Tarakimu hii "12",imenifanya niukumbuke mwezi wa kumi na mbili mwaka jana katika moja ya mtaa niliokuwa naishi nilikuwa na washkaji zangu kadhaa ambao tulipata kufahamiana katika jioni tulivu,wakati tunapiga stori simu yangu mfukoni ikavibrate kuashiria Kuna mtu ameni sms.
Sikuifungua haraka...