 11 Sasa tokea kifo Cha star mkubwa wa maigizo,the great Steven kanumba kutokea,kanumba alikuwa na content yake special iliyokuwa inambeba,sijaona wakuziba pengo lake,bongo movies ya Sasa Amna aliofikia level ya kanumba kwenye kuigiza,kipaji mpaka production.
Steven kanumba baada ya...
Hello members,
Nimestushwa sana na hii trend ya kutafuta wahadhiri kwa kurudia rudia matangazo kila siku.
Nilikua na mzee mwenzangu leo akanionesha tangazo la kazi za wanataaluma kutoka UDSM zaidi ya wanataaluma 300 huko lakini chakushangaza tangazo linarudiwa!!
Shida ni nini na wasomi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.