bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. Nairobi, Kenya, nayo kujenga BRT kama Tanzania wenye thamani ya Ksh 43.4 bilioni

    Serikali ya Kenya nayo imeamua kuinga toka Tanzania, kuwa na mradi wa Rapid Bus Transport(BRT) ijengwe Nairobi Kenya. Mradi wa Kenya inaelekea utakuwa mkali zaidi kwa kuwa na mabasi ya umeme. ================= Baraza la Mawaziri Jumanne, Desemba 17, limeidhinisha ujenzi wa mfumo wa Clean Bus...
  2. Akili ni nywele: Wakati Wizara ya Ardhi Bongo wanahangaika na clinic za ardhi, Kenya wameanza kubomoa na kuyajenga upya maeneo yaliyojengwa vibaya

    Kila siku nasema kuwa akili ni nywele. Ukiwa na akili timamu, utajua tatizo ulilonalo ni lipi na utaweka na kutekeleza mipango sahihi ya kulitatua hilo tatizo. Wenzetu Kenya waligundua wana tatizo la mipango miji, kwa maeneo mengi kujengwa vibaya bila mpangilio na kufanya wananchi wengi kuishi...
  3. Bongo kutoboa imekuwa jambo lenye mambo mengi sana ndani yake

    AMANI IWE JUU YENU __tuendeleeni tu kupambana
  4. Je, ni nani malkia wa Hip Hop ya Bongo

    Kwenu wadau mnaofatilia kiwanda cha mziki huu wa bongo, je ni msanii yupi wa kike unafikiria tunaweza kumpa taji la umalikia katika mziki wa hip hop ya bongo. Bahadhi ya wasanii waliowai kufanya vizuri katika mziki huu ZAY B SISTER P DADA JOO RAH P WITNESS KIBONGE MWEPESI CHIKU KETO ROSA LEE...
  5. Kuna gari aina ya Tesla inauzwa, imeingia Bongo jana

    Kama ilivyo humu jamii forum kuna Matajiri Sasa mimi kama dalali mzoefu Kuna ndinga mpya imeingia Jana aina ya Tesla inauzwa nafikiri mnajua hii gari sio Kwa ajili ya masikini Nimetoa tahadhari mapema usije ukajua IST narudia tena ni Tesla ya tajiri Elon mask sio Kwa ajili ya watu njaa njaa
  6. naona kama Bongo star search wamekosa mvuto kwasasa?? Shida nini

    Wakuu naangalia Bss naona inaniboa kabisa pia nimeangalia hata wanao view kwene social media wana zidiwa hata na wachekeshaji wadogo wakati ni tukio kubwa sana!
  7. Spotify Bongo 2024: Top Artists of 2024 - Tanzania

  8. Lady Jaydee mwimba Chorus Bora wa kike kupata kutoka Tanzania na Afrika Mashariki na Kati, tumuite ndio Hip Hop Soul Queen wa Bongo?

    Uzuri sauti yake inambeba kuingia kwenye mifumo ya genre nyingi na content tofauti za muziki Nyimbo alizoua Chorus na kishirikishwa 1.Bongo DSM na Prof Jay 2. Alikufa Kwa Ngoma na Fa 3. Machoni Kama watu Na Ay 4. Nyaluland na Mike T 5. Ama zangu Ama zao na Gk&ECT 6. Sikiliza Na Ngwea 7. Hawajui...
  9. Ukisoma Degree ya Political Science (Sayansi ya siasa) unategemea kuajiriwa wapi bongo?

    Hawa watu wanaosoma degree ya Political Science katika vyuo vya hapa Tanzania huwa wanaajiriwa wapi? Ni kazi gani mahususi ambazo zinahataji waliosomea political science tu? Hii degree naona imekaa kimtego sana na kama haina mashiko kabisa kwa nchi kama ya Tanzania.
  10. FCC yaipa kibali Space X kulink starlink na Smartphone, ISP wa bongo mnasubili nini na kazi imewashinda Vijijini?

    FCC sasa imeipa kibali Space X kulink smartphone na StarLink (Direct to Cell) yaani bila kutumia madish yao ya starlink kama tunavyosubili hapa bongo, hii feature ipo kwenye Generation ya pili ya Starlink lakini ilikuwa ikisubili vibali kwasabu ilihitaji kufanya satellite ziwe zina orbit kwenye...
  11. G

    Nje ya kufunga CCTV camera ni huduma gani nyingine inatajirisha IT wa Bongo?

