Nahuzuni moyoni mimi siimbi nalia,
Ulituahidi mengi, binafsi nayalilia,
"Hapa kazi tu!" ndio kauli uliyotuachia,
kwa bidii tulijituma, na mengi tuliachilia,
Ulitufundisha uzalendo, kazi kwanza mazuri yangetujilia,
Uwajibikaji kwanza, ndo kigezo cha kuinuliwa,
Tumbuatumbua, "surgeon" kazi...