Nyota huyo kutoka Nigeria ameibuka mshindi na kuwabwaga mastaa wengine ambao Aya Nakamura, Ayra Starr, Central Cee, Ella Mai, K.O, L7nnon, Stormzy, Tiakola na DJ Uncle Waffles.
Beyonce ameshinda 'Viewers Choice', Drake na 21 Savage (Kundi Bora), Future na Tems (Wimbo Bora wa Ushirikiano)...
Katika Ulimwengu wa Utandawazi wasanii wamebahatika kuwa na uwanja mpana sana wa kuzitangaza
Kazi zao, na moja ya karata muhimu ni mahusiano. Hii hutumiwa na wengi sababu ya urahisi wake (haina gharama).
Ukizingatia muziki, ndiyo kwanza matunda yameanza kuonekana hapa kwetu, tofauti na nchi...
Barabara ya kwenda Mbopo kupitia Madale Mikoroshini, Bwawani hadi Panga Boy ni mbaya, kipande cha kutoka Panga Boy hadi Mbopo kiasi fulani imerekebishwa. Wananchi waiomba Serikali iwatazame kwa jicho la Huruma.
Awali kuna mtu alilalamika mtandaoni kwa kuandika: “Tunaomba mtusaidie Barabara ya...
Msanii Konde boy Kila nyimbo lazima ajimwambafai na kiitikio cha "jeshii".
Tukielekea pasaka nikaona niangalie filamu ya yesu iliyotafsiriwa kwa kiswahili.
Kuna kipande Fulani yesu akiwa na wanafunzi wake kikimuonesha anamtoa mapepo chizi mmoja kuulizwa wewe ni nani ? Na yeye akasema kuwa ni...
Huyu jamaa kwa kipindi kifupi ameweza kuwa mwanamuziki maarufu na mwenye mafanikio duniani. Kafanya shows nyingi, kajaza watu kwenye show zake na mengineo mengi.
Je, siri ya kufanikiwa kwake ni Kipaji au menejimenti inayojielewa? Miaka kama miwili au mitatu alifanya ngoma na Diamond pamoja na...
Salaam,
Binafsi nimeshangazwa sana na uteuzi wa kikosi cha Taifa Stars, ambapo nimeona wachezaji ambao wapo kikosi cha kwanza kwenye timu zao (regular players) wameachwa haswa niliotaja hapo juu. Sio hivyo tu wachezaji hao timu zao zipo kwenye mashindano ya kimataifa wakiwalisha timu zao lakini...
Shirikisho la Mpira wa Kikapu la Marekani (NBA) limesema baada ya Show hiyo yenye mahadhi ya #AfroBeats leo Februari 19, 2023, familia ya NBA itamtunuku Nyota wa LA Leakers #LeBronJames kama kinara wa Wafungaji Bora wa Ligi.
Kabla ya game ya kwanza, #PostMalone ataamsha uwanja kwa ngoma kadhaa...
Kama uzi unavyosema, kwa wale wanaume masingle namaanisha hana mke na yupo katika kutafuta ubavu wake wa kushoto na wale wanaume waliotunza heshima kwa ajili ya mke mtarajiwa (bikra wa kiume)
Tungependa mtugee mrejesho wa yale mnayopitia; namaanisha raha za kuwa katika mahusiano na changamoto...
Nakupongeza kijana mwenzangu kwa kutupa burudani ya hadhi ya juu usiku wa kuamkia leo, kiukweli mashabiki wako hatukudai kitu kwa mwaka huu Mungu akulinde umalize mwaka salama na uendelee kutupa nyimba zingine nzuri hapo mwakani, Khoho khoho khoho khoho
The African Giant, Burna Boy ametangazwa Msanii Bora Afrika katika Tuzo za Muziki za MTV Ulaya (MTV Europe Music Awards – EMA) kwa mwaka 2022, na kuongeza unyoya mpya kwenye kofia yake kubwa inayoendelea kupanuka.
Burna Boy alikuwa akishindanishwa na Zuchu kutoka Tanzania, Tems (Nigeria), Musa...
Habari za wakati huu wana jukwaa,
Wiki iliyopita nilienda kumsalimia kaka yangu, yeye anaishi na mfanyakazi wake wa kiume, mke yupo kikazi mkoa mwingine.
Jambo lililonishangaza wakati nafua nguo zangu kujiandaa na safari nilihamaki kuona mfanyakazi wake wa kiume akimfulia nguo zake za ndani...
Na kuna mgomo wa chini kwa chini juu ya kuchelewesha mishahara ya wachezaji wazawa ila wa kigeni wote mnawatimizia kwa wakati.
Nibishieni hili ili nije na siri nyingine.
Msanii wa kike namba moja Africa ya mashariki na Kati supastaa Zuchu leo amechaguliwa kushindania tuzo ya MTV Europe music awards.
Ameingia kwenye kipengele cha best african act na mshindani wake mkubwa ni burna boi.
Sasa bila kuchelewa ingia kumpigia kura mwakilishi pekee wa east africa...
Mahakama ya Wilaya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, imemhukumu Dunia Suleman (36) maarufu P squre, kutumikia kifungo cha maisha jela, baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka binti wa miaka nane.
Suleman, ambaye ni beach boy na mkazi wa Msasani wilaya ya Kinondoni, anadaiwa kumbaka binti huyo...
Binafsi kama mdau mkubwa wa sana ya muziki, hasahasa ule wa Afrika. Hizi siku mbili nimesikiliza album mpya ya msanii kutoka Nigeria, Omah Lay. Niseme tu, mimi kama shabiki mkubwa wa huyu msanii kinda sijaangushwa kabisa. Album yake inaitwa BOY ALONE na imetoka leo hii.
Nilichofurahishwa sana...
Raising an African kid who lives in Africa as a " ghetto African American kid" amount to child abuse. This kid is being abused.
Country boy ana mnyanyasa mtoto wake.
The " nigga wannabe guy" thinks Mikocheni B is the Bronx.
Don't be surprised when this fool start to smoke some joint with the...
Ushauri kwa dada zangu, seminary na madrasa boys ndio husband material.Japokuwa hili kundi la wanaume waaminifu ndio linalo ongozwa kuumizwa na mapenzi mpaka kuchukua hatua ambazo sometimes zina wacost maisha yao.Ila wengi wao wanajua kupenda na wanajua majukumu yao kama wanaume na mara zote...
As far as we know, Stivo Simple Boy claims he’s still a virgin and would only indulge in intimacy after marrying. At least this is what he states. As a matter of fact, Stivo claims his separation with ex-girlfriend Pritty Vishy was expedited by her demands for intimacy.
Despite Stivo being a...
Inshu nzito, waliopo Konde Gang wote walikuwa WCB, sasa sielewi huyu Dogo live anaimba kuliko Diamond, ana hit nyingi resently kuliko Mond, amezidiwa fame na Diamond, amezidiwa hela na Diamond lakini nadhani kimziki amemzidi faza, labda ndio maana akamsaliji coz alikuwa anajua huyu ana kauwezo...
Habari wakuu,
Mm ni kijana wa halali wa kitanzania, nipo dar natafuta kazi ya yoyote ya ERRAND kwa wale wasiokuwa na muda wa kufika sehemu husika na kuchukua mazaga, iwe bidhaa au kuchukua/kuletewa baadhi ya kitu/vitu.
No 0676941519
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.