Bunju is an administrative ward in the Kinondoni district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 20,868. According to the 2012 census, the ward has a total population of 60,236 that include 29,157 males and 31,079 females.
Ndugu zangu, matukio ya siku chache zilizopita mnaweza kuyachukulia kwa utani ila ni matukio serious sana ambayo yangeweza kuleta maafa makubwa.
Sitaongelea tukio la Simba kushindwa kufanya mazoezi wala Yanga kupeleka timu uwanjani maana kuna nyuzi nyingi zinazozungumzia hayo.
Mimi nitaongelea...
Yanga yasema mechi dhidi ya Simba ipo
TAARIFA KWA UMMA
MACHI 08, 2025
Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutaarifu Umma kuwa, mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC, uliopangwa kuchezwa leo tarehe 8/3/2025, dhidi ya Simba SC, saa 1:15 usiku upo palepale na hakuna mabadiliko yoyote.
Young...
PLOT FOR SALE MBWENI
Plot safi kabisa hii hapa Inauzwa
Iko Mbweni mpiji inagusa lami
Ni sqm 1000
📌🗒Ina Hati safi kabisa
📌Ni pazuri sanaa Kuna nyumba pia kama unavyoiona kwenye picha hapo
📌Plot inataka milion 150 maongez kidogo
NB; ZINGATIA PLOT INAGUSA BARABARA KUBWA YA LAMI, PATAFAA SANAA...
beach
beach plot
bunju
for sale
ghorofa
house for sale
kigamboni
kigamboni housegosale
kisasa
madale
magufuli
mbezi
mbezi beach
mbweni
nyumba
nyumba ya ghorofa
plot
plot for sale
plots
sale
university
upanga
viwanja goba
Tenda: TR36/002/2023/2024/W/98 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Mbezi Victoria kuelekea Bunju kupitia Mpigi Magoe
Wakuu naomba kuelewa mchakato wa barabara ya kutokea Mbezi Mwisho kwenda Bunju kupitia Mpigi Magoe umefikia wapi?
Kinachonisikitisha hii tenda hata kwenye NEST ishatolewa na...
Tumekua tukikosa maji bila taarifa hata wiki 3 mfululizo na DAWASA wakipewa taarifa wanajibu watashughulikia na hawafanyi chochote.
Aidha maji yanaweza kutoka wiki moja tu ili waweze kutuletea bili,sasa tunahoji kama yanaweza kutoka kwanini muda mwingine hayatoki?
Inatulazimu kununua maji kwa...
Anonymous
Thread
beach
bunju
kilungule
maji
mtaa
uhaba
uhaba wa maji
Hakika mmekuja na Vigelegele mtaondoka na vigelegele 😀 Kusanyiko limeketi likaelezwa namna viwanja vitano, recreation centre sijui swimming pool zitakavyojengwa,
Wakashangilia na kupiga makofi, Wakati huo wanasahau huko Bunju wanafanya mazoezi kwenye vichuguu na mbigiri, Je, watu hawa wakiitwa...
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Bunju A.
Viko vinne
Vimepimwa
Umbali ni meter 500 kutoka Bagamoyo road
Karibu na shule
Pembezoni mwa barabara kubwa ya mtaa
Huduma za umeme na maji zipo
Neighborhood ni nzuri na pamejengeka vizuri
Bei ni 46,000 kwa square meter
Ni sehemu hot cake sana...
Mamlaka inayosimamia usafiri wa nchi kavu nchini Latra, imetangaza njia mpya katika mikoa ya Dar, Dodoma na Arusha.
Kwa Dar Es Salaam njia hizo ni Bunju sokoni hadi Kivukoni na Bunju hadi gerezani, njia nyingine ni Bunju sokoni hadi Magufuri Bus Terminal, nk.
Kwa Arusha kwa mromboo hadi Fire...
Wakuu samahani, nauliza kama Sao hill wana ofisi zao kuanzia tegeta hadi Bunju.
Nahitaji kununua mbao treated baada ya pasaka na nimeona watu wanawasifia sana kuwa wanaaminika kuliko wengine ambao wanaziwekea rangi ya ukiri wakidai ni treated.
Kama wanazo naomba mtu anielekeze ni wapi.
Asante
Habari wana JF!
Nafahamu kumekuwa na ripoti nyingi za uharibifu wa miundombinu kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha, lakini leo ningependa nilete jukwaani hapa hali ya kiunga kati ya Mbopo na Bunju, kutoka kata ya Mabwepande, wilaya ya kinondoni.
Kwa sasa hakuna mawasiliano kabisa kufuatia...
Bei ya Viwanja huko Tegeta, Bunju na Boko ni kubwa mno ukilinganisha na Mbagala, lakini linapokuja suala la Mvua Mbagala haina mafuriko kabisa kulinganisha na Tegeta, Bunju na Boko.
Sasa kinachowafanya wengi kukimbilia huko ni nini?