bure

Buré is a commune in the Orne department in northwestern France.

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi Huduma za Afya za Bure kwa Wazee zinatolewa kwenye Hospitali gani? Mbona kila napoenda nakuta Wazee wanalipishwa tu

    Licha ya Serikali kutoa maelezo kuwa Huduma za Afya kwa Wazee zinatolewa Bure kwenye Vituo vya Afya, uhalisia katika utekelezaji wake umekuwa haueleweki na hivyo, kusababisha kero kwa Wazee wanaofika katika baadhi ya Vituo kupata Huduma. Mamlaka zitoe maelekezo sahihi kuhusu Huduma hizo kwa...
  2. VIDEO: Usimuamini sana mwanamke na wala usimpime kwa upuuzi huu aliofanya huyu jamaa. Utajinyonga bure

    Salamu kwenu, hili liwe fundisho kwa wote wanaume na wanawake kuwa Mwanamke hajaribiwi kwa hela 🤣🤣
  3. Kama kuna kitu ambacho hupaswi kukifanya ni kumsaidia Mtanzania Bure (Free of Charge)

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Usije ukarogwa ukatoa ushirikiano wa aina yeyote kwa Mtanzania, hakuna mtu mpuuzi na mjinga kama mtanzania. Bado utampatia msaada wa bure lakini bado atakudondoshea zigo la lawama!. Mtanzania ndiye mtu pekee duniani asiyethamini jasho la mtu. 1...
  4. Case Study: Kama kwenu hakuna wafanyabiashara, komaa na shule, Biashara iwe ni Plan B, Usiige wengine bila kufikiria hali ya kwenu

    kwenye familia / ndudu zako wa karibu kukiwa na watu waliofanikiwa kwa kufanya biashara inakuwa rahisi kwa wengine kuingia kwenye biashara tofauti na wale wasio na familia au ndugu walifanikiwa kibiashara, sisemi kuwa Huwezi kufanikiwa kabisa bila kuwa na historia ya biashara kwenye familia...
  5. Usiamini Sera ya "Uzazi ni Bure" ni Siasa za majukwaani tu. Ukienda kujifungua unalipia kila kitu!

    Kwa wale ambao mmebahatika kupata watoto na mkatumia hospitali za serikali nadhani mnaelewa ninachoongea, kama kuna mtu hakuchangia hata senti basi aje hapa kunipinga. Hizi kelele za eti huduma za uzazi ni fix tu za wanasiasa huko majukwaani, ila ukifika labor ndiyo utajua hujui. Kuna mambo...
  6. Mkisikia 'Supu ya Bure' na 'Uroho wenu' mnafakamia tu sasa Kazi Kwenu

    Na usiombe ufakamie Supu ya Bure itokanayo na Ng'ombe wa Uwizi na waliokuwa na Utapiamlo. Mtakula sana Flygil na Antibiotic!!!!!
  7. Hizi ni huduma ambazo Serikali ingetakiwa izitoe bure kabisa

    Hizi hapa ni huduma ambazo serikali ilitakiwa izitoe bureee kabisaa, Kuingiza umeme kwenye makazi na biashara, ukimuuliza kila mtu gharama alizotumia kuingiziwa umeme kila mtu atakupa ya kwake, Ikiwa gharama rasmi ya serikali inajulikana mfano 27000 lakini mtu anatumia 150000 inaenda kwa mtu...
  8. Ofisi ya Waziri Mkuu yatangaza Fursa ya Kusoma bure katika fani mbalimbali

    Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Imetangaza Programu ya Kukuza Ujuzi Nchini inayowezesha nguvu kazi ya Taifa kupata ujuzi na stadi za kazi stahiki ili kumudu ushindani katika soko la ajira. Ofisi imeingia makubaliano vyuo mbalimbali kutoa mafunzo mafunzo ya ufundi...
  9. Kuongezeka Ph.D za Heshima: Kuna haja TCU watoe ufafanuzi wa matumizi ya title ya Dr. kwa Ph.D za heshima na Ph.D za ukweli?

