Marais zaidi ya 10 wa mataifa mbalimbali duniani wamethibitisha kuhudhuria shughuli ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli itakayofanyika kesho Dodoma.
Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abasi amesema leo Machi 21, 2021 kuwa hadi sasa ana orodha ya zaidi ya marais 10 na kuahidi...
The French oil giant Total SA chief executive, Mr Patrick Pouyanne, has acknowledged that the company’s oil projects in Uganda “represent significant social and environmental stakes” but said they are mindful of the fears and are “taking them into consideration.”
Mr Pouyanne said they are...
Kuna kijana kutoka kijijini alimaliza darasa la 12 na kufanikiwa kupata div IV. Alianza kilimo mpaka alipochoka kulima na kuamua kutafuta kibarua mjini. Kwa connection hapo alipofikia walimfahamu mzungu aliyetafuta msaidizi wa ndani. Yule kijana alipata kazi, na nyumba alipewa servants...
Afisa habari wa Simba SC Haji Manara maarufu kama De La Boss ni moja kati ya watu maarufu sana katika michezo kwa sasa.
Haji sio tu ni maarufu katika michezo bali ametokea katika familia ya mpira, kingine kilichomfanya Haji Manara kuwa maarufu sana ni hali yake ya kujiamini zaidi ukilinganisha...
Maisha yanaenda kasi sana mara paah...huu mwaka ndiyo unaishia.
Turudi kwenye mada wakuu,
unajua hawa maboss wa kibongo ni vichomi sana! Unamuomba akuongeze mshahara kutokana na kazi unayofanya, kazi inaonekana si rahisi na hujawahi kuharibu kazi hata siku moja.
Anakujibu vizuri tu...
Mzee Mgaya ananikumbusha namna bunge la Spika Adam Sapi Mkwawa lilivyokuwa linaendeshwa kwamba lilikuwa chini ya Halmashauri Kuu ya CCM.
Maamuzi muhimu hufanyika katika ngazi za NEC na CCM na kwamba bunge hutimiza process ya kikatiba tu ndio maana Waziri fulani aliwahi kuwaambia wabunge " Gi to...
Hizi twita ni za leo za Kigwangalla.
“Bilionea hawezi kuwa na roho ya kichawi namna hiyo; mkopo umemnyima mtu halafu unamtangaza, why? Kwani yeye huwa hakopi?” Hamis Kigwangalaah.
“Waambie waache kunifuata fuata kwenye kurasa zangu! Mjadala wa Simba tumeuahirisha mpaka November kupisha...
Kachero ni kachero tu!
Najua sitavunja sheria wala kanuni hapa.
Bernard Membe, Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya ACT Wazalendo 2020. Historia yake ya kisiasa na utumishi inajulikana. Itoshe tu kusema ni Mtanzania ambaye amewahi kushika nyadhifa mbalimbali za kisiasa na kitaifa.
Tangu...
Hii nimeikuta sehemu fulani huko, hivi Kama ni wewe unaweza kuacha kazi kwa sababu Kama hii.
Kiukweli ningekuwa mimi hii kwangu ingekuwa ni fursa kazi na dawa. 🤣 🤣 !!
Kuangushwa katika kura za maoni za CCM, katika jimbo la Kigamboni, kwa Paul Makonda na Faustine Ndugulile, kumepokelewa kwa shangwe kubwa sana na watanzania wa nchi nzima
Hivi hali hiyo inaweza ikawa inaashiria nini?
Hivi inawezekanaje kwa mkuu wa mkoa, ambaye mara kwa Mara amekuwa akisifiwa...
Mchekeshaji Kingwendu amesema leo Julai 6, anarudisha fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Ilala, na tayari amepata wadhamini wa kumsaidia kwenye kampeni zake na hataweza kufilisika, kuuza nyumba au gari kama ilivyomtokea mwaka 2015 kwenye shughuli za kuendesha kampeni
DarMpya
Kwangu Mimi...
Tafadhali msaada kujua ubora wa TVs tajwa hapo juu ipi ina ubora mzuri. Ubora wa picha, uimara, bei, n.k nimeitoa LG na Samsung kulingana na bajeti yangu. Nataka kuchukua nchi 43.
NB: Don't mind about uandishi plz
Fanta Baba yake alikuwa balozi, makazi yake yote alisoma kwenye shule za kimataifa. Kwa kuwa alikuwa na uwezo mkubwa darasani chuo kikuu alipata ufadhili Harvard Marekani kwa utaratibu wa shule yao.
Alihitimu shahada ya Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa. Alipata ajira Umoja wa Mataifa kama...
Halo JF celebrities.
Nimekuwa nikiona mitandaoni, Zari The Boss Lady akiitwa Bi Tukinao! Wanaomwita hivyo ni wanawake. Sasa hili jina maana yake nini na kwanini kabatizwa hivyo?
Hivi karibuni Mwanamama zari the boss lady ametoa povu kubwa kwa baadhi ya watanzania wanaomfuatilia Sana maisha yake ingawa Zari ana mapungufu yake binafsi lakini kwa Hili povu aliyotoa nimemuunga mkono kwa asilimia 100 Na hii imekuja baada ya tetesi ya yeye kurudiana na diamond lakini pia kwa...
Wadau nipeni ushauri
Nina mpenzi wangu ananisisitiza kuwa anataka mtoto na mimi ila ni single mother.
Mimi life langu gumu mbaya, nahisi nitaelemewa na majukumu
Leo tarehe 9 May ni siku kubwa ya kuzaliwa mtu anayewezesha uwepo wetu humu. Maxence Melo
Tunapata nafasi ya kufanya yote kwa kuwa amesimama na kutupatia uhuru wa kutoa yetu ya moyoni.
Tunakuombea Mwenyezi Mungu aendelee kukupigania na uzidi kutupigania sisi na Uhuru wetu wa kujieleza...
An Indonesian maid identified as Tuti Tursilawati has been executed in Saudi Arabia for killing her boss while he was raping her.
Mum-of-one, Tuti Tursilawati was executed after she killed her boss who was raping her, and this sparked outrage in Jakarta.
Tuti Tursilawati was killed on Monday...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.