Mgombea wa Ugavana Nairobi Kevin Onyango Odhiambo maarufu kama CassyPool amezungumza haya alipokuwa katika podcast nchini Kenya.
Amesema, "kwanza nampenda Mwenyezi Mungu, wa pili nampenda Mama Samia. Leo simu ya Trump ilie na huku ya mama Samia ilie, Trump atasubiri"
Na hata screen ya simu yake...