Chadema siyo mkusanyikowa malaika, ni wanadamu and all humans are fallible no human being is infallible!
Ukilijua hilo, hotuba yako ya jana Singida, sishangai kuona kuwa kuna watu walitegemea kupewa vyeo!
ndiyo maana tunasema huwezi kuchukua chama ukampa mhamiaji kama Cecil Mwambe alivyokuwa...
Salaam, Shalom!!
To start with, Kila kiongozi na Kila mwanasiasa na ajue ya kuwa uchaguzi ni vita, na kiongozi yeyote ashindaye, anabeba sura ya Mungu au miungu iliyompa uwezo kukaa katika KITI chochote Cha mamlaka.
(1 Wafalme 22: 19-20)Says:
19: Mikaya akasema, sikia basi neno la BWANA...
Habarin za usiku huu
Miaka/miez ya hiv karibuni tumeshuudia mauaji ya wanawake yaliyokisiri kutoka kwa wanaume zao ila kwa sasa nch imetulia je nini kimesababisha utulivu huu ili wahusika waendelee nao aman iendelee maana kilakukicha ilikua mauaji tu kila siku
Kaka angu sheikh Kishki upo sahihi sana kuhusu sakata la huyu Bwana mdogo " Abdul Dunya" almaarufu " Shareef Firdaus".
Dogo ana karama sana ana nyota sana na anakubalika sana. Bora umpotezee tu.
Raia mitaani jijini Darusalama wanamkubali ile kinomanoma.
Kwa Raia mitaani, Kishki vs Shareef...
Kwa Wanawake tu. Ile baada ya ugomvi husband wako kanuna na kapanda kitandani mapema tu Sasa umeivisha chakula hebu mkaribishe chakula bwana husband?
Acha tuone Wife material hapa 😁
Nakumbuka hata mimi nilivyokuwa teenager nilidhani dunia ndio inanizunguka mimi, yani nilijua nilichokijua kuwa ni bora ndicho kilicho bora kuliko vingine vyote.
Yani leo hii mtu anakuja kuandika humu JF eti haka kakisabengo ndiko kaandishi bora wa maandishi ya muziki.
Tofautisha kati ya...
Nipo mkoa wa huku kusini kwenye harakati zangu za utafutaji,nikaingia mtaa mmoja wa nyama choma; ile harufu ya nyama ikaufadhaisha mwili wangu, kuangalia mfukoni nina elfu tano tu, na kwenye simu sina salio lingine.
Wazo likanijia nimpigie simu mama k; ile kupokea simu tukaanza kujuliana hali...
Wadau hamjamboni nyote?
Hayo siyo maneno ni nukuu kutoka maandiko matakatifu
Muache kuwasema vibaya watumishi wa Mungu
Niombe tupigw hesabu kama ni Hela zinatolewa kama sadaka Kwa Kanuni hiyo hapo juu kuhani atastahili kupata asilimia ngapi ya sadaka
Niwatakie sabato njema
1 Makuhani...
Unaposaliti nchi yako, madhumuni yako ni mabaya sana moyoni mwako
Maana yake upo tayari hata Rais wa nchi atekwe kwa sababu ya tamaa yako?
Mtu wa namna hii, ni kivipi aiishi?
2025, kataa ccm, okoa uhai wa rasilimali za nchi na watu wake.
Msanii wa muziki na Mtunzi wa wimbo wa 'Jambo Bwana' maarufu kama 'Hakuna Matata' kutoka Kenya Ted Kalanda Harrison amefariki Dunia Septemba 17, 2024
Taarifa ya kifo cha Msanii huyo imethibitishwa na ndugu yake, John Katana akisema Ted amefariki baada ya kuugua saratani kwa muda mrefu.
Ted...
Habari wadau?
Kuna jambo linanikwaza sana. Unakuta mtu ana harusi. Anaomba mchango kama deni vile! Unamchangia mtu laki ukiingia ukumbini mtu unapewa kifungashio cha juice na soda hata elfu kumi haifiki.
Inakuwa tena kama tunampa mtaji bwana harusi. Jipange bwana harusi ndo uombe hela.
UKWAJU WA KITAMBO
NITOKE VIPI - BWANA MISOSI FT HARD MAD VS NIMECHEZEA BAHATI - MAN X FT DULLY SYKES..
______________________________
studio ya Bongo Records ndiyo nyumba kuu ya upishi huu wenye maisha mazuri katika usikivu imara mpaka leo hii.
Ni wazi miongoni mwa wasanii waliowahi...
Wadau hamjamboni nyote?
Leo nimeshiriki meza ya Bwana (Lords Supper) kama ilivyoagizwa na Bwana wetu Yesu Kristo kama njia ya kumkumbuka.
Hata hivyo nimeshuhudia utaratibu mpya kwenye zoezi la kutawadhana/ kuoshana miguu ambao sijawahi kushuhudia hata siku moja ndani ya Kanisa
Kawaida watu...
Habarini,
Miaka iliopita channel ten kuna muugizaji mmoja alikuwa akijulikana kama bwana jumbe, nahisi alikuwa pia kwenye matangazo ya foreplan clinic ya dokta mwaka.
Bwana jumbe kiumri ni mtu wa makamo, alikuwa anaigiza kama mwanaume player, kuna scene yake moja alinifurahisha, yani...
Mikataba katika masuala ya ardhi na majengo ni nguzo muhimu ya kulinda maslahi yako na kuepuka migogoro ya baadaye.
Kwa kuwa ardhi na majengo ni mali za thamani kubwa, bila mkataba ulio wazi na ulioandikwa, unajiweka kwenye hatari ya kupoteza fedha, mali, au hata haki zako.
Mkataba unatoa...
Mnaona wana jamvi, Na team ya JamiiForum hebu angalieni hili swala la huyu bwana Toka 2010 amekuwa akiwapiga za uso baadhi ya Tanzania kwa kuwapiga na uhuni wa utaperi wa uwekezaji hali anaacha familia nyingi za Kitanzania zikiumia na hakuna mtu wa kufichua hili swala.
Jamiiforum kimnya
TBS...
Mhe. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasiali na Utalii, Nkoba Mabula (kulia) akiongozana pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania Ndugu: Ephraim Balozi Mafuru(kushoto) na Mkurugenzi wa Kitengo cha Mahusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Sukari Kilombero Ndugu;-Derick Stanley...
Husika na kichwa tajwa hapo juu.
Nina ombi au ushauri wa kuongeza msisitizo Kwa watoa huduma (wauza juisi) za miwa watumie nailon maalumu (zinazovaliwa mikononi) ili kuepusha magonjwa yoyote yanayoweza kuambukizwa kupitia mikono isiyo salama.
Asante .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.