Kuna mwamba kauliza jana "hivi wenzangu mnawezaje kupiga bao tatu wakati mimi moja inatosha tu na huwa inakinai"
Hii yote ni kutokana na mwamba kusoma posts nyingi humu kila mtu anajisifia kwenda hadi round nne😂
Yani humu JF kila mtu ni tajiri.
Ana nguvu za kiume
Kila mdada humu ni under 30...