Nimeipitia hii albumb,binafsi nyimbo mbili au tatu tu ndo nimeziona kidogo ziko vizuri,Zamani, Mama na Lala ft Jux kiasi,..nyingine zote hazina maajabu,watoto wa mjini siku hizi wanaita "utopolo"
Hitimisho:Binafsi EP ya Flowers was the best kuliko hii albumb ya hovyo kabisa tangu kuzaliwa...