Bunju is an administrative ward in the Kinondoni district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 20,868. According to the 2012 census, the ward has a total population of 60,236 that include 29,157 males and 31,079 females.
Habari za muda huu ladies and gentlemen?
nauza kiwanja Bunju A Dar es salaam.
size ya kiwanja ni 30*30 hatua za miguu.
bei ni 7mil net.
karibu Kwa mazungumzo 0713096076
Salaam wadau. Ninatafuta kiwanja lililopimwa kwenye mradi wa viwanja 20,000 eneo la Bunju au Mbweni.
Ukubwa wa kiwanja kiwe si chini ya sqm 1,500. Kama unacho tafadhali tuwasiliane hapa au PM.
Tafadhali uje na bei kabisa.
Kiwanja kinauzwa Bunju A
Kiwanja kiko bunju sehem inaitwa Kinondo kimepakana na kiwanja cha riziwan kikwete
document za serikali ya mtaa zipo
Bado hakijapimwa
Size 30*30
KUHUSU MIUNDOMBINU
Umeme upo ni nguzo moja mpaka kiwanjani.
Maji yapo.
Kiwanja kiko barabara kuu iliyochongwa
Bei...
MUNANKA ROAD BUNJU
Nimeuona mtaa huo hapo chini wa Munanka Bunju.
Naingia Maktaba kumtafuta Bhoke Munanka.
Bhoke Munanka nimekutananae wakati natafiti maisha ya Ali Migeyo.
Katika kitabu cha Abdul Sykes kwa mara ya kwanza namtaja Bhoke Munanka kana hivyo hapo chini:
Katika majimbo ya ziwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.