bunju

Bunju is an administrative ward in the Kinondoni district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 20,868. According to the 2012 census, the ward has a total population of 60,236 that include 29,157 males and 31,079 females.

View More On Wikipedia.org
  1. GISAMBO

    Plot4Sale Kiwanja Bunju B Sqm 1666

    Kiwanja ukifika Bunju Stand pale unaingia Kulia kama 1km watu washajenga kando ya kiwanja kina Hati na akidaiwi Bei n 80m negotiations 0692685475
  2. Nafaka

    TANESCO mbona mmekata umeme tangu usiku huku Bunju?

    TANESCO kuna shida gani mvua kidogo tu mmekata umeme tangu usku mpaka sasa huku bunju. Mnatutia hasara mjini umeme ni muhimu tunapishana na pesa. Yani mvua ikinyesha nyie mnapata excuse ya kukata.
  3. Tusker Bariiiidi

    Watano wafariki kwa ajali Bunju B usiku wa Jumamosi 26 Machi, 2022. Walikuwa wakitokea kwenye starehe

    Watano Wafariki kwa ajali Bunju B Usiku wa Jmosi wakitokea Juliana Pub wakaja kumalizia huku njia ya Moga kuna baa inaitwa Lava Lounge. Wakanywa tena hadi saa 10 wahudumu Waliwasihi sana walivyolewa hivyo wkalale logde ya huko huko msiendeshe lakini hawakuwasikiliza, Wakaondoka, ndio wakati...
  4. dalalimhenga

    House4Rent Nyumba inapangishwa Bunju

    Mahali - Bunju A Kodi - Tshs 200,000 Maelezo Zaidi - 0742141467 Chumba masta, Sebule, Jiko. Umeme luku yake, Maji ya dawasa, Fensi, Parking, Karibu Na kituo cha daladala.
  5. M

    INAUZWA Boss Chest Freezer BE-200L WHT- Bunju B

    Wadau Salaam, NAUZA Boss Chest Freezer BE-200L WHT KAMA ILIOPO KWENYE PICHA HAPO CHINI. IMETUMIKA MUDA MFUPI. BEI TZS. 500,000 (Dukani kwa sasa ni 750,000). IKO BUNJU, NIPIGIE 0754 34 36 42
  6. GENTAMYCINE

    Je, na Rais Hayati Magufuli nae angestaafu angekuwa anaenda Bunju kwa 'Helicopter' kuiangalia Simba kama afanyavyo mwingine huko Kigamboni kwa Yanga?

    Ni matumaini yangu Makubwa kuwa hizo Helicopter huwa zinakuwa Salama na zinafanyiwa Matengenezo makubwa kwani kwa mwaka huu Watanzania hatuhitaji Kuomboleza tena. Halafu wala msihangaike kwenda huko Avic Town Kigamboni ilipo Yanga SC Kisirisiri kwani wengine tunawajua hata mlivyokuwa Uongozini...
  7. Nyamayanguruwe

    Nauza Watoto wa Nguruwe wa Kisasa na nyama

    Wapo Watoto 18 wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri Kati ya Siku 30 - 60 Yaani umri wa Mwezi Mmoja - Miezi Miwili Kasoro. Wapo Majike 9 na Madume 9 Wote Wanauzwa Bei ya Mtoto mmoja wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri wa Mwezi Mmoja ni Tshs. 80,000/= Tu Tuwasiliane +255738141339 Text, Call or Whatsapp...
  8. N

    Tunauza Kuku aina ya Kuroiler tupo Bunju "A" Kituo kwa Baharia

    Tunauza kuku aina ya Kuroiler F1, tunapatikana Bunju A, kituo "kwa Baharia", jirani na Kituo cha Mafuta cha GUDAL. Bei ni kuanzia 14,500-18,000..kutokana na uzito wa kuku. Bei ya jumla kuanzia kuku 10 tunafanya 15,000. Weka oda yako mapema na karibu tukuhudumie kwa uaminifu kabisa...
  9. M

    Miaka ya themanini Wazo Hill, Bunju, Boko na Tegeta kulikuwa na swala, digidigi na sungura wengi sana. Sasa hivi hawapo

    Nakumbuka tukiwa wadogo miaka ya themanini kulikuwa na mapori makubwa sana kuanzia Tegeta, Bunju, Mbezi Beach, Wazo Hill, Kunduchi, Mbweni, Boko. Kulikuwa na swala na sungura wengi sana. Siku moja mimi na marehemu mjomba wangu tulienda Madale kuwinda Swala. Hili suala la Ngorongoro lichukuliwe...
  10. mgt software

    Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea

    Wana JF, Mama mmoja mke wa mzee maarufu wa Kiti Moto ya kwa Mzava, amekutwa amefariki na damu zimetapataa sakafuni. Haijulikani chanzo kilichopelekea kifo chake. Baada ya kifo, mme hapatikani kwenye simu yake, gari la mme limekutwa limetelekezwa getini na halijafungwa. Huyu mama alikuwa...
  11. mgt software

    Simbachawene hizi rushwa za polisi zinatuumiza sisi wapenda usingizi, baa zisizo na vibali zashamili Tegeta, Boko, Bunju

    Wana Jf Nawatoe wasiwasi wapenda raha , lakini kila mtu ana raha yake kutokana na mazingira inayoishia. Wapo wanaooenda kukesha kama popo na milupo pembeni, lakini wapo pia baada ya kupata tatu na nne bariidi wanapenda wakapunzike na mama chanja. Kumekuwepo na utitiri wa baa zisizo na vibari...
  12. M

    Bata wanauzwa Bunju B

    Bata mbegu nzuri sana ya kienyeji wanauzwa Bunju B. Bei: Majike makubwa Tshs. 15,000 Wenye miezi 5 Tshs. 10,000 Dume kubwa la mbegu Tshs. 25,000 Piga 0759 819 819
  13. M

    Wafanyakazi wa New Sideway Bar Bunju, Dar es Salaam jirekebisheni mnafukuza wateja

    Ni kwa masikitiko kuwa wafanyakazi wa Baa ya New Sideway iliyoko Bunju A Kinondoni DSM hasa wanaohudumia vinywaji wamekuwa na tabia mbaya sana ya ubaguzi katika kuwahudumia wateja. Kama wewe hutoi offer au huna urafiki na wahudumu jua imekula kwako. Unaweza kufika unakaa unasubiri mhudumu...
  14. mgt software

    Askofu Gwajima ashindwa kuzuia bomoa bomoa nyumba zilizojengwa bondeni Bunju, Mbweni eneo la mto Mpiji aishia kulaani tu

    Wana JF Ukisikia mbunge kukosa meno kwa kile kilichoamuliwa na serikali ndio hiki. Tarehe 22 juzi Gwajima Boy alifika kushuhudia nyumba zikivunjwa kwa wale wote waliojenga mabondeni, risasi zililindima kama tupo Kandahar, vilio vilitawala kwa akina mama na baba wakina mabangaloo yakiangishwa...
  15. Ramon Abbas

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa, BUNJU A DSM

    Viwanja viko vitatu. vyote vina hati za serikali umbali ni km 1 kutoka lami. size ni sqr m 600 kila kimoja (30m*20m) Eneo lina umeme Bei ni 25mil 0713096076
  16. Kibenje KK

    Plot4Sale Nyumba kali sana na furniture zake, Iko Bunju. Inauzwa

    Nyumba inauzwa bunju A Ina vyumba vitatu sitting room dining room kitchen store public toilet Uwanja ni sqm700 Inauzwa pamoja na fenicha zake ndani. Bei 150m 0762815104
  17. Kocha mchezaji

    House4Rent Nyumba ya ghorofa inapangishwa Bunju B

    Nyumba nzuri na mpya iliyo na servant quarter inapangishwa Bunju B. Bei 2,500,000/- Simu: 0713763026
  18. C

    Endeleeni na mazoezi ya wazi Bunju/Boko, endeleeni na uzungu wenu

    Jamani kila siku tunawaomba hayo mazoezi nendeni hata gymkhana au zungusheni fensi ya mabati kule Bunju hamtaki eti nyie viongozi ni wazungu Utopolo mwaka huu wamesema liwalo na liwe lazima wachukue ubingwa na mimi naanza amini maneno yao kama huu uzungu feki hautakomeshwa itakuwa too late...
  19. Ushirombomoya

    Uchache wa daladala Bunju - Morroco, ni kero LATRA mnalitambua hili!

    Naanza kwa kutambua mchango wa usafiri katika kusukuma gurudumu letu zito la maendeleo linaloenda kwa mwendo wa kusuasua, ila yote heri ili mradi gurudumu linasonga mbele, usafiri wa daladala utusaidia sana wakazi wa miji mikubwa nchini maana utuwezesha kufika katika maeneo yetu tunayojipatia...
  20. Jidu La Mabambasi

    Kero ya Bunju B, mchinga hadi barabarani: Serikali haioni kero hii?

    Kwa wale tunaotumia barabara ya Dar Bagamoyo kila siku mtakubaliana na kero hapo Bunju B. Hapa vibanda vya machinga vipo hadi shoulder za barabara, na wapita kwa miguu, baiskeli, mikokoteni na bodaboda na bahaji xote wanagomnea kupita. Matokeo yake asubuhi na jioni hapapitiki, foleni hadi...
Back
Top Bottom