care

  1. stakehigh

    #COVID19 Large numbers of health care and frontline workers are refusing Covid-19 vaccine

    Despite the Covid-19 death count in the United States rapidly accelerating, a startlingly high percentage of health care professionals and frontline workers throughout the country—who have been prioritized as early receipts of the coronavirus vaccine—are reportedly hesitant or outright refusing...
  2. JF Member

    Tigo Customer Care kuna shida gani hampokei simu za wateja?

    Tangu Alhamis ya week iliyopita nilitoa pesa kwa wakala wa tigo pesa mara mbili bila mimi kujua. Mara ya kwanza nilitoa 45,000 lakini nikaambiwa muamala wangu umekataliwa. Na wakala hakuona sms ya muamala. Nikazani ni tatizo tu la kawaida. tu. Kwa vile kulikuwa na pesa kwenye account nikatoa...
  3. Miss Zomboko

    Katibu Mkuu Wizara ya Afya ametoa siku 14 kwa wamiliki wa vituo vya mchana vya malezi ya watoto (Day Care) kurekebisha kasoro kabla havijafungiwa

    Serikali imetoa siku 14 kwa wamiliki wa vituo vya malezi vya watoto na (Day Care), kurekebisha kasoro ili watoto hao walelewe katika mazingira sahihi na kwa kujibu wa Sheria. Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii), Dk. John...
  4. N

    AZAM TV customer Care

    Hizi namba 0764700222,0784108000,0659072002 leo hazifanyi kazi?mnasherekea sikukuu? Tunataka huduma,kuweni serious bhana..Yaani unaambiwa ujague lugha unachakua afu inajirudia chagua lugha yaani no respond..Hacheni uzembe kitengo husika
  5. beth

    Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu yasema Hospitali za Mji Mkuu wa Tigray zimezidiwa wagonjwa

    Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) imesema Hospitali na Vituo vya Afya katika Mji Mkuu wa Tigray, Mekelle zinakabiliwa na changamoto ya kutibu waliojeruhiwa katika mapambano Imeelezwa kuwa, vifaa tiba vinapungua na Hospitali kubwa zaidi Mjini humo imelazimika kusitisha huduma...
  6. M

    See the pictures that clearly show that some drivers don't care about other road users

    2020-10-14 18:51:52 You will never know what is really going on in other people's minds. These shows clearly that other drivers don't care about other road users 1. I wonder if this country has police patrollers on the road. 2. Things like this should not have happened in the first place 3...
  7. CHADEMA

    Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  8. Dr Akili

    Aache upotoshaji: Universal Health Care haimaanishi Bima ya Afya. 'Universal Health Care Coverage' kwa Tanzania tuko 100% tangia enzi za Mwl. Nyerere

    Huyu mgombea kila kukicha anawapotosha wananchi kwa kuwaeleza mambo ambayo si sahihi. Anaongea mambo ambayo hayajui na hana utalaamu nayo. Hana wataalamu wa kumshauri ukweli wa kile anachokusudia kuwaeleza wananchi. Moja ya upotoshaji anasema ni kuwa akichaguliwa atawaletea watanzania wote...
  9. Jamii Opportunities

    Chief of the Party at CARE Tanzania

    CARE CAREER OPPORTUNITY – CHIEF OF PARTY CARE seeks to recruit motivated, results driven, dynamic, qualified and competent candidate to fill the position of Chief of Party (CoP) based in Dar es Salaam, Tanzania. ORGANIZATIONAL BACKGROUND: CARE is a leading humanitarian organization dedicated...
  10. Planett

    Airtel Customer Care kulikoni leo!?

