Rais wa Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye amemtunuku medali Rais Mstaafu wa Tanzania, Mhe Jakaya Kikwete kwa mchango wake katika harakati za kurejesha amani nchini Burundi.
Chanzo: ForeignTanzania
Sisi akina Mzukulu tunaomba tuambiwe haraka kama Rais Mstaafu huyu Jakaya M Kikwete ana...
Yaliyotokea katika chaguzi kuu za nchi za Togo, Burundi na Malawi yameonyesha kuwa nchi za Afrika zinaweza kufanya Uchaguzi Mkuu ulio huru kwa amani na utulivu lakini kikubwa zaidi, zikapata viongozi wake bila kutegemea jicho la waangalizi wa kimataifa walioko nje ya Afrika.
Janga la COVID-19...
Mwili wa aliyekuwa Rais wa Burundi hayati Pierre Nkurunziza unazikwa leo kwenye makaburi ya mji wa Gitega ,mji mkuu wa kisiasa ulioko katikati mwa Burundi
Hafla ya mazishi zinatarajiwa kuongozwa na Rais mpya Jenerali Evariste Ndayishimiye na wakuu wengine wa serikali.
Hayati Nkurunziza...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuongoza ujumbe wa Tanzania kwenda Nchini Burundi kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Mteule wa Burundi Mhe Evariste Ndayishimiye hapo kesho June 18,2020.
Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
Habari zimethibitishwa kuwa Pierre Nkurunzinza wa Burundi alikuwa muathirika wa gonjwa hatari la COVID19.
Tuchukue tahadhari wandugu, gonjwa bado linatesa.
---
Burundi’s outgoing President Pierre Nkurunziza died of Covid-19, diplomatic sources in Bujumbura and Nairobi confirmed on Wednesday...
Uamuzi huo ulifikiwa kufuatia mkutano uliyofanywa siku ya Alhamisi chini ya uongozi wa Makamu wa Rais wa kwanza Gaston Sindimwo.
Kufikia sasa bado haijabainika ni lini kiongozi mpya ataapishwa, japo katiba iko wazi kuwa Spika wa bunge la kitaifa Pascal Nyabenda alitakiwa kuapishwa kushikilia...
Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada.
Ajabu na kweli pana watu wanakereka mno waonapo tunaandika kuasa na kukumbusha ili kwamba maisha ya watu yakiwamo na yao, yaweze kulindwa. Watu hawa waliobarikiwa mioyo ya ajabu na pia kuwa na midomo michafu iliyojaa matusi katu si wa kuwasabiria...
Pichani spika wa jamhuri ya Burundi kwa jina anaitwa Paschal Nyabenda. Kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya Burundi huyu ndie atakuwa raisi wa muda mpaka mwisho wa mwezi wa name mpaka atapoapishwa raisi aliyeshinda uchaguzi wa mwaka bwana generali Evariste Ndayishimiye.
Nyabenda atashika nyadhifa...
Burundi na Nkurunziza ni marafiki zetu na ambao tangu enzi ya JK tumehakikisha Burundi imekuwa salama.
Juhudi za kuifanya Burundi kuwa salama zilimfanya PK asimpende JK, na Burundi imekuwa nasi bega kwa bega. Wakati huo huo PK akiwa na chuki kubwa kwa Nkurunzinza
Ilipokuja awamu mpya, urafiki...
Historia ya Burundi ni ndefu sana, nimeielezea vizuri kwenye kitabu changu ambacho huenda mwezi ujao kikawa tayari (Inshallah). Jiandae kusoma uchambuzi yakinifu kuhusu siasa zetu za ndani na za nje hasa eneo la maziwa makuu. Leo nitaeleza machache lakini mengi utayapata kwenye kitabu. Jiandae...
Burundi yatangaza siku saba za kuomboleza kifo cha Rais Nkurunziza
Serikali ya Burundi imetangaza maombolezo ya kitaifa ya siku 7 kufuatia kifo cha rais wake Pierre Nkurunziza, aliyeaga dunia Jumatatu akiwa na umri wa miaka 55 kutokana na mshituko wa moyo.
Tangazo la serikali kwenye Redio na...
Hivyo ndivyo alivyoandika Mh Rais JPM akituma salamu za pole kwa serikali ya Burundi juu ya kifo cha Rais Nkurunzinza.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter mh Rais amesema Nimeshtushwa na taarifa za kifo cha Rais wa Burundi, Mhe. Pierre Nkurunziza. Nitamkumbuka kwa uongozi wake imara na juhudi zake...
Haka kaugonjwa hata mimi nilikua nimeanza kuwaiga Watanznia na kulegeza, ila hizi taarifa zimenikurupusha.
Huu sio wakati wa kubeza juhudi za tahadhari dhidi ya corona, hiki kirusi kilimlaza waziri mkuu wa Uingereza sembuse maskini wa Afrika, japo hatujajua nini kimemsibu rais wa Burundi ila...
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza aaga dunia.
===
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza (55) amefariki dunia. Taarifa ya serikali imeeleza kuwa alikuwa hospitali akisumbuliwa na tatizo la moyo.
Serikali ya Burundi imetangaza kifo cha Rais wa nchi hiyo, Pierre Nkurunziza (55). Mshtuko wa moyo...
Mawaziri saba na mshauri wa Rais wamethibitika kupata maambukizi ya Virusi vya Corona vinayosababisha ugonjwa wa homa kali ya mapafu wa COVID-19. Inasemekana mawaziri hao watasafirishwa ili kupata matibabu nchini Kenya.
---
7 Cabinet Ministers in Burundi and a presidential advisor have tested...
Rais anayemaliza muda wake Nkurunzinza pamoja na mkewe wamepimwa na kukutwa na Virusi ya Corona
=======
It is now emerging that Burundi’s President Pierre Nkurunzinza could after all have contracted Coronavirus (Covid-19).
Sources in Bujumbura close to Presidency indicate that soon after the...
Hawa Burundi nao pia walijitutumua kwa kujifanya wakaidi na kugoma kufunga chochote, wakajisahau wao ni kainchi kadogo kenye watu wachache, hawana jeuri ya kustahimili vifo vingi kama maskini wenzao wenye idadi kubwa ya watu wa kupoteza na maisha bado yaendelee.
Sasa kirusi kimegonga ikulu na...
VITA YA ‘WHO’ DHIDI YA RWANDA NA TAMADUNI YAO YA KUKUZA VISIMI KWA WANAWAKE.
Nchini Rwanda na Burundi na baadhi ya nchi kama Zimbabwe, kuna mila ya wanawake au wasichana kuchua visimi (Labia minora) kwa mtindo wa kikuvuta mbele ili kiwe kirefu. Mila hii ni maarufu na kubwa sana nchi Rwanda...
Tume ya uchaguzi nchini Burundi imemtangaza mgombea wa chama tawala Evariste Ndayishimiye kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika juma lililopita.
Jenerali mstaafu ameshinda kwa 68.72% ya kura zilizopigwa, wakati Agathon Rwasa, kutoka chama kikuu cha upinzani akipata 24.19% ,matokeo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.