Nimeshangazwa na Tanzania kutokupata mwanahabari wa kupiga kura za ballon dorr,wanahabari wa Tanzania (wachambuzi) wamekwama wapi kupiga kura za kumchagua mchezaji bora dunia tuzo za ballon d orr au wenyewe wanachokijua ni kutengeneza mijadala kupitia vipaza sauti vyao
Hali vipi wanajumuiya ya Afrika ya Mashariki.
Nipende kuwakaribisha ndugu zetu tajwa hapo juu, kuweza kujumuika nasi katika jukwaa la MMU (Mahusiano, Mapenzi na urafiki) ili tuweze kubadilishana mawazo kadhaa hususani katika mahusiano yetu kwa ujumla.
Tunahitaji kuona mkileta hadith za bibi...
Kuna watu wanapenda kudharau watu toka Mataifa yaliyoendelea kama Marekani na mengineyo kwa kuwaita eti wao ni "Mabeberu " kitu ambacho sichema kwa ustawi wa nchi na kwanchi zinazotuletea biashara na ajira kama hizi kuwaita "Mabeberu " japo hii sio hoja yangu wacha twende kwenye hoja...
Na cha Kushangaza zaidi kama Burundi inabebwa kwakuwa iliathirika na 1994 Genocide kwa Ripoti za UN zinasema kwamba Rwanda ndiyo iliathirika sana tu ila yenyewe wala haijikombi wala haijipendekezi kwa Mataifa makubwa ya Ukanda wake.
Naifananisha Burundi na Mtoto Mvivu na Mpumbavu pia anayependa...
Amani na utulivu,
Ndio kauli za viongozi wa Tanzania ambao wanahisi wanalinda amani na utulivu kumbe Watanzania ni waoga wa kudai haki zao za msingi.
Angalia chaguzi za Zambia na Malawi utajua hao walistaraabika muda mrefu sana na katiba zao ni imara kuliko sisi wakumbatia ujamaa hewa...
Gari imekaza.
Gari inatembea mwendo mdundo
Haina shida wala kelele
Njoo na Mil 2 nikuachie
sms 0625750755 gari za bei kitonga zipo.
imebaki hii tu
INAFUATA FORD XLT manual gear kwa milioni 7
Hapa katika uzi huu nakupa Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika.
Zipo nyumba nyingi, so angalia ktk comment kuona zaidi
Majanga ya Asili yamesababisha Watu kukimbia makazi yao miaka ya karibuni, ikielezwa wengi wao walikuwa wakiishi pembezoni mwa Ziwa Tanganyika ambapo viwango vya maji vimeongezeka na kusababisha mafuriko na maporomoko
Shirika la Save The Children linasema takriban 85% ya Watu 122,500 wanaokaa...
Bismillah.
Naomba kujua kwa mtu yeyote aliyeishi au kununua mtumba mji wa bunjumbura. Kat ya Dar na Bujumbura wapi mtumba wao n mkali na bei yao inatofaut sana na huku?
Help me niga mi nko kigoma nataka nkapoint vikal buju.
Naomba mwenye maujanja ananinasue
Asanteni kwa kuja JF
Haingii akilini kwamba bunge linatumia muda mwingi kujadili sehemu ya kazi za mbunge. Eti Gwajima Mbunge, anajadiliwa kwa kuhoji maamuzi ya serikali
Eti Silaa Mbunge, anajadiliwa kwa kusema anachohisi ni ukwepaji kodi kwa wabunge! Sasa kinachoendelea ni muendelezo wa kuhojiwa na kamati baada ya...
Baada ya mheshimiwa kusema tuhamie Burundi nilijipanga vizuri ili nihamie Burundi ila nikakumbuka kuna watu wamekimbia Burundi na kuja Tz
So naomba kuuliza kwa mlioko Burundi hali ya tozo ikoje, amani, na mazingira ya biashara nisije kujikuta naangukia pua
Baadhi ya Waafrika ni viumbe vya ajabu sana, unapiga piga makelele dhidi ya mambo ya kisayansi wakati mwenyewe kwako huna hata kiwanda cha sindano, kila kitu unaagiza kutoka nje halafu unabwabwaja eti mabeberu wanataka kuwamaliza kwa chanjo dhidi ya corona, ilhali unapokea chanjo aina nyingine...
Burudi imezuia upelekaji nje aina ya madini adimu ( rare earth) mpaka suala la kupata faida yenye usawa kwa serikali na mwekezaji linafikiwa. Hayo yamesemwa na Waziri wa maji, nishati na madini nchini humo, Mheshimiwa Uwizeye kupitia barua aliyoliadikia kundi la makampuni ya uchumbaji madini...
Ukweli ni kwamba, yanayoendelea kwenye hii nchi yanaumza.
Lakini kabla hatujatupa lawama kwa Amiri Jeshi mkuu lazima tujue kwanza alipo na tujue nini msimamo wake kwenye mambo yanayowafanya wananchi wake wanong'one chinichini kama makinda yasiyo na watoto.
Tangu tumepandishiwa miamala...
“Wewe Mtanzania usiikimbie nchi yako, tutarekebisha matatizo, lakini kama umepata fursa ya kuwekeza huko, wekeza!
Lakini usiikimbie nchi yako kwa sababu ya matatizo”. Waziri Nchemba
Pia soma > Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala
Source ...
Katika kutekeleza kauli ya Waziri wa Fedha, ya kututaka tuhamie Burundi kama hatuwezi kulipa tozo za miamala ya simu, jina lako la Burundi unaitwa nani? Mimi naitwa Renzoimana Barberashimiye.
Hebu angalia gharama hizi za huu muamala hapa chini[emoji116]
👉Gharama ya muamala(kodi) = 3500/=
👉Tozo ya mshikamano = 7500/=
Hii uliona wapi? Hata kama ni uzalendo huu sasa ni unyanyasaji, hata kama ni mshikamano huu sasa ni mshikwamano. Yani tozo ambayo kiuhalisia ilipaswa iwe hiari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.