Ningewashangaa sana Simba SC kama kweli wangemsajili Shiboub kwani ameshaishiwa Uwezo na wapo Wachezaji wa Kumzidi Kikosini kwa sasa.
"Hii Michuano ya Mapinduzi Cup ni kama tu Bonanza na kwa Uhusiano wetu mzuri na Shiboub alituomba tu Simba SC aje Kutalii na Kuwasalimia Wachezaji wenzake...
Hali si shwari kwa wanaofuatilia siasa za nchi hii toka camarada Legendary Pombe alipotoweka dunia.
Pamoja na kuwa katika wakati mgumu kufuatia kushusha siraha nchini na kuonyesha udhaifu kwenye mhimili mwingine.
Kwa nafasi aliyonayo dhidi ya ule muhimili anaousimamia japo tayari yupo under...
Nimeshangaa kusoma kwamba eti kiongozi wa klabu ya Biashara anasema anachojali “ni fedha tu za Udhamini wa GSM, na hayo mambo mengine hayawahusu”. Hicho ni kiwango kikubwa cha kutojua wajibu wake kama kiongozi wa klabu ya Ligi Kuu, haki za klabu hiyo na vyanzo vya mapato.
.
Kwa kiongozi kama...
Zari amefichua miongoni mwa sababu zilizomfanya kumwacha staa wa bongo Diamond Platnumz ni kwa sababu ya kutokuwa mwaminifu mfululizo.
Anasema wasichana walikuwa wengi na katika baadhi ya matukio, kulikuwa na mimba zinazohusika.
Akizungumza wakati wa mahojiano ya wazi na Toke Makinwa, Zari...
Vitz new model in good condition
Bei yake 6million (njoo na laki 2 ya dalali)
x'tics
cc 1290
mileage: 100,000kms
piston 3
haijawahi pata ajali
LOCATION: Lugalo, Dar es salaam
mawasiliano 0713096076 tumalize kazi
Wengi wanapenda kuitwa 'boss' makazini, bila kujua uzito wa hilo jina. Wengine wanalazimisha waitwe hivyo, na wengine inatokea tu wanaitwa hivyo kutokana na wanavyotatua kero za wafanyakazi wao hasa kimaslahi.
Wenye kulipenda hilo jina wengi wao wanafikiri kuitwa 'boss' ni kuwa na uwezo wa...
Nimefungua Uzi huu Mahsusi kwa ajili ya Kujadili na Kujadili baadhi ya Changamoto za Maboss wetu hususani wa Afrika.
Yeyote uliwahi ama unapitia na Kukumbwa na Uonevu ama Kusingiziwa na Maboss aidha kwa kuamua wenyewe ama Kulishwa Majungu na Wale Watu ambao siyo wazuri kwako. Tunaomba pia...
Habari wakuu!! Mara nyingi wanadamu hatufanani, kitabia, kimtazamo, na hata kimawazo!! Hivyo usishandane na mtu ambaye tiyari ana hasira juu yako kwa maana anaweza kufanya limpendezalo kwako(Mhubiri 8:3 Usifanye haraka kutoka mbele ya uso wake; usiendelee kufanya lililo baya; maana yeye hufanya...
Kanjibahi ni mkiritimba kinoma aisee! Kumbe bhana aliwaforce key players wa Simba wamposti na kumpongeza kwa lengo la kuonekana kama ni mtu muhimu sana kwenye simba.
Jamaa aliwahadaa sana watu aliposema hakuna mkubwa kuliko simba, kumbe alimaanisha hakuna mkubwa kuliko yeye.
Jamaa atawatesa...
Kuna Watu Wawili ambao nilikuwa nikiwaheshimu na kudhani kuwa wapo 'very smart' na kwamba hawataingia katika 'Mtego' wa Kufarakanishwa (Kugombanishwa) lakini bahati wameuongia huo 'Mtego' tena vizuri sana tu.
Leo hii GENTAMYCINE nasikitika kuona kuwa Mtu ambaye kwa Miaka takribani Miwili Mitatu...
Friji/Jokofu linauzwa Tsh.350,000/= NET!
______________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________
Linatumia 0.8 units tu za umeme kwa masaa 24.
Tena hapo ukiwa ume'seti namba KUBWA...
MSICHANA WA KAZI KABAKWA NA MZEE WA MIAKA 74 AMBAYE NI BOSS WAKE MKAZI WA BUBU, ZANZIBAR, POLISI WADAIWA KUPOTEZA KESI!
Mheshimiwa Rais Hussein Mwinyi aombwa Kuingilia kati sheria ifuate mkondo
Bubu, Zanzibar.
Mzee Sadalla Juma Sadalla mwenye umri wa miaka 74 mkazi wa Bubu, Zanzibar...
Mwaka 2016 nilienda Tanzania baada ya kukaa muda mrefu US. Rafiki yangu ambaye nilisoma naye Primary alikuwa ndiyo auditor mkubwa pale MSD hivyo bila mimi kujua aliongea na Managing Director kuhusu kupata watu wenye ujuzi na kampuni za kusambaza madawa kama MSD
Wakati na maongezi yao yule...
Habari wanaJF
Poleni na majukumu na hongera kwa utafutaji Mungu azidi kubariki kazi za mikono yenu.
Kama mada inavyojieleza pale juu, naomba ushiriki wako
Ahsante.
Inaelezwa kuwa walifungwa na nyaya za umeme, kushambuliwa na kuibiwa vito vyao vya thamanijiji Paris.
Bernard Tapie, mwenye miaka 78 aliyewahi kuwa waziri kwa muda mfupi anadaiwa kuwa ni mtu mgonvi sana
Amekuwa kwenye mivutano ya kisheria kuhusu rushwa na udanganyifu kwa miongo kadhaa, na...
Mr. William Erio ambaye leo ameondolewa katika Cheo cha Mkurugenzi Mkuu NSSF si jina geni. Amekuwa katika cheo kikubwa cha Mkurugenzi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kwa muda mrefu toka mwaka 2002 alipokuwa Mkurugenzi Mkuu wa PPF hadi mwaka 2018 alipohamishiwa NSSF baada ya kung'olewa Prof...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.