bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. Shujaa Mwendazake

    Mabondia wanaokuja Bongo wanafanyiwa Vetting?

    Huyu dogo anayepambana na Tony Rashid mbona sifa zilikuwa nyingi na anaonekana anakwenda kupoteza pambano. Hizi trends za wabongo kushinda , je ni wako bora sana Africa au tunamdanganya nani? Ni wakati sasa na wao kutoka kwenda S.Africa na sehemu nyingine kututhibitishia lakini si kwa hii...
  2. pantheraleo

    Dar: Show ya Heshima kwa Wakongwe wa Bongo Fleva si ya Kukosa

    Deiwaka World chini ya Joseph Mbilinyi “SUGU” kwa kushirikiana na Alliance Francaise (Kituo cha Utamaduni cha Ufaransa), imeandaa “Bongo Flava Honors” Concerts ambalo ni Jukwaa mahsusi kwa Wakongwe wa Bongo Flava. Concerts hizi zitafanyika Alliance Francaise, Upanga, Dar Es Salaam. Kila mwezi...
  3. Zombie S2KIZZY

    Wasanii wa Bongo badilikeni, jifunzeni kwa wenzenu namna nzuri ya kufanya show

    Wakuu hii shoo ya badgirl Riri ni noma kwanza mipangilio imepangika mavazi, madensa sound, lights. Yaan ni noma shoo imetulia ina ladha huumii masikio na wala huchoki tazama. Wasanii badilikeni sio kutupigia kelele stejini. Kushoto kulia mara washa light ya simu yako Mara tuimbe woote hata...
  4. M

    Kufunza hesabu bongo

    Tafakari ya babu na Swaleh Mdoe "Nikiangalia kopo langu la mkono, lasema ni saa moja na dakika takribani kumi na kenda." Tafakari ya babu... "Mtoto mmoja alianza kujipaka mate kichwani katika darasa la hesabu. Mwalimu akamuuliza, "kwa nini wewe mjinga unajipaka mate? "mtoto akamjibu,"jana...
  5. OKW BOBAN SUNZU

    Bongo Nyoso: Lori la mradi wa SGR lamakatwa likitafutiwa mteja ili liizwe

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekamata gari aina ya HOWO tani 12 lenye thamani ya Sh180 milioni likiwa katika harakati za kutafutiwa mteja ili liuzwe mkoani Tabora. Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Blasius Chatanda aliyoitoa kwa waandishi wa habari leo Februari 6, 2023, inaeleza...
  6. T

    Taarifa ya ajali ya Tanga vifo 17 naiona Aljazeera, TV za bongo zinaonesha miziki tu

    Nimeikuta ALJAZEERA wanaionyesha muda wote kwenye kimstari kinachopita chini, scrolling ticker. Yani wameipa umuhimu. nikaenda kutafuta details kwenye TV za bongo, zote zinaonyesha vipindi vya miziki... Ndio aina ya media ambayo inaruhusiwa. Serikali kwa makusudi inalea taifa la watu wasio...
  7. Jidu La Mabambasi

    Lissu ukirudi Tanzania zingatia hili, kumkashifu Baba wa Taifa ni off limits

    Tundu Lissu karibu Bongo. Nchi hii imeundwa, na walioiunda wengi wametangulia mbele za haki. Lakini sera, misimamo na misingi yao ya haki na maendeleo kiuchumi, kijamii kwa ujumla mustakabali kitaifa iko pale pale. Misingi ya umoja wa kitaifa ndio umeijenga nchi inayoitwa Tanzania. Kinara wa...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Kibongobongo haya ni Mafanikio Makubwa kwako Kijana ukiwa nayo. Furahia Maisha

    KIBONGOBONGO HAYA NI MAFANIKIO MAKUBWA KWAKO KIJANA UKIWA NAYO. Anaandika, Robert Heriel Siandiki kukusifia, au kukufanya uridhike. Najaribu kukueleza kuwa lazima ukubali kuwa umepambana na ufurahie matunda ya Kazi ya mikono yako. Usiposhukuru Kwa hayo uliyonayo hutokuja kushukuru Kwa Yale...
  9. kali linux

    Dizasta Vina ndo "Rap god" wa bongo kwa sasa

    Hello bosses... Nlidhan sitokuja kusikiliza tena rap kutoka bongo, kwa wale tunaopenda rap kutoka kwa veterans iwe wa humu tz au nnje basi natumaini mtanielewa. Dizasta ni complete package ya msanii, hata videos zake ni simple ila zinatell story kama miaka ile ya kina professor Jay, Juma...
  10. NetMaster

    Tukiachana na wachezaji Kapombe na Mwenda kupigana na kupangua vipapai, ni wachezaji gani wengine waliowahi kuhusika katika mazingira haya ?

