Nilimkuta amejikunyata ndani ya blanketi lake lililokuwa na rangi ya udhurungi, macho yake hafifu yalikua yakilitazama jua, ambalo lilikuwa likitoka huko mafichoni lilikokuwa ili kuja kuungaza ulimwengu, katikati ya mapengo yake ya mbele, alikua amekibananisha kiko chake vilivyo ili moshi wa...