Yanga ni timu bora sana, tumeshindwa kufuzu robo fainali Klabu bingwa Africa sababu ya kupoteza kizembe mchezo wa kwanza nyumbani dhidi ya Al Hilal na baadae kufungwa ugenini na Mc Alger hivyo kulazimika kucheza kwa presha kubwa na ufundi kupungua kwenye mechi zilizokuwa mbele yetu.
Tukumbuke...
Yanga ni wapinzani wangu na siwapendi, nimefurahi sana kuondolewa leo maana tusingekaa mjini, maneno ya shombo ya zungu pori, maneno ya hovyo ya Ally Kamwe yangetuchoma sana sisi watu wa Simba.
Eti wangeshinda leo wangekuwa nafasi ya 5, ujinga kabisa.Ila nnao uhakika kuwa Yanga wamepigana pini...
Yani timu yetu bado haijakaa sawa hakukuwa na ubunifu eneo la mbele timu hata ingecheza dakika 200 bado tusingefunga.
Yanga tunapotezaje nyumbani mbona mnatupa maradhi jamani yani tunashindwa kupata goli hata moja wachezaji imefikia wanacheza mpira uishe
Gusa. Achia. Twenda kwao.
Ni ligi ya mabingwa Afrika, Yanga wakiwa nyumbani watawakaribisha MC Alger katika mchezo wa mwisho wa makundi.
Ni mchezo ambao Yanga atahitaji kushinda ushindi wa aina yoyote ile ili kuweza kufuzu robo fainali.
Yanga imekuwa na fomu nzuri ya matokeo kwa mechi za...
I salute you kinsmen.
Huu ni utabiri halali kabisa wa game zote za Simba na Yanga
Yanga atashinda goli 4
Aziz Ki moja, Mzize moja, Dube, Pacome moja,
Simba watakandwa 3-1
Goli moja la penati baunsa Ateba atafunga .
Bandugu!
Kesho Hapa Dar es Salaam jambo kubwa ni mchezo wa Yanga dhidi ya MC Alger katika kufunzu kwenda robo fainali ya klabu bingwa Afrika. Naamini timu yangu ya Yanga itapiga tu na kufuzu.
Lakini sambamba na hilo ni Mkutano Mkuu wa CCM pale Dodoma makao makuu ya Nchi. Tutapomfahamu Makamu...
Mpira ni furaha sio uadui
Nashauri tu kama inawezekana Yanga na Simba wakubaliane kama kuna wapenzi wa Simba wanataka kuja kuiona Yanga
Wawaruhusu kwa makubaliano yao maalum watumie tiketi zao walizonunua kwa ajili ya mechi ya Constantines ambayo wamepigwa nyundo kuhudhuria
Mpira siio...
Baada ya Al hilal ya ibenge kula kichapo kizito kutoka Kwa mabingwa wa kihistoria young Africans
Wanasimba wameandamana kwenye vyombo vya habari plus mitandaoni wakimtuhumu GSM Kwamba ameanza kuharibu ligi ya mabingwa Baadaya kuonekana kumshawishi ibenge aibebe Yanga
Soma Pia: Full Time: AL...
Nadhani niliwatahadharisha mapema kuwa hakuna Watu Wanafiki na wepesi kufanya Biashara za Madili kama akina Bandeko Nangai (Wakongomani) na hatimaye mmekiona.
Pamoja na Uzito wangu wa sasa wa Kilo 83 nikiwa Golikipa siwezi Kufungwa Goli jepesi kama lile alilofungwa Kipa wa Timu ya Kocha Mnafiki...
Naona ngoma ya watoto ashaisha, naombeni tu mkalale salama kesho shule zinafunguliwa.
Mimi nikiwa kama shy land mganga na mgaguzi kweli kweli nimecheki mitambo yangu nimeona al hilal amekufa tatu bila
Ikitokea matokeo yakienda kinyume yaani yanga kufungwa nakuomba sana Paw Moderator Invisible...
Karibuni katika Matchday 5 Kati ya Al Hilal Omdurman' na Yanga katika dimba la Stade de la Capitale lililoko mjini Nouakchott, Mauritania, mechi hii itachezwa saa 4 usiku kwa saa za Africa Mashariki (1900Hours GMT/UTC)
Nini kitatokea katika mechi hii ambayo Yanga anahitaji matokeo ya ushindi...
Mi nawashangaa sana watu wanaosema YANGA kuvuka makundi ni ngumu wakati kama YANGA atamfunga Al Hilal kuanzia 3 bila basi hata kuombea hilal apoteze dhidi ya TP Mazembe ili aongoze kundi
Kwa wasiojua mpira wanadhani wananchi wameshatoka kutokana na matokeo ya jana ya mwarabu na mazembe,
Sasa iko hivi matokeo ya kesho,Al hilal 1 Yanga 1,hivyo kundi litasomeka Al hilal points 11,Mc alger points 8,Yanga points 5 Mazembe points 2,mechi ya mwisho kwa mkapa Yanga 4 Mc Alger 0,Yanga...
Nimeangalia game ya Mc Alger na Mazembe ya jana(ijumaa) kule Algeria ,well ukweli ni kwamba hamna timu kati ya zile yenye quality ambayo Yanga wanayo
Nadhan itakuwa sio fair kwa mpira wa miguu kwa Yanga hii ya Pacome,Aucho , Baka etc kutoenda robo halafu aende Mc Alger,plus the fact kwamba...
Kundi A katika Ligi ya Mabingwa Afrika, leo kuna mchezo muhimu sana.
MC Alger Vs TP Mazembe pale katika dimba la July 5, kuanzia Saa 4:00 Usiku kwa Saa za Afrika Mashariki.
Mchezo huu ni muhimu sana kwa hatima ya Yanga katika kusonga mbele.
Ikumbukwe MC Alger yupo nafasi ya pili akiwa na...
Wewe ndio afisa habari wa Yanga, wewe ndio unatakiwa upite kwenye media zote ushawishi wanaYanga waende disband kuishangilia Yanga mwanzo mwisho, kazi hiyo unaiweza vizuri sana.
Wewe umeaminiwa na taasisi kubwa ya michezo nchini, Yanga, wananchi wanakukubali sana wewe.
Wakati wanaYanga...
Kipindi timu zetu zikihangaika katika Mashindano ya CAF , kila mara zilikuwa zikitolewa hatua za awali, ni Simba ndo alofufua matumaini ya vilabu vyetu kushiriki makundi na kufanikiwa kutinga robo fainali CAFCL alipoitungua AS vita 2 - 1 Benjamin mkapa.
_ Ni Simba ndo ilokusanya point nyingi na...
Kesho wana Yanga msipoteze muda wenu kuwa na matumaini kule Congo vs TP Mazembe.
Mgogoro ule uliokumba Simba miaka 3 nyuma umehamia Yanga.
Nimemsikiliza kwa umakini mkubwa babake Haji Manara, Sunday Manara akimlaumu sana Injinia Hersi na wenzake ndani ya Yanga.
Mzee Manara anamuona Hersi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.