Kama Tunavyojua, Nchii hii imebarikiwa kuwa na wafanyabiasha wakubwa sana na wanafahamika nchi nzima, wakiwemo Kina MO, Rostam, Marehemu Mengi, Patel, etc.
Sasa Leo tupate Fursa ya kuwajua wafanyabiasha wakubwa na matajiri ndani ya Mkoa was Dodoma, Japo ni mkoa upo nyuma Kimaendeleo lakini Kuna...