bunju

Bunju is an administrative ward in the Kinondoni district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 20,868. According to the 2012 census, the ward has a total population of 60,236 that include 29,157 males and 31,079 females.

View More On Wikipedia.org
  1. SAYVILLE

    Tukio la basi la Yanga kwenda Mo Simba Arena kule Bunju linatakiwa liondoke na watu pale Yanga

    Ndugu zangu, matukio ya siku chache zilizopita mnaweza kuyachukulia kwa utani ila ni matukio serious sana ambayo yangeweza kuleta maafa makubwa. Sitaongelea tukio la Simba kushindwa kufanya mazoezi wala Yanga kupeleka timu uwanjani maana kuna nyuzi nyingi zinazozungumzia hayo. Mimi nitaongelea...
  2. Lupweko

    Basi la Yanga kwenda Bunju ni masharti ya mganga wao - Mchungaji

  3. The Watchman

    Yanga, yasema mchezo dhidi ya Simba upo palepale hakuna mabadiliko yoyote

    Yanga yasema mechi dhidi ya Simba ipo TAARIFA KWA UMMA MACHI 08, 2025 Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutaarifu Umma kuwa, mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC, uliopangwa kuchezwa leo tarehe 8/3/2025, dhidi ya Simba SC, saa 1:15 usiku upo palepale na hakuna mabadiliko yoyote. Young...
  4. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Simba SC niwaambieni mara ngapi kuwa mkiwa mnajiandaa na Mechi na Yanga SC ficheni Kambi yenu na msiwe huko Bunju / Mbweni kimazoezi?

    Yaani kuna muda huwa mnanikera sana na natamani hata nibebe tu Grenade nije niwarushie mpukutike kabisa duniani.
  5. Kasri Homes Tz

    House4Sale Bunju: 4 Bedrooms House Inauzwa - Dar

    • Direction: • Condition • Features: • Facilities: • Plot Survey: • Plot Terrain: • Plot Area: • Document: • Ideal: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandao ya Kijamii:
  6. Bosspraise

    Plot4Sale Plot, House for sale

    PLOT FOR SALE MBWENI Plot safi kabisa hii hapa Inauzwa Iko Mbweni mpiji inagusa lami Ni sqm 1000 📌🗒Ina Hati safi kabisa 📌Ni pazuri sanaa Kuna nyumba pia kama unavyoiona kwenye picha hapo 📌Plot inataka milion 150 maongez kidogo NB; ZINGATIA PLOT INAGUSA BARABARA KUBWA YA LAMI, PATAFAA SANAA...
  7. K

    Naomba kuelewa mchakato wa barabara ya kutokea Mbezi Mwisho kwenda Bunju kupitia Mpigi Magoe umefikia wapi?

    Tenda: TR36/002/2023/2024/W/98 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Mbezi Victoria kuelekea Bunju kupitia Mpigi Magoe Wakuu naomba kuelewa mchakato wa barabara ya kutokea Mbezi Mwisho kwenda Bunju kupitia Mpigi Magoe umefikia wapi? Kinachonisikitisha hii tenda hata kwenye NEST ishatolewa na...
  8. Kasri Homes Tz

    House4Sale Bunju B: 3 Bedrooms House For Sale - Dar

    • Direction: Bunju B, 800 meters from Bunju B Daladala Stop (Bagamoyo Road) • Facilities: 3 bedrooms, 2 washrooms • Plot Area: 500 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 120 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ vyumba master 1 na kawaida 2; sebule; dining; jiko; stoo na public washroom ✓...
  9. A

    KERO Uhaba wa maji mtaa wa Simba, kata ya Kilungule Bunju Beach

    Tumekua tukikosa maji bila taarifa hata wiki 3 mfululizo na DAWASA wakipewa taarifa wanajibu watashughulikia na hawafanyi chochote. Aidha maji yanaweza kutoka wiki moja tu ili waweze kutuletea bili,sasa tunahoji kama yanaweza kutoka kwanini muda mwingine hayatoki? Inatulazimu kununua maji kwa...
  10. MwananchiOG

    Uwanja wa Bunju haujakamilika, unazungumzia viwanja vitano, swimming pool. Je, huu sio uwendawazimu?

