Mh Rais Mama Samia suluhu Hassan bado hujastuka tu kuwa mtu huyu ni hatari katika utawala wako? Waziri wako anadharau amri ya Rais ambayo jana tu asubuhi umemuagiza yeye mwenyewe atwambie kwamba umesikia manung'uniko yetu na kwamba umeziagiza wizara zikae zishughulikie malalamiko yetu wananchi...
Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.
Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa...
Ni kawaida kabisa kuisikia nchi ya Burundi au kupitia Rais wake wakipenda sana 'Kujianika' juu ya Mipango yao ya 'Kiustawi' na 'Rasilimali' zake kwa nchi moja Rafiki ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
Je, Wabobezi wa Mambo ya Kiitifaki na Kiusalama kitendo hiki cha Taifa la Burundi kupenda...
Leo Rais Samia Suluhu Hassan anaanza ziara ya siku mbili nchini Burundi. Huyu ni kiongozi wa tatu wa juu kutembelea nchi hiyo ndani ya awamu hii ya sita.
Alianza Makamu wa Rais Dr. Philip Isidor Mpango akafuata Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Nchi hii inaumuhimu gani kwetu kwa viogozi wetu wakuu...
Masala Sayi
Chuo Kikuu cha Iringa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwa na ziara ya kikazi nchini Burundi kesho tarehe 16, Julai 2021.
Ziara hiyo imekuja kama mwaliko wa Rais wa Taifa hilo Mh. Evariste Ndayishimiye.Taarifa iliyotolewa na Mkurungezi...
Umoja wa Ulaya (EU) upo kwenye Mchakato wa kuiondolea Burundi vizuizi vya kifedha, ambapo Mwakilishi wake Nchini humo amesema hatua hiyo ni mwanzo wa kufuta marufuku hiyo.
Mwaka 2016, EU Ilisitisha msaada wa moja kwa moja wa kifedha kwa Serikali ya Burundi kutokana na ukiukwaji wa Haki za...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo leo tarehe 10/06/2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Tawala Cha Burundi cha CNDD -FDD Ndg. Reverien Ndikuriyo. Mazungumzo hayo yemefanyika katika Ofisi za Makao za Makao Makuu ya CCM jjini Dodoma.
Katika...
Wadau wa JF
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt Philip Isdor Mpango leo Juni 08,2021 amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani kwenye kumbukizi ya mwaka mmoja tokea kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi Piere Nkurunziza
Kumbukizi hiyo iliyohudhuriwa na...
Rais Evaristo Ndayishiye wa Burundi aliyepo ziarani nchini Kenya amepatiwa zawadi ya Ng'ombe 50 na Mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta.
Makabidhiano hayo yamefanyika leo Kisumu nchini Kenya
=====
Uhuru's Special Gift for Burundi President
By Lisa Sigei on 31 May 2021 - 5:26 pm...
President Uhuru Kenyatta (right ) and visiting Burundi Head of State Evariste Ndayishimiye address the press at State Lodge, Kisumu on May 31, 2021. PSCU
President Uhuru Kenyatta and his Burundian counterpart Evariste Ndayishimiye on Monday, May 31 addressed the media at State House Kisumu...
Mambo yanazidi kuwa kizazi zaidi, ngoma inogile, bandari yetu ya Kisumu inazidi kuwasha moto na kukaa mkao wa kula...
Mwanza na Kanda ziwa Tanzania ni soko kubwa sana ukilitia mfukoni, tutie kwapani Burundi, Rwanda na Uganda.....
================================...
Tunakumbushana tu kuwa Tanzania ina eneo kubwa kuzipita Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda tukiziweka pamoja
Tutumie fursa ya ukubwa wa eneo letu kulead uchumi wa Afrika ya mashariki, pamoja tutaweza.
Kazi Iendelee!
Meja Jenerali Cyrille Ndayirukiye alihukumiwa kifungo cha maisha jela Januari 2016 kwa kuhusika jaribio la kuipindua Serikali ya Mwendazake Piere Nkurunziza.
Jaribio hilo lililoshindwa lilifanyika Mei 16,2015 wakati Mwendazake Piere Nkrunziza akihudhuria Kikao cha Wakuu wa Jumuiya ya Afrika...
Pongezi hizo ni kwa mujibu wa tweet yao hii:
#Burundi: Chama cha CNDD-FDD kinatoa pongezi kwa Dkt P.I. MPANGO baada kuidhinishwa kuwa Makamu wa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Umahiri na utendaji kazi wake ni chachu ya kuleta maendeleo Tanzania chini ya uongozi wa Raisi Samia S...
Serikali ya Burundi imepiga marufuku uingizaji wa mahindi na unga nchini humo kutoka nje ya nchi wakihofia kuwemo kwa sumu kuvu katika punje za mahindi.
Marufuku hiyo itadumu kwa miezi sita kuanzia 08/03/2021
My take; Tanzania tujipange vizuri haya ndio masoko yetu.
Pia soma > Kenya yatangaza...
February 9, 2021
Bujumbura, Burundi
The Ethiopian Head of State in an official two-days visit in Burundi
The Federal Democratic Republic of Ethiopia Head of State made an official two-days visit to Burundi from this Thursday. The Ethiopian Head of State arrived at Ndadaye Melchior...
Kwa upande wa Tanzania raisi wa nchi hiyo Makufuli alipokuwa akizindua shamba la miti kwao Chato alisema tuendelee kuchukua tahadhari ya ugonjwa lakini hakuna haja ya kujawa na hofu na kwamba watu wajifukize na hata akataja dawa zilizothibitishwa na mkemia mkuu kuua virusi na bakteria...
Kuna wakati Tanzania enzi za Rais Julius Nyerere tulikuwa tunachukuliwa kama kinara wa misimamo mikali ya dunia ya tatu dhidi ya wakubwa walioendelea. Halafu tukazorota, mpaka tukapelekeshwa mputa na the Kenyans, of all the nations of the world.
Ujio wa John Magufuli umeturudishia kiti cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.