Wakati nchi ikihitaji Viongozi CCM wametuletea Kihongosi

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,898
Reaction score
40,547
Hiki ni kioja kingine toka CCM. Chama kikongwe kuliko vyote nchini badala ya kuajiri Msemaji mwenye Weledi kimeleta Msema chochote (MC).

Cheo chake cha asili kinahusu Uenezi wa Itikadi ya Chama chake lakini yeye anaeneza kashfa juu ya Kilimo cha Maparachichi. Anaeneza maisha binafsi ya Viongozi wa vyama vingine na namba za akaunti zào za Benki.

Nadhani hajapata taarifa kuhusu Idadi ya Suti wanazomiliki vinginevyo tungeambiwa hata rangi za vitambaa.
wanaCCM tulihitaji Kiongozi tumepewa Kiongozi.
 
Hiki ni kioja kingine toka CCM. Chama kikongwe kuliko vyote nchini badala ya kuajiri Msemaji mwenye Weledi kimeleta Msema chochote (MC). Cheo chake cha asili kinahusu Uenezi wa Itikadi ya Chama chake lakini yeye anaeneza kashfa juu ya Kilimo cha Maparachichi. Anaeneza maisha binafsi ya Viongozi wa vyama vingine na namba za akaunti zào za Benki.

An unintelligent head spews out the nothingness that it contains.
 
Hiki ni kioja kingine toka CCM. Chama kikongwe kuliko vyote nchini badala ya kuajiri Msemaji mwenye Weledi kimeleta Msema chochote (MC). Cheo chake cha asili kinahusu Uenezi wa Itikadi ya Chama chake lakini yeye anaeneza kashfa juu ya Kilimo cha Maparachichi. Anaeneza maisha binafsi ya Viongozi wa vyama vingine na namba za akaunti zào za Benki.
Nadhani hajapata taarifa kuhusu Idadi ya Suti wanazomiliki vinginevyo tungeambiwa hata rangi za vitambaa.
wanaCCM tulihitaji Kiongozi tumepewa Kiongozi.
Huyo ni kiongozi wa CCM siyo wa nchi, we ni nani uwachagulie kiongozi wao? Fanya mambo yako achana na yasiyokuhusu
 
Hiki ni kioja kingine toka CCM. Chama kikongwe kuliko vyote nchini badala ya kuajiri Msemaji mwenye Weledi kimeleta Msema chochote (MC).

Cheo chake cha asili kinahusu Uenezi wa Itikadi ya Chama chake lakini yeye anaeneza kashfa juu ya Kilimo cha Maparachichi. Anaeneza maisha binafsi ya Viongozi wa vyama vingine na namba za akaunti zào za Benki.

Nadhani hajapata taarifa kuhusu Idadi ya Suti wanazomiliki vinginevyo tungeambiwa hata rangi za vitambaa.
wanaCCM tulihitaji Kiongozi tumepewa Kiongozi.
Analilia wakuanishwe na Viongozi wa CDM kwenye mdahalo! kwa akili zake ndogo sijui hata ataongelea nini zaidi ya Maparachichi!
 
Hiki ni kioja kingine toka CCM. Chama kikongwe kuliko vyote nchini badala ya kuajiri Msemaji mwenye Weledi kimeleta Msema chochote (MC).

Cheo chake cha asili kinahusu Uenezi wa Itikadi ya Chama chake lakini yeye anaeneza kashfa juu ya Kilimo cha Maparachichi. Anaeneza maisha binafsi ya Viongozi wa vyama vingine na namba za akaunti zào za Benki.

Nadhani hajapata taarifa kuhusu Idadi ya Suti wanazomiliki vinginevyo tungeambiwa hata rangi za vitambaa.
wanaCCM tulihitaji Kiongozi tumepewa Kiongozi.
Mwenezi anaeneza mada zinazopendwa na audience yake
 
Hiki ni kioja kingine toka CCM. Chama kikongwe kuliko vyote nchini badala ya kuajiri Msemaji mwenye Weledi kimeleta Msema chochote (MC).

Cheo chake cha asili kinahusu Uenezi wa Itikadi ya Chama chake lakini yeye anaeneza kashfa juu ya Kilimo cha Maparachichi. Anaeneza maisha binafsi ya Viongozi wa vyama vingine na namba za akaunti zào za Benki.

