cag

  1. Suma JKT walifanyiwa auditing na CAG?

    Hivi kuna ripoti yeyote ya CAG kwa hawa sumaJKT? Ya mwaka wowote? Kama ipo naomba link..
  2. K

    CAG sasa ni wakati kukagua sticker za magari tunayouziwa

    Kama ilivyo kawaida unapopewa sticker ya gari ni sharti gari likaguliwe na baada ya kuridhika basi unapewa sticker baada ya kulipia lakini utaratibu huu haufuatwi isipokuwa unapokutana na askari kitu cha kwanza kuulizwa je una sticker?. Kama huna unaambiwa lipia na ondoka zako bila ukaguzi wa...
  3. CAG kama umo humu naomba unijibu haya maswali

    Mimi maswali yangu ni haya;~ Utawala wa Magufuli unaonekana ulikuwa wa kipigaji sana, je aliwezaje 1. Kununua ndege 11 mpya tena bila mkopo? 2. Kujenga madaraja yote haya? 3. Kujenga Fly over hizi? 4. Kujenga meli kubwa mpya zile na kukarabati meli za zamani? 5. Kuhamishia serikali Dodoma...
  4. What Next? La CAG linapita na limeshapita, Mwamba maarufu

    Hii ilikuwa ni kama last bullet yao wakitegemea kwamba wangemaliza kabisa lkn imebumu, Mwamba ni maarufu kuliko hata alivyokuwa hai, sasa nini kinakuja? Watafanya nini tena kama wamekwenda mpaka White House USA kujaribu kupambana na Mwamba lkn bado wameshindwa, nauliza what comes next ...
  5. Ripoti ya CAG kwa mwaka wa fedha 2025/2026 au 2030/2031 itaonesha ubadhirifu wa awamu ya sita

    Kwa namna siasa zetu zilivyo tutarajie kwamba . Kama Samia atapita 2025 basi mambo yatabakia hivi hivi nikimaanisha kwamba ripoti ya fedha kwa mwaka 2025/2026 ya CAG itakua safi sana. Ila kama mambo yakiwa tofauti basi isikilizie kwani lazima itaukandia mno awamu ya sita. Lakini kwa uhakika...
  6. J

    Askofu Niwemugizi: Ripoti ya CAG imedhihirisha uongo wa watawala

    Askofu wa Jimbo katoliki la Rulenge-Ngara, mhashamu Severine Niwemugizi amesema ripiti ya hivi karibuni ya CAG imedhihirisha uongo wa watawala. Katika salaam zake za Pasaka, Askofu Niwemugizi amesema waumini wajifunze kuwa wakweli na kuepuka uongo kama Yesu alivyokubali kufa msalabani kwa...
  7. Hoja alizoibua CAG sio ufisadi mpaka zikose majibu

    Upuuzi ni ile hali ya kutotumia busara muda wote na kujadili ujinga ili hali unatakiwa kujadili masuala ya msingi. Utaratibu wa kufanya auditting unajulikana dunia nzima. Mkaguzi huibua hoja anapokuwa anafanya kaguzi. Hoja hizi mara nyingi huwa ni mashaka juu ya muamala uliofanyika na mara...
  8. J

    Kubenea achafuliwa baada ya kusema vibaya awamu ya 5 ripoti ya CAG

    Baada ya Gazeti la Raia Mwema ambalo moja ya wamiliki na waandishi wake ni Said Kubenea kuandika Wizi Mkubwa Awamu ya 5, Wapo watu hawakufurahishwa na habari hiyo na kumchafua kiongozi huyo na ku edit vichwa vya habari, ambapo amesema atawatafuatilia na kuwafungulia mashtaka
  9. B

    Ripoti ya CAG Ina mapungufu makubwa ya kimantiki; "non-compliance" imetumika kama ubadhirifu kufurahisha umma

    Watanzania wengi wanaweza kujiuliza kwanini riport ya CAG Ina madudu mengi lakini Mhe. Rais na serikali Kwa ujumla awachukui hatua? Wanajiuliza awamu ya sita inafumbia macho wizi na ubadhirifu tofauti na awamu ya Tano? Lakini wapo wanaohoji kama madudu hayayamefanyika wakati wa JPM je mbona...
  10. CAG: Mkandarasi alichukua tenda kwa 104b akaiuza kwa 40b akapiga cha juu 64b

