Hivi kwa sisi ambao tayati tumefika miaka 38 bado tunajitafuta na tunaonekana kama wazee, Hivi kama ukitoboa labda na miaka 45. Unaweza ukarudi kuwa kijana kabisa ukisingatia diet, mazoezi na vinginevyo ? Au Wenzetu wanaanza hayo mambo wakiwa na miaka 20.
Nahitaji kijana alietoka chuo mwenye uelewa mpana kwenye kilimo Cha nyanya, kitunguu, mahindi, maharage na alizeti pia mwenye kujua na kutunza vizuri nguruwe, mbuzi na ng'ombe
-Awe anajituma
-Mwenye kufanya kazi Bila kutumwa
-Awe mbunifu na kujiongeza
Tabia njema na uaminifu
-Awe ametoka na...
Niko Morogoro
Nilichokiona Leo n BALAA tupu
Polen sana mashabiki WA man u na Chelsea
Kiujumla sisi Man City tumehuzunishwa sana na yanayoendelea ligi kuu ya EPL
Nahisi tueleke kwenye maombii ya Mchungaji wa Dube tukaponye timu zetu
AFANDE SELE FT BWANA SAM - MTU NA PESA
Verse ..1 ( afande sele)
Mtu na pesa hakuna mwanadamu asie jua maana ya pesa/ hata mwanangu Tunda hi leo ana ijua pesa/ tangu ana miezi tisa (9)/ maana kila kukicha anacheki inavyonitesa/ baba ake nateseka / mchana kutwa mbilika na usiku ni batashika/...
Bwana kilungi a.k.a Mbosso khan naona kashashindikana huyu jamaa na nasema hivi kwa sababu kollabo zote anaua
Naona Mpaka muda huu wa kuokoa jahazi ni bwana na MR. bombaclaaaT a k.a konde boy
Wakati wakiripoti habari ya Mkurugenzi wa Kampuni inayotengeneza Pombe kali mkoa wa Manyara ndugu David Mulokozi kuhusu kununua helikopta yake binafsi, hawa hawa waandishi wetu wa habari badala ya kusema mtengenezaji wa aina mbalimbali za pombe kali eti wanasema "POMBE CHAMGAMSHI". Tena bora...
Nasikia tetesi nyingi tu kuwa ndugu zangu wachaga sasa wanaingia kwenye anga za ushirikina kwa spidi ya 5g.
Sasa leo, bwana Massawe kijana mtanashati na anaye onekana mstaarabu kumbe ni tapeli na anaamini ushirikina.
Asante sana polisi yenye mkono mrefu kwa kufichua hili.
Wachaga kiasili...
#VIDEO: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kupatikana kwa Vincent Massawe (Bwana harusi) ambaye taarifa zake zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba amepotea siku chache baada ya kufunga ndoa.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro...
Taarifa ya Jeshi la Polisi
==
Ndugu wa Vincent Masawe, bwana harusi anayedaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha wamethibitisha kupatikana kwa ndugu yao.
Kwa mujibu wa ndugu hao, Vincent yupo katika kituo cha polisi kilichopo Kigamboni, mkoani Dar es Salaam.
Akizungumza na Mwananchi...
"Hivi karibuni nimeumwa nusu nife, nimemshuhudia Mungu kwa macho yangu akinirejeshea uhai, hili ni funzo hata kupona kwangu bado nashangaa sijui imekuwaje. Kuanzia leo nafuta kila kitu kibaya kwangu nakuwa mpya, namrudia Mungu, mimi sio mshiriki wa mapenzi ya jinsia moja tena, nampenda Mungu na...
Ilikuwa jioni ya tarehe 9 mwezi Av (tano) mwaka 3175 kwa kalenda ya Kiebrania (Hebrew Calendar) sawa na mwezi July au August mwaka 587 kabla ya Kristo kwa kalenda yetu.
Mkuu wa majeshi ya jeshi kubwa kuliko yote duniani kwa wakati huo aitwaye Nebuzaradani kutoka Babeli, alikuwa ameingia ndani...
Reference:
Marko 9:1
Luka 9:27
Mathayo 16:28
Mistari yote hio ina ujumbe unaofanana, ya kwamba
Maneno hayo yalitamkwa na Bwana Yesu mwenyewe akiwa katika mwili wa damu na Nyama akiwaambia kuna watu watauona ufalme wa Mungu kabla ya kufa..
Kumbuka ishapita miaka elfu 2 mpaka sasa
Je, hao...
Bwana ni jumapili mpya ya tarehe 1/12/2024 asante Bwana kwa neema ya kuuona mwezi mpya.
Bwana naomba mwezi huu ukawe ni mwezi uliobeba baraka na mashangilio tele ukawe mwezi wa kurejeshewa, kupata, kuinuka
Bwana hakika sisi na wanadamu ndani mwetu hatuishiwa mahitaji Bwana. Tunazo ndoto za...
Mkiyapata majibu ya swali hili mtajua umuhimu wa kulinda ndoa zenu.
Maandiko yanasema mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.
Umeolewa unakuta sms moja tu kwenye simu ya mumeo unaondoka na watoto.unaenda kuolewana lizee au unageuka nyumbandogo ya mume wa mtu.
Hao watoto...
Nikaota ndotoni nikajikuta nasema:
Diwani,
Watu wanasema mengi juu yako. Eti wewe huna elimu ya kutosha kumudu uelewa wa mambo makubwa. Nakuomba, kwa kuheshimu katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 toleo la 2005 ibara 08(1)(a)(b)(c)(d), na kwa kuzingatia ibara 26(1) na ibara 09 a, b...
BWANA YAWEZEKANA KUPITIA MACHOZI 😭 HAYA KESHO YANGU HAITAKUWA HIVI TENA
Mungu wangu nakushkuru kwa neema hii ya majira haya ya usiku. Ni mapenzi yako tu mimi kuendelea kuwa hai. Asante kwa neema hii🙏
Bwana yawezekana maisha ninayoishi leo au mapito ninayopitia nimesababishiwa na mtu au ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.