Husika na mada tajwa hapo juu,
Kwako Waziri wa Afya UMMY MWALIMU, kwanza nikupe pole na majukumu yako ya kila siku japo ni wajibu wako kuyatekeleza, na pili nikupongeze kama Mbunge na Waziri kwa jinsi mnavyoendelea kuwalimbikia watanzania Tozo wakiwemo wananchi wako katika jimbo lako la Tanga...
Angekua na "uelewa" japo Mdogo angeshauri tuhamie Zambia na sio Burundi. Zambia Raisi ni Mtumishi wa Wananchi, ni mnyenyekevu, amezuia matumizi ya magari ya kifahari kwa Mawaziri (Wakati yeye ana latest Toyota v8), Rais wa Zambia amegoma Katu kupongezwa na kuwakumbusha Watu wake kuwa...
Jana Julai mosi, wananchi wa Burundi waliadhimisha miaka 60 tangu nchi yao ilipojipatia uhuru wake kutoka kwa wakoloni wa Ubelgiji Jumapili ya Julai mosi, 1962. Mwaka moja kabla ya siku ya uhuru kulikuwa na uchaguzi wa kwanza chini ya usimamizi wa Umoja Mataifa na chama kilichoshinda katika...
Baada ya taarifa za kuwepo harakati za muungano wa Tanzania na Burundi. Ni wakati Sasa jambo hili lipewe nafasi na lifanyike Kwa haraka.
Jamii ya warundi ni tiifu Kwa Tanzania na miaka yote kuanzia raia mpaka serikali ya Burundi wamejiona salama chini ya Tanzania mpaka kufikia kuwa na kura ya...
Source BBC: Kuwa ilikua ni ndoto ya Muasisi wa Taifa la BURUNDI Hayati Rwagaore kuunganisha Tanzania na Burundi kuwa nchi Moja.
Siri hiyo aliitoa Mwa Nyerere katika Moja ya vikao vya usuluhishi wa migogoro ya Burundi.
Kwa mujibu wa BBC, majadiliano yanaendelea ili kutimiza ndoto ya Rwagasore...
Ukitaka kujua wakimbizi ni Biashara nenda Kigoma kwenye zile kambi, kule kuna wakati zile NGOs zilizo jazana kule zilikuwa zina gombana wao kwa wao kila mmoja ikipigania kuwahudumia wakimbizi. Kuna wakati zilijuwa na bifu la kufa mtu, sasa jiulize kwa nini bifu kisa wakimbizi?
Kule kwenye...
Nimemsikiliza sana naibu katibu wa chama cha soka cha Burundi kuhusu mipango yao ya maendeleo, nikajaribu kuwaza kuhusu mwelekeo wa taifa letu kimichezo, nikaona bado tuna safari ndefu sana kufikia matamanio yetu kimichezo.
Alipoulizwa na mtangazaji wa chombo kimoja cha habari hapa nchini...
Kwa mfano Burundi ina Uwanja wake wa Mpira tena mzuri tu kilichowafanya waihamishe hiyo Mechi ya kuwania kufuzu AFCON 2023 Ivory Coast kutoka Bujumbura Kwao kuja Kwetu Tanzania ni nini?
Na ni kwanini kila Kitu Burundi ( hasa Serikali yao ) ikifanya au ikiamua tu ni lazima ama Waiige Tanzania au...
Na kuna ncbi moja Afrika Mashariki huwa inajifanya ina 'Kiherehere' sana cha kupeleka Askari wake Congo DR na pia huwa 'Kisirisiri' inawasaidoa 'Waasi' wa 'Kihutu' kutoka nchini Burundi 'Kutesa' na 'Kuua' Wanyarwanda ( hasa Watutsi ) naionya wasithubutu kupeleka Askari wao huko kwani 'Watakufa'...
Ndugu zangu ukweli lazima usemwe.
Nchi inajengwa na wananchi kwa kuchangia maendeleo. Mnataka tuwe kama china, mnataka tuwe kama Korea au Japani lakino hamtaki njia walizotumia kufikia huko waliko. Hizi ni ndoto za alinacha.
Mnataka maendeleo lakini hamtaki wajibu.
Tuliwambia kuhusu Katiba...
Muhimu tubuni mbinu za kuisaidia DRC ikumbutie amani.
======
Burundi's President Evariste Ndayishimiye arrived in Nairobi, Kenya, Thursday for the East African Heads of State meeting on peace and security in the region.
According to a communique released by Burundi's State House (Ntare...
Hafanyi vitendo vya kishoga, ni mavazi tu
Mwanzo aliishi kama wanaume wengine kwa kawaida za kiume.
Kipindi cha vita vya wenyewe kwa wenyewe ilibidi avae mavazi ya kike ili asigundulike kuwa ni mwanamme kwani ilikuwa wanaume waliuawa zaidi kuliko wanawake.
Ameipenda hali yake maana zaidi ya...
Kikundi cha 20 cha madaktari wa China kilichotumwa nchini Burundi hivi karibuni, sasa kinaendelea kuwafanyia watoto upasuaji wa macho bila malipo katika mpango wa msaada wa matibabu Mkoa wa Giheta katikati mwa Burundi.
Katika utekelezaji wa mpango huo ulioanza mapema Aprili, wagonjwa 47 wenye...
Siku Saba zilizopita shirika la habari la Ujerumani DW wametoa makala nzuri sana kuelezea upekee wa Reli ya Tazara inayotoka Tanzania hadi Ndola nchini Zambia.
Wameelezea upekee wa reli hii na namna inavyopita kwenye mbuga maarufu za Selous na Mikumi na inavyopita mwenye milima ya Iringa hadi...
WASWAHILI KATIKA KUPINGA UKOLONI BURUNDI
Historia ya Sheikh Hassan bin Ameir na Waislam wa Burundi inashangaza.
Hakuna Sheikh katika Afrika ya Mashariki aliyeweza kuingia Belgian Congo, Rwanda na Burundi kumpita Sheikh Hassan bin Ameir akieneza Uislam na wakati huo huo kwa ujanja mkubwa...
Ndugu zangu kuna biashara nataka kujaribu kufanya ya kutoa bidhaa Kariakoo kupeleka Burundi ila katika pitapita, nimegundua changamoto zifuatazo.
1. Mabadiko ya thamani ya pesa ya Burundi
2. Ugumu wa kubadilisha fedha. Yaani ukiwa na faranga ni ngumu sana kuirudisha kuwa Shilingi.
3. Suala la...
Mama mjamzito ametoka Burundi kwenda Kwa mume wake Kenya Juzi tarehe 25/02/2022. Alivyofika Musoma alikamatwa na uhamiaji sehemu ainayoutwa Kurumuli (Barrier) . Alijitetea kwa uchungu Sana mpaka tulio kuwa kwenye gari lile tulipata huruma.
Mama alijitetea kuwa anaenda Kenya kujifungulia huko...
Burundi na Tanzania zimetia saini mkataba wa $900m kujenga njia ya reli itakayounganisha nchi hizo mbili jirani, tovuti ya Citizen imeripoti.
Reli ya 282km ya standard gauge itaanzia Uvinza mkoani Kigoma nchini Tanzania hadi Gitega, mji mkuu wa kisiasa wa Burundi, ripoti ilisema.
Waziri wa...
Author: Godfrey Mwakikagile
Paperback: 426
Publisher: New Africa Press (21 May 2012)
ISBN-10: 9987160298
ISBN-13: 9789987160297
Book Description:
The conflicts between the two groups have sometimes been characterised as ethnic, although neither group has fundamental attributes of ethnicity...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.