Nadhani hajapata taarifa kuhusu Idadi ya Suti wanazomiliki vinginevyo tungeambiwa hata rangi za vitambaa.
wanaCCM tulihitaji Kiongozi tumepewa Kiongozi.
Mngempotezea tu. Kumbukeni cheo chake ni katibu mwenezi ni mambo ya proganda tu kama enzi za Nape walipomshambulia na kumuaibisha rais wa mioyo yetu ndugu Lowassa.
 
CCM ilishapoteza dira miaka mingi iliyopita.
Hivi kweli Yusuph Makamba, D. Chongolo, A. Migiro, waliteuliwaje kuwa makatibu wakuu!!??

Teuzi za hao zilikuwa ni matusi kwa wana CCM wasomi waliolelewa kuanzia kwenye misingi ya TANU.

Bado hatujaenda kwenye jumuiya za chama, eti Kawaida,Maganya,Chatanda,Hapi, Jokate nao wamekuwa viongozi wa UVCCM, UWT na WAZAZI!!!

Hivi kweli leo tumfananishe Makamba/Chongolo/Migiro na Kawawa/Gama/Kolimba!!?
 
Zaidi ya kutaka Zitto auwawe .kuchapa viboko hadharani watu wazima Arusha na jijini huko kuchangiws birthday party ya mkewe kwa mapato ya halmashauri na kuwa mkimbiza mwenge mstaafu ana sifa gani ya wadhifa alopewa?
Wanaofanya ujinga ujinga ndo waheshimiwa Kwa CCM.
 
CCM ilishapoteza dira miaka mingi iliyopita.
Hivi kweli Yusuph Makamba, D. Chongolo, A. Migiro, waliteuliwaje kuwa makatibu wakuu!!??

Teuzi za hao zilikuwa ni matusi kwa wana CCM wasomi waliolelewa kuanzia kwenye misingi ya TANU.

Bado hatujaenda kwenye jumuiya za chama, eti Kawaida,Maganya,Chatanda,Hapi, Jokate nao wamekuwa viongozi wa UVCCM, UWT na WAZAZI!!!

Hivi kweli leo tumfananishe Makamba/Chongolo/Migiro na Kawawa/Gama/Kolimba!!?
Mauzauza Kaka.
 
Benki ya dunia na IMF mwaka 2019 viliitangaza Tanzania kuingia uchumi wa kati baada ya maboresho makubwa ya kiuchumi yaliyofanywa na serikali ya awamu ya tano iliyokuwa ikiongozwa na hayati Magufuli na Makamu wake Samia.

Serikali ya awamu ya tano ilifikia hayo mafanikio ya kuingiza nchi uchumi wa kati baada ya kubana matumizi, kudhibiti ufisadi, kujenga viwanda na kuhimiza wananchi kuchapa kazi kwa nguvu zao zote.

Hali ilibadilika ghafla baada ya Rais Samia kuapishwa serikali yake ya awamu ya sita ikaacha kuhubiri viwanda wala wananchi wake kuchapa kazi na akatangaza sera mpya ya kula kulingana na urefu wa kamba yako! Matokeo yake ni kuuzwa kwa sekta muhimu za kuingizia nchi kipato kama bandari zote na makaa ya mawe.

Kutokana na kuzorota huku kwa usimamizi wa rasilimali za taifa Tanzania imeshushwa kutoka uchumi wa kati na sasa haieleweki iko uchumi gani! Hivyo Rais ajaye baada ya Samia atakuwa na kazi kubwa ya kubana matumizi, kudhibiti ufisadi serikali, kulinda rasilimali za taifa na kuirudisha nchi uchumi wa kati tena.

Kuna kila aina ya ushahidi kuwa Rais Samia amekata tamaa na haumizi kichwa tena kuhusiana na shida za watanzania ila inaonekana awamu yake hii ya pili alijipanga kula raha na kusafiri sana duniani ila mauwaji ya oktoba 29 yamempunguza speed baada ya kupigwa marufuku kusafiri ndani ya nchi za Ulaya.
 
Back
Top Bottom