Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Mwanasiasa mkongwe nchini, James Mbatia, amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinabeba laana na uwajibikaji mkubwa kutokana na kuratibu matukio ya vurugu na maafa yaliyotokea tarehe 29 Oktoba.
Akizungumza katika mahojiano cha Chief Odemba, Mbatia ametumia mfano wa maandiko ya kidini kueleza...
Ahadi za mwana TANU
1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja
2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote
3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma
4. Rushwa ni adui wa haki. Sitapokea wala kutoa rushwa
5. Cheo ni dhamana. Sitakitumia cheo changu wala cha...
Miaka 30 ya Bongo, Lengo lake ni kuhalalisha maisha yaendelee tuu, kwamba Yale Mauaji ya Oktoba 29 ni Mauaji tu ya kawaida !!.
Mitanganyika mijinga mijinga, inauñganishwa na Starehe, matokeo yake inawasahau ndugu zao waliuliwa Oktoba 29.
Jambo Moja la Uhakika ni kua, CCM hasa hili Genge lao la wahuni, linatabirika , sio watu ambao Wana Akili.
Tungeendelea kufanya Siasa ambazo, zinawalazimisha Kufungulia watu Kesi za Ugaidi, kuita watu Magaidi, Kuteka na kuua watu .
Mpaka tunafika 2027, kusingefanyika AFCON
kuna haja ya kuanza kufikiria mfumo ambao Hisabati na Computer Science/Coding vinafundishwa kwa kutumia Kiingereza kwa kiwango kikubwa zaidi kuanzia shule za msingi.
Sababu kubwa ni kwamba dunia ya sayansi na teknolojia inatumia sana lugha ya Kiingereza. Istilahi nyingi ambazo mwanafunzi...
bandari
ccm
code
hisabati
ili
jezi
kiingereza
kompyuta
kuiba
kuiba kura
kura
maadili
masomo
mbovu
mkataba
msingi
sana
serikali
serikali ya ccm
shule
shule za msingi
ufanisi
vipi
vizazi
wao
wenye
Nawaza tuu au wanapingana wao kwa wao?
Campaign za uchaguzi hakuna
Msemaji wa chama hakuna
Uhaini lazima uwepo lakini
Utekaji lazima uwepo lakini
Rushwa lazima iwepo
Haki za binadamu
Ubadhirifu utakuwepo
Ninaomba suala hili lifanyiwe uchunguzi na mjadala mpana, kwa sababu linagusa haki za wanafunzi na uendeshaji wa uchaguzi wa Serikali za Wanafunzi katika vyuo vya Tanzania.
Kuna hali inayodaiwa kuwepo katika baadhi ya vyuo nchini ambapo mwanafunzi anapotaka kugombea nafasi za juu katika...
Hiki ni kioja kingine toka CCM. Chama kikongwe kuliko vyote nchini badala ya kuajiri Msemaji mwenye Weledi kimeleta Msema chochote (MC).
Cheo chake cha asili kinahusu Uenezi wa Itikadi ya Chama chake lakini yeye anaeneza kashfa juu ya Kilimo cha Maparachichi. Anaeneza maisha binafsi ya...
Mbunge wa zamani wa Nzega Vijijini na aliyewahi kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla, amesema hana kinyongo wala malalamiko yoyote baada ya kushindwa kurejea bungeni, akisisitiza kuwa anawaheshimu na kuwashukuru wananchi pamoja na wanachama wa CCM kwa kumfanya awatumikie...
🚨 MASHINE YA CHAMA-DOLA: JINSI MFUMO UNAVYOMEZA TAIFA (NUKUU NDEFU ZA WASOMI) 🚨
Jana, Mwenezi Wa CCM, Alitamka kuwa
"Serikali Inapaswa ijue CCM ni kubwa kuliko Serikali"
JE upo ukweli wa Kauli hii?
Kuielewa siasa ya Tanzania kunahitaji uvunje ile dhana ya uongo kwamba "Serikali" na "Chama...
Kwa hakika unafanya kazi nzuri na kubwa sana kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Dodoma.
Asante kwa kazi kubwa na nzuri unazofanya katika kuuheshimisha mkoa wa Dodoma na makao makuu ya nchi. Katika mkutano mkuu maalumu wa CCM taifa mwaka jana, wakati wa kuteu na kuthibitisha jina la...
Habari yenu ndugu zangu natumaini mnaendelea vizuri
Mwaka 2015 kulikuwa na uchaguzi nchini, japo vyama vingi vilishiriki uchaguzi ule ila mchuano mkali ulikuwa kati ya mgombea wa CCM na mgombea wa muungano wa UKAWA.
Kwa kweli uchaguzi ule ulikuwa mzuri sana (nazungumzia kwa upande wa bara acha...
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi amesema Wana CCM watembeeni kifua mbele, kwa kudai wanapendwa sana na Watanzania. Kihongosi ametoa kauli hiyo leo Septemba 19, 2026 wakati akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Toangoma Temeke
Soma Pia: Kenani Kihongosi...
Kama tunakubaliana kuwa kupanga au kutekeleza mapinduzi ya kisiasa ni uhaini na ni kosa kubwa katika nchi, hatuwezi kusema mapinduzi fulani ya kisiasa ni halali na mengine ni haramu.
Vilevile, hatuwezi kusema kundi fulani la watu lina haki ya kufanya mapinduzi na wengine hawana haki hiyo...
Lissu Yuko mbele ya Muda dhidi ya CCM na wanasheria wote wa CCM.
Kwa kifupi watu wengi hawakuelewa,hata Mimi sikumuelewa aliposema mashahidi wake ni RAIS Samia,CDF,IGP,DGTISS na Kingai.
Kwa kifupi alipowataja Hawa kua ndio mashahidi wake alikua amelenga mitego miwili kwa ajili ya kupiga TKO...
Kama hizi mbinu zote mmefeli
CHADEMA ni dude kubwa
1.Divide and rule>kugawa kundi Ili lisipate nguvu ya pamoja
2.Reward and punishment>kutumia zawadi na adhabu kusimamia tabia
3.Framing>Kueleza jambo kwa mtazamo frani Ili wanaokusikiliza waelewe kwa namna hyo
4.Complomise>Kila upande kutoa...
ccm
chadema
chama
chama cha siasa
dead
imara
kuolewa
malalamiko
mali
maneno
michezo
ndani
ndo
sana
sanaa
sanaa na michezo
siasa
siasa ccm
viongozi
wanawake
waziri
waziri wa sanaa
Jamii imeshutushwa na video za vijana walioenda mafunzo ya Jkt wakijinasibu kuwa wapo tayari kutoa mavi wananchi watakaoandamana kudai haki na mabadiliko.
Hata huko Sierraleone na kwingineko Wanajeshi wenye mafunzo hawakushinda nguvu za wananchi.
Kutishia watu kwa vijana kama hawa ambao...
Mteswaji Lissu ana furaha kuliko Mtesaji Samia! Maisha tenda wema. Utawafukuza na kuwafunga lakini Mungu hawezi kukupa furaha mpaka utende wema na haki. Hili ni somo pesa zote , wizi wote wa kura, na nguvu za kuiba lakini huna furaha maana maisha ni zaidi ya pesa na madaraka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.