Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Ndugu wanajamii forum wenzangu, unapokuwa nje ya nchi mara nyingi unakumbana na changamoto nyingi kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki uliyowaacha nyumbani.
Hii ni kutokana na wao kuona, au kuamini...
Wanabodi, nimefuatilia mambo ya migodini nikagundua geologist, engineer ambaye ana cheo kama geology manager, au Gelogy supervisor mshahara wao unakuwa wa kawaidi, mfano 9-10 Million/mwezi wakati Supervisor wa maendeleo ya jamii anakula hata million 14. Je hii ni kwanini au wana malipo ya ziada...
Uongozi wa Klabu ya Africain ya Tunisia umetuma mashushu ili kuja kuangalia mechi kati ya Yanga na Simba itakayofanyika siku ya tarehe 23 Oktoba. Wataalamu hao wa kusoma mchezo yaani 'match analysts', wanatarajiwa kushuka nchini siku ya Ijumaa na taarifa za ndani zinasema washapata tiketi kwa...
Nilikuwa nacheki bongo movie mchana wa leo kupitia azam 😁 dah ni fedheha sana, ni aibu mno, mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa ERTUGRUL na kwa sasa OSMAN, kwakweli waturuki wapo mbali sana, hii historia ya Ottoman inatufundisha mambo mengi sana ambayo huyakuti katika movie zetu za kibongo wala...
Mabeberu yameshamgundua china kuwa ni chui wa karatasi! Chui wa karatasi ana sura ile ile ya chui na ametoa meno lakini hawezi kuuma!! Ni sawa na nyoka wa kibisa ambaye hata watoto huwa wanaweza kucheza naye maana alishatolewa meno!
China ilibweka sana kutishia Spika wa bunge la marekani Pelosi...
KIBONGO BONGO HAWA NDIO MASHUJAA WA NCHI YETU.
Anaandika, Robert Heriel.
Ifuatayo ni orodha ya mashujaa waliopo katika nchi yetu. Ukiwaona watu wa namna hii waheshimu Sana.
1. Vijana ambao hawajaajiriwa lakini wanajitegemea.
Shout-out Kwa wanangu wote wa kitaa, na warembo wote ambao...
Hizi nyimbo wanatoa wakina HARMONIZE (HIGH SCHOOL), IBRA (THE KING OF NEW SCHOOL) .kwa upande wangu ni mkusanyiko wa nyimbo kali tu. na sio album.
yale maneno ya ROMA MKATOLIKI kwenye nyimbo ya 2030 " MZIKI UMEJAA STRESS KILA NYUMBA INA MSANII " ayo maneno yalikuwa yapo sahihi na ndo...
Watanzania kwenye suala la kuweka kumbukumbu na takwimu tuna tatizo kubwa sana, kuanzia mtaani Hadi serikalini.
Leo nimekaa nimejiuliza he ni msanii Gani wa Bongo Fleva anayeongoza Kwa kurecord trucks nyingi na zilizokuwa released sijaweza kupata jibu, lakini Kwa mawazo yangu anaweza akawa kati...
Hakuna mtu alikuwa karibu na mzungu kama Raila, hakuna aliyekuwa ana ushawishi mbele ya mzungu hapa Afrika kama Raila mpaka hata walisema Obama ni cousin yake, lakini siku imefika na mzungu kapindua meza na Raila hatakiwi tena. Najua mtasema Ruto kashinda kidemokrasia lakini ukweli ni kwamba...
Mimi nakula Balimi lager siku za weekend kama leo.
Siwezi kupoteza muda kushabia Man U au Arsenal.
Taifa letu lina changamoto nyingi. Tozo zimekuwa kama mwiba wa Gogogo kwa watanzania. Wanaumia kila kona. Nawafuata na kuwauliza na kila mtanzania analalamika. Anaona sasa ni kumizwa na mwiba wa...
Tunapenda kupeleka shutuma hii kwa waigizaji wa bongo movie hasa episode za ndoa/mahusiano/mapenzi. Waigizaji hawa wamekuwa wakiingiza ubaya, ubabe, ufedhuli, kiburi, umalaya, wizi, utapeli, ushirikina, mauaji, matumizi ya dawa za kulevya, ndani ya mapenzi kitendo ambacho kimekuwa kikifundisha...
Ndugu wa msanii wa vichekesho Eric Kisauti ambaye alifariki siku kadhaa zilizopita wametoa tuhuma nzito wakiwatuhumu waliosimamia msiba wa ndugu yao kupora kiasi cha shilingi milioni 60.
Tuhuma hizi zilijibiwa na wasanii waliopata nafasi ya kwenda kuzika kwa kuweka wazi kwamba bajeti ya safari...
Nimepata wasaa leo nikaskiliza album mpya ya barnaba classic. Ni album nzuri kwakweli lakini nilivyofika kwny track aliyomshirisha Marioo, kuna kitu tofauti kabisa nikagundua kwny ngoma hiyo. Yule kijana sasa hivi ni kana kwamba yupo ndani ya beat anaflow nalo kama mawimbi kwny bahari ,anafanya...
Habari zenu Wana jf?
Kuna swali huwa najiuliza lakini nakosa jibu sahihi,nikaona si vibaya swali/jambo hili Nika wahusisha na ndugu zangu wa humu jukwaani.
Jambo lenyewe si geni saana Ni hivi, Kuna TEKNOLOJIA Fulani ya kuendesha mitambo yaani namaanisha injini kwa kutumia maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.