ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi: CCM tunafanya siasa za ustaarabu na maendeleo

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema chama hicho hakina sababu ya kutumia lugha ya kebehi na matusi kutokana na utekelezaji mkubwa wa miradi uliofanywa na serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Balozi Dkt. Nchimbi ametoa kauli hiyo jijini...
  2. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Jakaya Kikwete: Niwaambie kuwa mambo mazuri ya Bukombe yasingetokea kama msingemchagua Dkt. Biteko

    Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ameupongeza uongozi wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Bukombe kwa Mkutano Mkuu Maalum wa kutoa taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimbo la Bukombe kwa mwaka 2020-2025. Amebainisha kuwa miradi iliyotekelezwa na inayoendelea...
  3. S

    Pre GE2025 Wasira aionya CCM kutosikiliza matatizo ya wananchi "Hata muimbe vipi kama hamsikilizi matatizo ya watu haitasaidia"

    MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Bara, Mzee Stephen Masato Wasira amewaonya viongozi wa Chama cha Mapinduzi kuwa kama matatizo yanayowakabili wananchi hayazungumzwi na kutafutiwa ufumbuzi wananchi wakatosa imani na CCM kuendelea kuwaongoza. Mzee Wassira ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na...
  4. Twilumba

    CCM Midomoni, CHADEMA Moyoni

    Sina mengi jionee mwenyewe.....
  5. B

    CHADEMA ndani ya mioyo ya CCM, siasa si ugomvi. No reforms no election inatuhusu sote!

    Kwa hali hii: Sote ni ndugu kwa nini tusiwe na agenda moja za haki? Duniani sote wapita njia.
  6. Tlaatlaah

    Dkt. Hussein Mwinyi ndiye atakayekuwa mgombea mwenza wa CCM wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hapo 2030

    Kwa Neema na Baraka za Mungu wakati huo, Dr.Emmanuel Nchimbi ndie atakae kua mgombea urais kupitia CCM, anakubalika na kuaminika zaidi kwa wananchi wote na waTanzania wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania. Ni muhimu sana kwa wale wote ndani ya CCM, wenye nia ya kugombea nafasi hizo muhimu za...
  7. Waufukweni

    Pre GE2025 Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewasilisha hoja kwa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mwenyeiti wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan awe mgombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Pia, Kimbisa amesema Makamu Mwenyekiti Zanzibar wa CCM, Dk...
  8. mdukuzi

    Simba mliacha kuandaa timu mkaenda Dodoma kwenye sherehe za CCM

    Mliacha kuandaa timu,mkavalishwa madera ya kijani na njano rangi xa timu ya Chasambi Sisi ni wekundu jamani rangi za matunda na mbogamboga wapi na wapi
  9. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 CHADEMA kanda ya kati yadai walimu walipewa hela kushiriki sherehe za CCM

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kati, kimekemea vikali kitendo kinachodaiwa kufanywa na Maafisa Elimu cha kuwalazimisha walimu kwenda kushiriki sherehe ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Dodoma tarehe 05 Februari 2025. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma...
  10. Carlos The Jackal

    Hivi Dola na CCM Ina uhakika kua Wagombea wa mkutano Mkuu , wanauzika? Hawajaingizwa kwenye mtego wa matumizi makubwa ya nguvu?.

    Kama Uchaguzi ni mbele huko, lakini tumeona na kusikia habari za utekaji, Upoteaji , Mauaji , matukio yanayoashiria kukosekana Kwa ustahimilivu na uvumilivu wa Kisiasa. Vipi miezi Kadhaa kuelekea uchaguzi ? Wakati ambao CDM mpya inarudi kua Ile ya 2010, sio kwamba Dola imeburuzwa na kuingia...
  11. matunduizi

    Kwa mujibu wa CCM Umasikini nchini utaisha lini na sasa tuko hatua gani?

