cag

  1. K

    Ripoti ya CAG hati nzuri CCM, ACT-Wazalendo na CHADEMA

    Inasikitisha wakati mwingine kuona watu wengi wanapenda sana mabaya kuliko mazuri. Sasa hivi vyama vyote vina hati nzuri lakini watu hawasemi maana kuzuri sio drama. Wengi walikuwa wakisubiria kushambilia wapinzani hasa Chadema na ACT. Vyama ambayo vina hati mbaya kwasababu ni wasindikizaji...
  2. CAG: Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere umekamilika kwa 48% badala ya 94% iliyopaswa. Mafuriko na Uviko vyatajwa kama sababu

    Kwa tuliokuwa tunaulizia mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere ulipofikia, leo CAG ametoa majibu, hauna dalili ya kuisha, ndio kwanza umefikia asilimia 48, kwa hesabu za asilimia maana yake hata nusu haujafika. Ujenzi wa mradi wa ufuaji umeme wa Mwalimu Nyerere ulianza mwaka 2019 na...
  3. Rais Samia apokea ripoti ya CAG, deni bado ni himilivu. Mafao yazidi mapato ya mifuko ya hifadhi

    Kuwa nami, CAG anasoma mambo muhimu kwenye ripoti yake ambayo anaiwasilisha kwa Rais Samia. Inaanza kwa hali isiyo njema kwa vyama vya siasa. Endelea... ========= CAG: Upande wa vyama vya siasa, ADC hati mbaya, Chauma hati mbaya, TLP hati mbaya, UMD hati mbaya, CUF hati yenye shaka, UDP...
  4. Rais Samia kupokea ripoti ya CAG leo Machi 30, Ikulu Dodoma

    Leo Rais Samia atakuwa anapokea ripoti ya CAG Charles Kichere kwa ukaguzi wa hesabu za mwaka 2020/202. Shughuli hivo pevu itaanza saa 4 asubuhi. CAG ana machagua mawili tu,ama kuanika uozo wote wa awamu ya sita au kuchakachua kutaka kuonyesha mama anaupiga mwingi. Kama amenyofoa kurusa zenye...
  5. Zitto Kabwe aliwafanyia kitu gani CHADEMA?

    Tatizo katika nchi hii Kuna kundi linajiona Lina hatimiliki ya upinzani kwenye siasa za Tanzania, wanawaona wapinzani wote ni mamluki wa watawala isipokuwa wao tu ni wazi kabisa kwa sasa hivi kwamba CHADEMA wameshindwa kufanya siasa bila kumtaja mwamba Zitto. Tokea miaka ya 2009 Chadema...
  6. Mabosi hutumia akaunti za benki za watu binafsi, wazabuni na wakandarasi kuchota pesa za Serikali. Serikali imulike taasisi ambazo CAG hana ubavu nazo

    Habari! Hii habari nimeileta hapa kama tetesi ili kujilinda na watu wapumbavu ambao hao kila kitu utawasikia wanauliza source au kutaka utaje jambo direct. Kuna baadhi ya mambo hayapaswi kuwekwa wazi kwa % nyingi hasa kipindi hayajaiva. Ni kwamba viongozi wateule wanajichotea pesa za umma...
  7. Dear Controller and Auditor General (CAG), take note on this

    Naomba nitupie hii kwa CAG kama ilivyo wadau Hello CAG It is my hope that you are doing fine, and I am also terrific. It is a great honour for us and our nation to have you in that office. CAG I am very much patriotic with our nation and national resources, in fact, I underline the concept of...
  8. CHADEMA, ripoti ya CAG inakuwa nzuri inapoigusa Serikali; kikiguswa chama chenu mnakaa kimya

    Wanaukumbi. CHADEMA ILITUMIA MILIONI 377 NJE YA BAJETI Ukaguzi umebaini Tsh. 100,000,000 zilitumika kwa shughuli ambazo hazikuwepo kwenye bajeti Chama kilinunua Magari 5 kwa 227,430,000 na kutumia 50,000,000 kununua nyumba ya Ofisi Kanda ya Serengeti. Ripoti ya CAG ukurasa 266, imebainisha...
  9. Dkt. Kigwangalla: Ripoti ya CAG ni ya uongo, nimechafuliwa sana. Prof. Adolf Mkenda ndiye aliyeratibu mimi kuchafuliwa

    Nukuu za Hamis Kigwangalla, Mbunge wa Nzega Vijijini kuhusu ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). "Kwa kawaida katika taarifa za CAG huwa kuna hoja nyingi, hoja hizo zinapelekea kamati ya PAC kuzijadili na kuwasilisha taarifa zake bungeni. Katika taarifa zake CAG si...
  10. RC Makalla asema hakuna shule iliyouzwa Kurasini, aagiza CAG kufanya ukaguzi maalumu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ameweka sawa kitu kilichosababisha taharuki juu ya uvumi wa taarifa zilizodaiwa kuwa eneo la Shule ya Sekondari Kurasini linauzwa kwa mwekezaji ambapo amethibitisha kuwa eneo hilo haliuzwi. RC Makalla amesema ni kweli kuwa mwekezaji alituma maombi ya...
  11. PAC: ATCL ilipata hasara ya Bilioni 60.24 kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020

    Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imebaini kuwa Shirika la Ndege (ATCL) lilipata hasara ya Sh60.24 bilioni kwa mwaka wa fedha 2019 /2020. Mwenyekiti wa PAC, Naghenjwa Kaboyoka ameyasema hayo leo Alhamis Februari 17, 2022 wakati akiwasilisha taarifa ya shughuli za kamati kwa kipindi...
  12. Leo Magufuli hayupo madarakani, Wapinzani hawapo bungeni, Job Ndugai sio Spika tena na Prof. Asaad sio CAG tena

    Nature imetenda haki. Hii ni hotuba ya Kambi ya Upinzani bungeni ambayo Job Ndugai na Magufuli hawakutaka kabisa isomwe ili wananchi wajue mauvundo, dhuluma na mauchafu wanayofanyiwa. HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA...
  13. Ripoti ya CAG: Hali ya Utekelezaji wa Mapendekezo ya Miaka Iliyopita

    Sehemu hii, inazungumzia utekelezaji wa mapendekezo yaliyotolewa na CAG pamoja na maagizo ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) Hali ya Utekelezaji wa Mapendekezo ya CAG kwa Ofisi ya Rais - TAMISEMI Ripoti ya ukaguzi ya mwaka 2019/20 inaonesha kuwa, kati ya...
  14. Ripoti ya CAG 2019/20: Upungufu wa Miundombinu kwenye Shule za Msingi na Sekondari

    Kutokana na utelekezaji wa Sera ya Elimu Msingi bila malipo ya mwaka 2015/16, kumekuwa na ongezeko la wanafunzi kila mwaka. Ongezeko la wanafunzi lilipaswa kwenda sambamba na uboreshwaji wa miundombinu ya shule kama vile vyumba vya madarasa, madawati, matundu ya vyoo nk. Kwa mwaka 2019/20, CAG...
  15. Ripoti ya CAG: Ufanisi katika uendeshaji wa Mfuko wa Uwezeshaji wa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu

    Katika ukaguzi wa uendeshaji wa Mfuko wa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, CAG amebaini Mapungufu kadhaa yakiwemo; 1) 65% ya Mikopo iliyotolewa kwenye Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu haikurejeshwa. Kwa mwaka 2019/20, CAG alionesha Mamlaka za Serikali za Mitaa 130...
  16. M

    Rais Samia aagiza wote waliotajwa kwa wizi wa Fedha za Umma kwenye Ripoti ya CAG washughulikiwe

    Rais wa Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania ikiwemo TAKUKURU Mhe Samia Suluhu Hassan amesema haya... "Mkurugenzi wa TPA, Waziri na TAKUKURU mpo, naamrisha ripoti ya CAG mkaisome, halafu mchukue hatua, fedha nyingi sana imepotea watu...
  17. CAG Assad alisema ni mtu mjinga pekee ndo anaweza kufanya manunuzi cash: Anajifunza nini Entebbe Airport?

    Uganda to surrender Entebbe International Airport over Chinese cash - ------------- Top Ugandan officials have been boxed into a corner of bother after lenders in China rejected their request to re-negotiate ‘toxic clauses’ in the $200m (Shs713b) loan picked six years ago to expand Entebbe...
  18. CAG 2019/20: Mapungufu katika Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo

    Mamlaka ya Serikali za Mitaa zinajukumu la kusimamia idadi kubwa ya miradi ya maendeleo inayotekelezwa nchini. Miradi hii yenye lengo la kutoa huduma za kijamii, hutekelezwa kwa fedha za ruzuku inayotumwa kutoka Serikali Kuu na kiasi fulani huchangiwa na mapato ya ndani ya Halmashauri husika...
  19. CAG 2019/20: Mapungufu katika Usimamizi wa Mali za Mamlaka ya Serikali za Mitaa

    CAG ameonesha mapungufu yafuatayo katika usimamizi wa mali za Mamlaka ya Serikali za Mitaa; 1. Kutokuwepo kwa Hati za Umiliki wa ardhi zenye thamani ya TZS. 1.14 trilioni katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa 27, kutokana na uzembe wa menejimenti za Halmashauri husika kutokupima ardhi...
  20. Ripoti ya CAG: Mapungufu katika ulipaji wa Mishahara na Mikopo

    CAG ameonesha mapungufu yafuatayo katika ulipaji wa mishahara kwa watumishi katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa (MSM); a) MSM 36 kushindwa kulipa madai mbalimbali ya watumishi yenye thamani ya TZS. 27.84 bilioni b) MSM 46 kushindwa kuwasilisha makato ya kisheria ya mishahara yenye thamani ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…