    Ni uzi maalum kwa kumbukumbu Kwa vile sayansi haithibitishi kila kitu ikiwemo uchawi inakuwa ngumu kupata ushahidi ila wataalam wa mambo wanakwambia kwamba haya mambo ya kupigana vipapai yapo katika soka la bongo. Hadi sasa tumeweza shuhudia wachezaji hawa wawili Mwenda na Kapombe wakihusishwa...
  11. chizcom

    Marehemu Kanumba uliondoka na Bongo Movie yako japo ndiyo ulianza kuichangamsha

    Leo nimekukumbuka baada kuona wasanii wa bongo hawana tofauti wanachama wa CCM baada ya maigizo yao au kazi zao. Japo ndio ulikuwa mwanzo mgumu ila ulitendea haki tukupe shukrani. Huku umetuachia wajinga wengi mpaka wengine wamekuwa wanyekiti wa misiba na mbwembwe.wapo wachache wenye kutimiza...
  12. De Opera

    YouTube inalipa ila sio hapa Bongo

    Wakuu mambo vipi? Ni muda mwingine tumekutana tukiwa salama kabisa, ila poleni sana kwa wale mnaopitia changamoto kinamna yoyote ile na ninawaombea muweze kurudi katika utimamu. Wakuu, uzi huu leo naupitisha katika sindano ya YouTube. Mimi nimekuwa YouTube Creator it's about 10yrs now, and I...
  13. K

    750k(take home) ni mshahara unaweza kumfanya mtu aishi kidogo bila wasi hapa Bongo?

    Wakuu nilikuwa nauliza tu kama 750k ni takehome inayoweza kumfanya mtu aishi kidogo standard life. Maana usikute nadharau kumbe naweza kufanya kitu.
  14. M

    TCU inatambua degree na diploma za mtandaoni?

    Naomba kujua kama hizi degree na diploma zinazotolewa mtandaoni na vyuo vya nje kama TCU inazitambua.
  15. Expensive life

    Hizi hapa nyimbo tatu kali za Bongo Fleva tulizofunga nazo mwaka

    1 : kontawa - champion 2: Dulla makabila - Pita huku 3: Mbosso - Shetani
  16. Slowly

    WCB bado wana nguvu sana kwenye muziki wa Bongo Flava

    Inafkirisha na kushangaza Sana, tumeshuhudia mara nyingi Clouds FM, Efm na wengineo wengi mpak waandaaji wa tuzo za mziki tz wakiweka rank zao za wasanii Bora kuanzia top 10, top 20 etc. Watu wamekuwa hawajali kuhusu hzo rank , hata WCB wenyewe wamekuwa wako kimya kabisa, mara nyingi harmonize...
  17. Edo kissy

    Bongo bwana😂😂

    Iv kweli ananipenda au muongo tyuu😂🤷 Naombeni ushauri wenu
  18. Akotia

    Sehemu nyingi za starehe Bongo ni za kawaida

    Ukiachana na Haile salasie strip, ambazo kuna Elements, SamakiSamaki na sehemu nyingi zengine za starehe. Clubs kama Maison na Havoc, Tips na wavuvi camp. Sehemu kwengine Most ni average hata Bar iwe nzuri vipi. Kwanza the selection ya music ni ileile, Ma dj wanapiga nyimbo zile zile trendy...
  19. GENTAMYCINE

    Kwa Mazingira haya Tata na ninavyoujua Mpira wa Bongo ulivyo Azam FC ameshafungwa mapema tu na Yanga SC Krismasi

    1. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi..... Siku ya Mechi yetu na Yanga SC Jumapili tarehe 25 Disemba Tutavaa Jezi Nyeusi. 2. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi...... Kuhusu Sisi Azam FC kuvaa Jezi zetu Nyeusi nilisema tu Kiutani ila Tutavaa Jezi tutakazotakiwa Kuvaa...
  20. Andazi

    Ni aina gani ya tovuti zimesahaulika kuundwa Tanzania?

    Oya let's share wewe kwa maono yako unaona aina gani ya tovuti zimesahaulika kuundwa ili maprogrammer wetu waweze kufix mambo? kinara wetu Chief-Mkwawa Binadamu Mtakatifu Hawa ndo ninaowajua humu, karibuni.
Back
Top Bottom