1. Kuna wapigaji wengi.
2. Kuna wanafiki wengi.
3. Kuna Uyanga na Usimba mwingi.
4. Kuna usaliti na kutumika kuanzia kwa viongozi na wachezaji.
5. Majungu mengi kutoka kwa wachezaji wazawa na mafaza.
6. Ushirikina na kurogana sana.
7. Mchoyo wa kuhonga kwa waamuzi (marefa) ambao wanahongwa...
Kwani huyu jamaa anajiona yeye nani? Bosi wake Ally Kamwe keshasema Yanga ni timu kubwa ina wachezazji wakubwa ina uwekezaji mkubwa kuliko Al Hilal ambayo ndiyo kwanza inajitafuta kuweka sawa muonekano wao.
Wewe ni nani upinge bwana? Yaani Yanga iende Sudan kama underdog? Hii ni dharau kwa...
"Yoyote atakayemsema vibaya Mheshimiwa Rais Samia popote pale na kwa namna yoyote ile hatutoweza Kumuacha na tutapambana nae" Spika wa Bunge Dk. Tulia Mwansasu Ackson.
GENTAMYCINE natamani sana na mno kujua Mama wa Nje alipokutana na kupiga Picha ya pamoja na Namba Moja na Mbili wa Marekani...
Endeleeni tu Kupuuza Maandiko yetu hapa JamiiForums na Kuupuza huu Mtandao ila kama kuna Mtandao nyie mlioko Serikalini na huko sehemu Nyeti za Umedani (JWTZ) na Unjaguni (TISS) mnatakiwa muwe mnauheshimu na Kuufuatilia ili kuwa Bora katika Utendaji wenu basi ni huu wa JamiiForums.
GENTAMYCINE...
Huyo ndiyo Big boss wao/wenu wote, hapo ni lazima wote wana bow down, kupiga kura ni formalities tu!
“its enough that the people know there was an election. People who cast the votes decide nothing, the people who count the votes decide everything” -J.Stalin!
Cedric Kaze nakukubali sana Mwalimu unajua sana kukaba mashabiki lia lia tunajua kuwa Yanga haifungiki sasa msimu huu mbona naona kama Yanga haiko imara sana pasi si nyingi kama mwaka jana, uwezo wa timu kumiliki mpira na kupasua katikati kwenda mbele kushambulia umepungua, mabeki wanarudisha...
Na Wabunge waliojichangisha wamesema wanataka 'Siku ya Wananchi Wapuuzi' tarehe 6 August 2022 warejeshewe Pesa zao vinginevyo watalikamata Basi au watagawana Makombe yote yakakae Kwanza Makwao hadi walipwe Chao.
Usiku wa kuamkia leo, mfanyakazi mwenzetu alijitwalia jiko, kama katibu wa kamati ya maandalizi, nilihakikisha natoa ushirikiano kwa wajumbe ili tukio lifane.
Kweli bwana tukio lilipendeza, watu walikula na kunywa, watu waliburudika wakasahau shida zao kwa muda.
Miongoni mwa walio hudhuria ni...
Kirsten Robertson Wednesday 29 Jun 2022 11:15 am
Vladimir Putin could strike across Europe, say British politicians (Picture: Reuters)
Britain’s defense secretary has said that ‘lunatic’ Vladimir Putin poses a ‘very real risk’ to the rest of Europe.
Ben Wallace’s comments come amid calls for...
Ninauza fridge yangu aina ya Boss.
Inatumia umeme mdogo (energy server). Ina sehemu ya kugandisha na sehem ya fridge kawaida
Ipo Arusha mjini
Offer yangu ni Tsh. Laki 5
Sábado ya kuuza nina uhitaji wa pesa kwa haraka.
Mazungumzo yapo kwa mteja alie serious tu.
Namba ya simu 0758435748
Rachael alipata kazi katika shirika la kimataifa, akiwa pale alikutana na James kijana kutoka Cameroon, wakaka wa Cameroon wako very romantic, Rachael alijikuta ameingia mazima. Walipata mtoto na baada ya hapo James alipata uhamisho kwenda Angola. Kama aliomba uhamisho ule ni siri yake lakini...
Muda unakwenda kwa kasi.
Huyu kiumbe sitamanigi kumuona. Siku, Muda unavyokwenda najitahidi nimuondelee chuki moyoni inashindikana. Akiwa binadamu kama wengine najiona natenda kosa. Ushetaji unatusumbua, nahitaji kushinda moyo wangu moyo,cnafsi,churka, yangu inakataa.
Kuna jambo linanifanya...
Baada ya kuona hawana cha Kupoteza na Wameshafungwa Orlando Pirates FC waliamua kucheza Mpira wao halisi ( halisia ) ambao waliuanza katika dakika ya 70 hadi ya 93 nikimaamisha ile ya 90 na zile 3 za Nyongeza.
Hivyo kwa Mapenzi mema na Klabu ya Simba nawaomba Wahusika Wote katika Benchi la...
Mnakumbuka miaka kadhaa iliyo pita niliwahi kuanzisha Uzi kwamba nataka kufanya utafiti kuhusu uganga na uchawi?
Basi moja Kati ya sehemu nilizo kwenda ni Kwa mganga mmoja babu wa miaka themanini na ushee huko mkoani Lindi vijijini Alie sifika Kwa kuwa Na uwezo mkubwa WA kushindana Na wachawi...
Wadau Salaam,
NAUZA Boss Chest Freezer BE-200L WHT KAMA ILIOPO KWENYE PICHA HAPO CHINI. IMETUMIKA MUDA MFUPI. BEI TZS. 500,000 (Dukani kwa sasa ni 750,000).
IKO BUNJU, NIPIGIE 0754 34 36 42
Picha: Richard Michael Nataka
Mahakama ya Kupambana na Ufisadi Kampala, Uganda imemhukumu Richard Michael Nataka, aliyekuwa katibu mkuu wa Chama cha Msalaba Mwekundu Uganda (URCS) kifungo cha miaka 7 jela kwa ubadhirifu wa zaidi ya Sh 1 bilioni.
Mahakama hiyo, ilimpatia Nataka adhabu hiyo...
Msaada kwa mdau rafiki yetu
Nimejikuta njia panda baada ya meneja wa kampuni yetu (Mwanamke) kuniwekea mazingira magumu kwenye swala langu la kuoa. Hivi karibuni niliitisha michango ofisini kwetu kwa ajili ya ndoa ambayo nakaribia kuifunga soon, wafanyakazi wote walifurahi na kuahidi kutoa...
Umeanza kwa Pupa sana Kamarada ( Comrade ) sijui bado 'appointment hangover' inakusumbua pamoja na Ujana ulionao?
Jeuri ya Boss wako ( Mama ) ipo katika hizi Tozo mbalimbali sasa leo hii unavyotaka TCRA ipunguze kwa kutafuta Kwako Sifa kwa Watanzania huku ukimkosesha Mama Mapato ya Kuongezea...
Kuna tetesi kuwa aliyekuwa Makamu wa raisi wa Bunge la Pan African, Mh.Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hii imekaaje wadau?
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima amemshauri Spika wa Bunge, Job Ndugai ajiuzulu kutokana na mpasuko ambao amesema anauona
Gwajima amesema anaona Ndugai anataka kuchonganisha wananchi na serikali kwa kauli yake ya kusema '2025 mkimuweka mwingine sawa'
Aidha amesema suala la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.