kiwanja kiko Bunju A, Kinondo. Mpakani mwa Madale na Mbopo
ukubwa ni hatua 22 kwa 25
dakika 10 kwa Boda kutoka Bunju Shuleni
Kimehakikiwa na namba ya uhakiki ipo (hati bado)
Kinafikika kwa namna zote: miguu, pikipiki, baisikeli au Gari
eneo limejengeka sana
6,500,000Tsh tu za Kitanzania...