    IT wengi wamejiajiri kwenye kupiga window, kuingiza muvi, ku burn cd, n.k. baadhi wamejiongeza kuwa mafundi simu, mafundi laptops, n.k. maendeleo yao kiuchumi huwa ni ya kawaida. Kuna huu mchongo wa cctv camera umebadili maisha ya vijana wengi wa IT, vijana wanapush ndinga za 20M+, wenye akili...
  12. WANAWAKE wa BONGO, wengi wanaongoza kwa kufanya biashara zisizo kuwa na TIJA.

    Habari zenu wana MMU πŸ‘‹πŸ½ πŸ‘‹πŸ½ Ktk kuishi kwangu na kuchunguza chunguza baadhi ya mambo, nmegundua kuwa wanawake wengi wamekuwa mstari wa mbele kwenye kumiliki biashara kubwa na ndogo ambazo zimekuwa hazina tija. Hapa siwazungumzii wanawake wote bali hawa wanawake ambao wanatumia UHUSIANO wa...
  13. Kabla ya kununua land cruiser used hapa bongo Nini chakuzingatia?

    Habari wakuu nimetembelea mtandaoni nimeona Wanauza magari bei chee used from hapa hapa Tanzania je kitu chakuzingatia kabla ya kununua?
  14. Wakati Tanzania katiba sio muhimu, Gaboni wamebadili katiba na hivyo kuhitimisha enzi za Omari Bongo

    Wakati Tanzana raia wanaambiwa kikubwa wanakula wanashiba na wanapata muda wa kujadili Yanga na Simba, Gaboni wameandika katiba mpga na hivyo kuhitimisha utawalala wa Familia ya Bongo. Kumbuka ni hadi yamefanyika Mapinduzi ya amani ndio katiba mpya imepatikana Gaboni, hii inaleta picha kwamba...
  15. Asilimia kubwa ya maisha yetu hapa bongo tunayaishi tukitegemea bahati tu(luck) itokee

    Maana mpaka saivi sijaona kiashiria cha uhakika kwamba .maisha yetu siyo ya kibahati bahati tu . Hamna kitu ambacho tuna uhakika nacho ( kuna vitu wanasemaga uhakika ila na vyenyewe ni bahati tu*
  16. Angalia umri wa afisa mpya wa mawasiliano/habari wa ikulu ya Marekani (White House) pamoja na elimu yake! Njoo bongo!

    Trump amemchagua afisa habari wa ikulu ya Marekani kwa muhula mpya unaokuja. Ni afisa kijana na siyo mara ya kwanza kwa nafasi yake! Angalia umri wake pamoja na elimu yake, hatishi sana kielimu (mtazamo finyu wa watanzania). Unahisi nini kimembeba?? Pamoja na uzoefu wake akiwa ikulu plus...
  17. S

    Naomba kujuzwa ABCs zinazotakiwa kisheria na kitaaluma ili mtu aweze kufungua blog hapa nchini

    Habri waungwana, Naomba kujua ABCs zinazotakiwa kisheria na kitaaluma ili mtu aweze kufungua blog hapa nchini. nomba kujua kwanza taratibu za kufuata ili kuwekeza ktk blog hapa nchini pasi na kukutana na mkono wa gavoo. Pia taratibu au hatua za kufuata (kitaaluma na kitaalamu ) ili kuifanya...
  18. Ushabiki wa soka bongo umegubikwa na ushamba na haswa watu wanashabikia kwa msongo (depression)

    Yani mtu kafungwa tu jana.... "oooh kocha afukuzwe" "Mpira una siasa tumefanyiwa siasa" "Hii yanga ya sasa ikikutana na simba inafungwa 20" Yani hapo na hapo mbongo kashasahau kuwa wameshashinda ligi mfululizo zaidi ya mara x2 , wamemfunga mpinzani mfululizo na wametoka kumfunga tu juzi hapa...
  19. Vesi Kali za Hip Hop Bongo

    Mamtoni Kuna ranking za verse Kali za Hip hop ambazo vesi kama zifuatazo zimepata kupewa hadhi ya juu mara nyingi, NY state of mind verse 1- Nas Shook one verse 1 - Prodigy - Mob Deep Loose your self verse 1- Eminem Long kiss good night verse 1 - BIG Change verse 1- 2 Pac Life is bitch vers 1 -...
  20. G

    Hapa BONGO kuna zaidi ya uchafu wa Equatorial Guinea. Ni vile tu sheria haziruhusu kuweka video za ngono mitandaoni

    Watanzania wanajitia kushanga namna Baltasar alivyoweza kuwatafuna wanawake wenye kazi zao ama wake za vigogo 400. Hapa bongo ni zaidi ya Equatorial Guinea, ni vile tu sheria zetu zimekuwa kali na huwazuia watu kuposti video za ngono mitandaoni. Vinginevyo tungeona machafu zaidi ya hayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…