    Wanabodi, Kiukweli kabisa mfumo dume bado ni tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na haswa wa Kanda yetu fulani!. Japo Rais Nyerere, Mwinyi na Mkapa, walitunukiwa PhD za heshima za honoris causa lakini hawakuitwa kwa title za Dr. Lakini Rais Jakaya Kikwete baada ya kutunukiwa aliitwa...
  10. Ushauri kwa Rais Samia: Kwenye mabadiliko ya Cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, tumia wazoefu; Fedha mpe Dkt. Kimei, Biashara Uwekezaji mpe Deo Mwanyika

    Huu ni Ushauri wa Bure kwa Rais Samia kwenye mabadiliko tarajiwa ya cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, namshauri Rais Samia, asibabaike sana na kuangalia ma vyeti ya usomi kwenye uteuzi wa cabinet yake, atumie watu wenye uzoefu, mfano Waziri wa Fedha wa sasa Dr. Mwigulu Mnchemba ni msomi mzuri wa...
  11. Ushauri wa bure kwa utumishi na TAESA

    Natumai mpo vyema leo katika namna kujenga na kutoa ushauri ningependa kuona UTUMISHI-TAESA wakijoin force kupunguza mlundikano wa interview na kupunguza cost kwa hizi taasisi mfano mdogo uandaaji wa mitihani, safari, pesa za chai n,k lakini pia itasaidia utumish kupeleka watu sahihi kwa kuwa...
  12. DC Rungwe atoa onyo kwa wanaotaka kutorosha vyandarua vya bure kwenda nchi za jirani

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu, leo tarehe 31.10.2023 amezindua zoezi la ugawaji wa vyandarua bure kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi lengo likiwa ni kutokomeza kabisa Ugonjwa wa Malaria kwa kuzuia visumbufu (Mbu) na maambukizo kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine. Zoezi hili...
  13. Rais Samia aipa Zambia ardhi hekari 20 katika bandari kavu Kwala mkoa wa Pwani

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imetenga eneo la hekari 20 za ardhi katika Bandari kavu eneo la Kwala Mkoa wa Pwani kwa ajili ya kuhudumia mizigo kutoka Zambia ambapo amesema hiyo ndio zawadi ya Tanzania kwa Zambia katika wakati huu wa sherehe za Uhuru wa Zambia. Rais...
  14. J

    Watanzania tunazikuza sana timu za Kiarabu, hazina ubora wa kutisha kama tunavyoziongelea

    Tukiweka ushabiki pembeni, kwa miaka ya hivi karibuni, club zetu za Simba na Yanga zimekuwa daraja moja na timu za kiarabu ambazo tunaziona kama ni daraja la juu sana kulinganisha na za kwetu. Ukisikia wachambuzi wakidai Percy Tau analipwa millioni 250 kwa mwezi utadhani kuwa ni nchezaji wa...
  15. J

    Usajili wa Messi Inter Miami ni bure, tazama msimamo wa ligi kabla na baada ya kujiunga

    Hii bi Kabla hajajiunga Inter N NIs baada ya kujiunga
  16. Ushauri wa bure kwa benchi la ufundi Simba viongozi mkiipata mpelekeeni Robertinho kuepuka aibu ya goli 5

    Ili kuepuka aibu ya kufungwa goli nyingi katika mchezo wa marudiano AFL kesho (pamoja na ahadi ya bilioni moja kutoka kwa Mo endapo akishinda mchezo wa kesho) kiufundi naona mambo yafuatayo yanapaswa kufanyiwa kazi. Simba wanapaswa wajiuekuwa wanatimu mbovu. Hawana Golikipa hata mmoja ukitoa...
  17. Mbunge Assa Makanika: Wananchi changamkieni fursa za matibabu ya bure

    MBUNGE ASSA MAKANIKA: WANANCHI CHANGAMKIENI FURSA ZA MATIBABU YA BURE WANANCHI KIGOMA WAPATA MATIBABU BURE Madaktari Bingwa 11 kutoka nchini China 🇨🇳 wameweka kambi ya Siku 5 katika Halmashauri ya Kigoma ili kutoa matibabu ya bure kwa wananchi wa Kigoma na kutoa huduma za upasuaji na Masuala...
  18. Simu Za Samsung Zimewasili na Ofa Ya Stend Ya Simu BURE

    Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe utatulipa gharama za kukusafirishia hadi Tanzania. Kwa sasa tumeleta simu za kipekee, chache aina ya...
  19. B

    Dkt. Samizi ashuhudia Serikali ya Rais Samia ikimwaga vyeti vya kuzaliwa bure kwa watoto

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi akiambatana na mkuu wa wilaya ya Kibondo Agrey John Magwaza, leo tarehe 03/10/2023 amekuwa Mgeni rasmi katika zoezi la kampeni ya usajili wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5(0-5) ambao umefanyika...
  20. R

    Ushauri: Chakula Bure mashuleni kirudishwe ili kuboresha uelewa wa wanafunzi

    Twende haraka kwenye mada. Mama mwenye Upendo Kwa wanae, Yuko radhi ashinde njaa, ajinyime kununua kipande Cha kanga Ili mtoto wake apate kula chakula na kupata mahitaji muhimu, Watoto mashuleni katika shule za kata ni watoto wa Serikali wawapo mashuleni. Viongozi wengi wa juu waliopo sasa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…