    Namnukuu CAG Kichere Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari iliingia mkataba na “Mkandarasi Mkuu” wa shilingi bilioni 172.36 tarehe 3 Agosti 2019 wa muda wa mwaka mmoja hadi kufikia mwezi Agosti 2020 kwa ajili ya kuongeza kina cha lango na sehemu ya kugeuzia meli katika bandari ya Tanga, kufanya...
  11. Magenge ya awamu iliyopita yaligawana tenda za ujenzi wa mradi wa Stiglers wenye thamani ya trilioni 20, wamejaa hofu kuumbuliwa na CAG na Makamba

    Kwa wasiojua, mmisiri pale ni nyapara, hajengi, hawa Chato dynasty ndio wameji subconstruct . Magenge ya awamu ya tano yaligawana tenda ya ujenzi wa mradi wa Stiglers, hawa wanaopiga kelele na kumshutumu Waziri Makamba, ni kwamba wameanza kuuona moto, kampuni zao zimeanza kuitwa moja baada ya...
  12. Ripoti hii ya CAG asilimia kubwa ni ya enzi ya utawala wa Jiwe, ulijaa upigaji

    Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe. Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
  13. Wanachadema ripoti ya CAG hamuioni? Mbona hatusikii mkinanga juu ufisadi kama ilivyokuwa huko nyuma?

    Mlipiga sana kelele miaka ya nyuma baada ya ripoti ya CAG kuwa inaleta tashwishwi juu ya ufisadi kufanyika. Mlikuwa mnapaza sauti na kupayuka kuwa kuna upigaji mkubwa, hasara za ATCL na matumizi mabaya ya pesa za umma. Swali, mbona sasa hivi mpo kimya juu ya kuchambua na kupiga kelele juu ya...
  14. CAG: Watoto wa Masikini wapigwa chini mikopo elimu ya juu, Watoto wa matajiri wala bata

    Hakuna wa kumlaumu kama kwa %kubwa wasiojiweza wamekosa mikopo ili hali wanavigezo. Kwani Mama Mwenye nyumba alishasema " hata watoto wenye uwezo nao wanufaike mikopo" yote hayo ni kupindua mambo aliyofanya Past President kwajuhudi alizokuw akifanya. Na kwasababu alitamki ulitegemea board...
  15. CAG amesema deni la Taifa limepanda kwa 13.7% kutokana na kushuka kwa thamani ya shilingi

    Naendelea kuipitia ripoti ya CAG ambayo imesema deni la Taifa limeongezeka kwa 13.7% kwa mwaka wa fedha 2020/21 ambapo mwaka uliotanguliailiongezeka kwa 7% ongezeko limetajwa ni kwa sababu ya kushuka kwa thamani ya shilingi. Deni la nje ndio limekuwa kwa kasi kuliko deni la ndani ambapo deni la...
  16. Kuna Umuhimu gani ikiwa mapendekezo ya CAG hayatekelezwi?

    Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za serikali kila mwaka wa fedha baada ya kutoa ripoti ya ukaguzi hutoa mapendekezo ili kuongeza ufanisi wa taasisi na kudhibiti upotevu wa fedha na mapato ya serikali. Hata hivyo mapendekezo machache hutekelezwa hali inayotia mashaka kwa nini CAG anaendelea kuwepo ikiwa...
  17. CAG: Hali ya Magereza ni mbaya, wafungwa wanalala vyumba vya mabati, nyumba za maofisa nazo zimechoka

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema ukaguzi ulihakiki majengo ya makazi ya magereza na kubaini kuwa mengi ni chakavu na yanahitaji ukarabati mkubwa. “Hali mbaya zaidi ilibainika katika magereza ya kilimo ambapo wafungwa walikuwa wakilala katika vyumba...
  18. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) 2020/21

    Charles Kichere (CAG) Hii ndiyo ripoti kamili ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kwa Mwaka wa Fedha 2020/21, imewekwa hadharani Jumanne Aprili 12, 2022. Baadhi ya mambo yaliyoguswa: Mashirika ya Umma kutopeleka michango Sh bilioni 129.33 Mashirika ya umma...
  19. Shirika la Masoko ya Kariakoo (SMK) chini ya Ofisi ya Rais, TAMISEMI kutofanyiwa ukaguzi na CAG ni mzaha

    Shirika la Masoko ya Kariakoo (Kariakoo Markets Corporation) lipo chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI. CAG katika taarifa ya ukaguzi 2020/2021 anasema eneo hilo ameshindwa kutoa maoni. Maana yake hakukagua. Je, ni kweli Rais hajui lolote kuhusu Ofisi yake kutofanyiwa ukaguzi na CAG? Shirika la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…