carry mastory

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Carrymastory, Afunguliwa Kesi ya Madai ya Shilingi Milioni 600 na Hamisa Mobetto

    Mwandishi wa habari za burudani nchini Tanzania, Carrymastory, ameweka wazi kuwa amefunguliwa kesi ya madai ya shilingi milioni 600 na mwanamitindo na mfanyabiashara mashuhuri, Hamisa Mobetto. Kesi hiyo imefunguliwa na mwanasheria pamoja na meneja wa Hamisa Mobetto mwezi Septemba 2026. Madai...
  2. JamiiForums Tanzania Carry Mastory Avujisha Sauti ya Hamisa Mobetto Kuhusu Baba Mzazi wa Mtoto Wake (Dylan)

    Mambo mapya yameibuka kwenye mitandao ya kijamii baada ya aliyekuwa mwanahabari wa burudani, Carry Mastory, kuzungumzia sakata linalomuhusu mwanamitindo Hamisa Mobetto na kuvujisha sauti (voice note) inayohusu utambulisho wa baba mzazi wa mtoto wake, Dylan . Katika maelezo hayo, Hamisa Mobetto...
  3. JamiiForums Tanzania Carrymastory atia neno Aziz Ki kunaswa na mchepuko usiku kwenye migomba, ahoji swali hili

    Moja ya taarifa inayozua gumzo kubwa lililoibuka mtandaoni baada ya mwandani wa habari za udaku, Juma Lokole, kuposti kipande cha video kinachomwonyesha mchezaji mpira wa miguu Aziz Ki akiwa maeneo ya vichakani au kwenye migomba nyakati za usiku, akiwa na rafiki yake pamoja na wanawake wawili ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…