Utawala wa kijeshi wa Burkina Faso umevunjilia mbali tume ya uchaguzi nchini humo ukiitaja kuwa ni ufujaji wa fedha.
Badala yake Wizara ya Mambo ya Ndani itashughulikia uchaguzi katika siku zijazo, runinga ya serikali ya RTB iliripoti
Tangu utawala huo ulipoingia mamlaka mnamo Septemba 2022...