    Wakuu habari za mchana, Hivi airtel leo wanafanya makusudi au? Maana nimehamisha hela kutoka airtel kwenda bank tangia asubuhi saa moja ila hadi sasa hela haijafika destination. Napiga simu huduma kwa wateja tangia hiyo saa moja naambulia kusikilizishwa matangazo sababu eti wanapokea simu...
  11. Jamii Opportunities

    Temporary Part-Time Social Care Worker at West Galway Adult Services

    Temporary Part-Time Social Care Worker (2020-68) Job Type Temporary Part-time Location West Galway Adult Services Salary Not disclosed Job Details BROTHERS OF CHARITY SERVICES IRELAND – WEST REGION, TEMPORARY PART-TIME SOCIAL CARE WORKER, BRUACH NA MARA SERVICES JOB REF: 68/2020 A panel may be...
  12. S

    Smile we care

    *SMILE WE CARE (SWC)* *Inafanyaje kazi?* Unapotoa pesa ya kufungulia account yako *$10 = Tsh 23,000/=* Usajili wako utakamilika muda mchache sana Na papo hapo unakua member tayari, *Stage ya awali INDUCTION STAGE* 👷🏼 👷🏼. 👷🏼 👷🏼 👷🏼 👷🏼 👷🏼 Unapaswa...
  13. M

    Dada mwenye uzoefu na customer care anahitajika haraka

    Sifa 1. Uwe na ushawishi mkubwa sana katika kuongea na wateja 2. Uwezo wa kujieleza vizuri bila uoga pamoja na lugha safi 3. Ujuzi wakufanya marketing itakuwa sifa ya ziada 4. Unadhifu wakati wote 5. Elimu haitakuwa kigezo kikuu kama anakidhi sifa hapo juu 6. Kazi itakuwa ya mkataba mwaka mmoja...
  14. Pascal Mayalla

    Don't Worry, Don't Care, Don't Give a Dam!. Just let then say, Whatever They Say!, Watasema Mchana, Usiku Watalala

    Wanabodi, Kuna watu wanasema sema sana kumhusu Rais wetu Magufuli na hatua Tanzania tunazochukua dhidi ya janga la Corona. Hii ni Makala ya Gazeti la The East Africa We Should Tame Tanzania Before She Tames Us With COVID-19 Coronavirus has continued to sweep across the African continent...
  15. Sky Eclat

    Jana McDonald’s waligawa chakula bure kwa health care workers

    Kuonyesha shukran yao katika kupigana na covid-19. McDonald’s zilitoa chakula bure ukionyesha tu budge ya kazini.
  16. M

    Dada mwenye uzoefu wa kufanya sales, marketing na customer care anahitaji katika shule ya udereva

    Sifa: 1. Uwezo mzuri sana katika masoko, mauzo na huduma kwa wateja 2. Awe tayari kufika kazini kabla ya saa 12:30 asubuhi na kuondoka saa 12:00 jioni kwa Jumatatu mpaka Ijumaa na kuanzia saa 1:30 asubuhi mpaka saa 12:00 jioni kwa Jumamosi 3. Awe tayari kufanya kazi yenye matokeo chini ya...
  17. Jamii Opportunities

    Program Coordinator at CARE International

    Organizational background: CARE is a leading humanitarian organization dedicated to fighting poverty and social injustice with a special emphasis on women and girls. CARE Tanzania is part of CARE International, whose vision is to seek a world of hope, tolerance, and social justice, where...
  18. Jamii Opportunities

    Clinical care interns at John Snow Inc

    Title: Clinical Care Interns Regions: Dar (4); Morogoro (2); Mbeya (1); Dodoma (1); Tabora (1); Mwanza (1); Kagera (1); Shinyanga (1); Iringa (1); Songea (1); Mtwara (1) Background: The Strengthening High Impact Interventions for an AIDS-free Generation (AIDSFree) Project, funded by the U.S...
  19. Kevin85ify

    Kenya ranked top in emergency care

    Kenya ranked top in emergency care Rawlings Otini 05th Nov 2019 06:00:00 GMT +0300 Kenya has beaten several African countries to emerge second in its preparedness to respond to deliberate or accidental national health threats with the potential to wipe out humanity. However, the Global...
  20. sungura23

    Kazi/Ajira masaa ya ziada

    Habari Wana JF! Poleni kwa shughuli za kila siku za ujenzi wa taifa letu pendwa. Leo npo jukwaa hili nipate mawazo/maoni/ushauri wenu. Kwa sasa ninafanya kazi za sales kwenye kampuni moja ndogo hapa jijini Dar es Salaam. Ajira hii naitumikia kuanzia asubuhi saa 1 na hadi kufikia mchana saa 6...
Back
Top Bottom