Habari za majukumu wakuu..
Moja kwa moja kwenye mada, haina ubishi kwamba tasnia ya mziki kwa sasa imeendelea sana wote tunashuhudia vijana wanavojituma kusukuma gurudumu la bongo fleva kusogea.. kufanya mziki ni ndoto ya mamilioni ya vijana (nikiwemo mimi) lakini kwa hali ilivo sasa uhalisia...
Kweli hii vita hatari sana Jana nimeenda kununua dagaa Bukoba kilo moja ni Tsh 11,000 na nikaenda buchani kununua nyama ni 8000 nikastajaabu jinsi dagaa zilivyokuwa ni chakula cha mtu wa chini kwa kipato now azishikiki yaaani sasa nyama ni chakula cha mtu wa chini dagaa matawi ya juu mambo...
Nianze kwa ku declare interest, sijawahi kuwa shabiki wa soka la wanawake hata kidogo.
Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa nikiona wanawake wanacheza mpira nilikuwa nawaonea huruma kwa sababu nilidhani walikuwa wanaumia wakicheza.
Nimekuwa mtu mzima still bado sijawahi kuupenda mchezo huu kwa...
Hali inazidi kutisha sana katika upande wa bongo movies, kwani hiyo tasnia haiendelei na wala hailipi. Ukija kutafta watu maarufu na wenye hela utakuta ni wa bongo fleva, je huko bongo movies shida ni nini?
The late Kanumba alijaribu kuipambania sana hiyo tasnia baadaye JB naye akaipambania...
Msanii wa Bongo Records aitwae Daz Baba ambae alitoa nyimbo kali kama Nipe tano, umbo namba 8, wife nk.
Alituletea album classic ya Elimu Dunia kinachosikitisha ni kwamba hajawai kufaidika na mauzo ya album yake hela za mauzo anachukua P Funk Majani ambae alitengeneza mikataba ya ujanja ujanja...
Nimesikitishwa sana na kitendo cha Tv za bongo kutokuonyesha mashandano ya riadha ya kimataifa yanayofanyika nchini marekani , ambapo kwenye mashindano hayo baada ya kutafuta channel zote za Tanzania nilikosa nikafanikiwa kuyaona live kwenye channel ya Kenya iitwayo KBC
Nilishangaa kumwona...
Aisee mambo ya kuwa na mwili na Misuli ya kuvutia imepelekea wasanii wengi wajitoe muhanga kula dawa Ili waweze kupata Misuli mikubwa na inayoonekana ilinkuimarisha brand zao.
Niwekee wazi tu SI rahisi Kwa mtu yeyote kubeba vyuma na kuwa na mwili wenye Misuli, hata magwiji kama Anorld, Rambo...
Hivi ni kipi kinawazuia hawa waliojiita ni wakimbizi wa Kisiasa wasirudi Tanzania ?
Naona wanaona kama waliishi Bongo kwa Bahati mbaya tu ila kwa uzuri wa huko Ulaya ni bora waendelee kuishi huko .
Ni wakati muafaka kwa Tundu Lissu na Lema watupe sababu ya kueleweka kwanini hawarudi
adriz, mwanausangi, Frank Wanjiru, Sky Eclat, KISIWAGA, Daudi Mchambuzi, cocastic na Bila bila kumbe nyie na 'Ujiniasi' Wenu wote mnaishi huko Uswahilini Bongo na ndiyo maana mwisho Wenu wa kuwepo ( kuchati ) hapa Jamiiforums ni Saa 12 za Jioni tu?
Sasa ngoja nitafute Marafiki zangu wapya...
Kweli bongo tamu,machozi yamemtoka akipewa mkono wa kwa heri na Simba ila amesema haondoki bongo atapambana apate timu hata kama ni championship league
Kuna mambo mengi sana yanaendelea nyuma ya pazia bila ya wewe mwenyewe tafadhari usipuuzie tafuta mtaalamu akuwekee sawa mambo yako la sivyo utatumia nguvu kubwa sana lakini hutotoboa .
Kama utaona aibu kwenda kwa mtaalamu basi nenda maduka ya dawa ya asili wakuuzie dawa zitakazokukinga na...
Huu sio uzi wa michezo.
Ukifuatilia soka letu unaweza dhani Boko, Kagere, Wawa, Nyoni ndio watu wenye mafanikio makubwa katika umri mdogo.
Dogo akiwa na miaka name tayari amegonga kopi Genk, Valencia, Barca na Ajax.
Dogo anasema katika maisha yake ndoto yake kubwa Ni kuwatumikia Jangwani. Na...
Huwa nina tabia ya kutembela Supet Market za Arusha hasa zile kubwa kabisa na sio vile vi min, Sasa leo nikawa niko Village Siper Market na sana huwa nazungukia sehemu za Vyakula pekee.
Ukitembelea hizi super Market kubwa kuna vitu vinasikitisha sana na kuona kabisa kilimo sisi bado mno tena...
Habari wana JF,
Nimejiuliza sana hivi kwanini Movies zetu za kibongo na series zetu hazipendwi kama hao Waturuki, wakorea, wafilipino, wahindi etc?
Kwangu mimi nimepitia tamthiliya na muvi mbali mbali za kibongo na kugundua kasoro zifuatazo:
1. Zinakosa uhalisia ,uhalisia wa kimatukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.