    CCM ndio chama kilichoamoniwa kutupa mwelekeo wa taifa. Hata wananchi walipoulizwa kama wanataka vyama vingi miaka ya 90 walisema kwa zaidi ya 80% CCM iendelee. Huwa sijui kwa Mujibu wa CCM na ilani zao wao wamepanga kuumaliza umasikini lini? Katika mikakati yao sasa hivi tuko katikqti ya...
  12. M

    Miaka kumi from 2015 - 2025 ni Golden age ya CCM, Mendeleo waliyoyafanya ni CV ya kuwapa ushindi kwenye nchi yoyote East na central Africa

    Ukweli kwa miaka kumi hii ambayo nusu imeongozwa na Magufuli na Nusu imeongozwa na mama Samia. CCM wamefanya mambo makubwa mengi sana yanayoonekana kwa macho, bila mizengwe yanawapa uwezo wa kupata ushindi hata wangekuwa wanagombea urais Kenya, Zambia, Msumbiji, Congo, Rwanda, Uganda etc...
  13. Pang Fung Mi

    Pre GE2025 Hivi kweli CCM imefikia hatua ya kupigiwa debe na kutwaliwa na Machawa kama Gari ya Chai Maharage enzi hizo Seriously?

    Is it real? Yaani CCM inabebwa na sura za wasanii akina mwijaku, Dotto toyo, kiredio na mburura wengine, are we serious with our CCM? Shameful strategy, have we become so cheap to this level? Kweli chama kimetekwa? Je, ni uoga au ni ushamba? Je, CCM kila nyakati CCM itakuwa chini mtu ambae yuko...
  14. RWANDES

    Pre GE2025 CCM kuweni na huruma na wananchi wagombea wenu hawatoshi kupeperusha bendera ya chama

    Utawala wa CCM kwa sasa umekuwa mgumu kwa nchi wagombea waliopo wote mnawajuwa mmoja ana uraisi wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wote mmeona aliyoyafanya katika kipindi chake na kinachoendelea watu wamepotea hovyohovyo tena bila kificho watu wamepaza sauti hamna kilichofanyika...
  15. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Makamba: Sisi CCM kwenye urais tumeshamaliza kazi, mgombea wetu ni Rais Samia

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), January Makamba amesema chama chao kimeshafanya uamuzi kuhusu kiti cha urais kwa kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea. Soma Pia: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025 “Sisi CCM...
  16. Waufukweni

    Pre GE2025 Mbunge Issa awaambia CCM hamuwezi kupata kura Konde, 'labda mje mtupige bakora, Sera zenu mbovu'

    Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo) Mohammed Said Issa ameibua mzozo Bungeni mara baada ya kusema kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakiwezi kupata kura katika jimbo lake kwa sababu sera zao ni mbovu. Mbunge Issa ameyasema hayo jioni ya tarehe 06 Februari, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati...
  17. Mohamed Said

    Maktaba ya CCM Dodoma

    MAKTABA YA CCM DODOMA Maktaba ya CCM Dodoma imesheheni vitabu vingi na majarida mengi. Mara ya mwisho miaka mingi iliyopita nilipokuwa hapo maktaba ilikuwa chumba kitupu mfano wa ukumbi mrefu wenye viti na meza mtu akakaa na kujisomea. Leo Maktaba ya CCM ni Maktaba hasa yenye meza na viti...
  18. Waufukweni

    Pre GE2025 CCM washtuka, Rais Samia asema, kwenye Uchaguzi Mkuu, CCM itajiimarisha na matumizi ya TEHAMA kuongeza mawasiliano na kuwafikia Wanachama

    "Tuapoelekea katika uchaguzi mkuu, tutaendelea kujiimarisha zaidi ndani ya Chama, tumekiwezesha chama nyezo muhimu za usafiri, tunataka kuona viongozi wa CCM wanawafikia Wananchi kuwasikiliza na kutatua changamoto zao, lakini katika hatua nyingine kichama tumejipanga na matumizi ya Tehama ili...
  19. Ojuolegbha

    SI KWELI Golugwa asema Uimara wa CCM ndani ya miaka 48, CHADEMA wajipange na vyama vya upinzani vimeshindwa kusimamia masuala ya msingi yanagusa watanzania

    Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwa na historia ya miaka 48 ya uimara, umoja, na mafanikio makubwa, kimeendelea kuwa mwamba wa siasa za Tanzania huku kikijipambanua kama kiongozi wa maendeleo na mshikamano wa kitaifa. Kwa upande mwingine, vyama vya upinzani, kama CHADEMA, vimeonekana mara kwa mara...
  20. T

    Pre GE2025 Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos amesema kuwa dunia inapaswa kuangalia uongozi wa CCM kama mfano

    Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos ameeleza kuwa dunia inapaswa kuangalia mfumo wa chama cha mapinduzi kama mfano katika uongozi kwani chama hicho kina sifa za kipekee Sasa kwa la ajabu gani lilifanywa na CCM hadi watizamwe kama mfano? Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea...
Back
Top Bottom