    Hakika mmekuja na Vigelegele mtaondoka na vigelegele 😀 Kusanyiko limeketi likaelezwa namna viwanja vitano, recreation centre sijui swimming pool zitakavyojengwa, Wakashangilia na kupiga makofi, Wakati huo wanasahau huko Bunju wanafanya mazoezi kwenye vichuguu na mbigiri, Je, watu hawa wakiitwa...
  11. Msanii

    Tetesi: MAANDAMANO 23/09: Viongozi 23 wa CHADEMA Kata ya Bunju wamekamatwa na jeshi la polisi wakiwa kikao cha ndani

    John Mrema amesema viongozi 23 wa CHADEMA wamekamatwa na jeshi la polisi wakiwa kikao cha ndani wakavamiwa na kukamatwa kwa mujibu wa taarifa hiyo.
  12. dalali wafaida

    INAUZWA Kinauzwa kiwanja Dar es salaam, Bunju

    Ukubwa wa kiwanja - Mita 23 × 20 Eneo kilipo - Bunju B Bei - Milioni 7 Maelezo Zaidi - 0679268006
  13. mmewadadako

    Plot4Sale Viwanja Bunju A viwauzwa meter 500 kutoka Bagamoyo road.

    Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Bunju A. Viko vinne Vimepimwa Umbali ni meter 500 kutoka Bagamoyo road Karibu na shule Pembezoni mwa barabara kubwa ya mtaa Huduma za umeme na maji zipo Neighborhood ni nzuri na pamejengeka vizuri Bei ni 46,000 kwa square meter Ni sehemu hot cake sana...
  14. C

    msemaji wa singida black stars: tunashiriki cecafa kama mazoezi tu na tumepata uwanja wa avic town japo tunasubiri pia kuutumia wa bunju

    kumbe vilabu huwa vinaenda kushiriki mashindano ya kimataifa kama tu mazoezi na siyo kushindana kuwa bingwa? kazi ipo hakyanani...!!
  15. Lycaon pictus

    Maneno Bunju na Mikocheni yanamaanisha nini?

    Habarini. Asili ya haya maneno Bunju na Mikocheni ni nini? Yana maana gani?
  16. Pdidy

    Mwendokasi za Mwenge-Tegeta-Bunju zitakuja lini?

    Rejea kichwa cha habari hapo juu, naomba kuuliza hivi wanaleta lini mwendokasi maeneo haya? Ahsanteni sana.
  17. TODAYS

    LATRA simamieni Utekelezaji wa Nauli za Daladala hasa za Ruti mpya, Wananchi hatuna Mtetezi tunateseka

    Mamlaka inayosimamia usafiri wa nchi kavu nchini Latra, imetangaza njia mpya katika mikoa ya Dar, Dodoma na Arusha. Kwa Dar Es Salaam njia hizo ni Bunju sokoni hadi Kivukoni na Bunju hadi gerezani, njia nyingine ni Bunju sokoni hadi Magufuri Bus Terminal, nk. Kwa Arusha kwa mromboo hadi Fire...
  18. D

    Ofisi za Sao hill Tegeta hadi Bunju

    Wakuu samahani, nauliza kama Sao hill wana ofisi zao kuanzia tegeta hadi Bunju. Nahitaji kununua mbao treated baada ya pasaka na nimeona watu wanawasifia sana kuwa wanaaminika kuliko wengine ambao wanaziwekea rangi ya ukiri wakidai ni treated. Kama wanazo naomba mtu anielekeze ni wapi. Asante
  19. Mangi wa Rombo

    Hali ya Kunga cha Mbopo - Bunju ni mbaya sana!

    Habari wana JF! Nafahamu kumekuwa na ripoti nyingi za uharibifu wa miundombinu kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha, lakini leo ningependa nilete jukwaani hapa hali ya kiunga kati ya Mbopo na Bunju, kutoka kata ya Mabwepande, wilaya ya kinondoni. Kwa sasa hakuna mawasiliano kabisa kufuatia...
  20. Erythrocyte

    Ukweli ni kwamba Mbagala ina ardhi nzuri kuliko Bunju, Tegeta na Msasani

    Bei ya Viwanja huko Tegeta, Bunju na Boko ni kubwa mno ukilinganisha na Mbagala, lakini linapokuja suala la Mvua Mbagala haina mafuriko kabisa kulinganisha na Tegeta, Bunju na Boko. Sasa kinachowafanya wengi kukimbilia huko ni nini?
Back
Top Bottom